Mimi Leo nilikuwa sitaki kusema, lakini ngoja tu niseme, nimetishwa na mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, aliniambia nyie wabunge ni wanafiki na nitawashughulikia na nitaanza na wewe, mimi leo Dar...
Inmate's letter is dated June 7 on this file.
Inmates' letter is in Swahili with English summary.
Inmate's letter calls on Assistant Commissioner of Police Mr Godfrey Nzowa to take action...
Mke wa Rais wa Zanzibar, Msarifu na Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation Mama Mariam Mwinyi amekutana na Malkia Camilla Rosemary Shand Mke wa Mfalme Charles III wa Uingereza...
Ushatumia aina nyingi za usafiri kama vile bodaboda, bajaji, ndege, kimbinyiko, farasi n.k.
Upo kanda ya ziwa sasa kwa nini upande fuso? Huo sio usafiri wa wajanja huko kanda ya ziwa, wajanja wa...
https://www.youtube.com/watch?v=TCpBb-Wm0b4
Leo Kiongozi wa ACT Wazalendo, Ndugu Zitto Kabwe ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Muhambwe Kibondo.
Ameanza ziara yake kwa kutembelea Soko la...
Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe Asisitiza kuwa Halmashauri ya Wilaya ya Singida inapaswa kuwa na Mradi ambao utasaidia katika Ukusanyaji wa mapato ili kuinua Uchumi...
Nilijuwa na nilisema kuwa kitendo cha Mwabukusi kuruhusu vyama vya siasa kudandia agenda yake ya DPW aliyoishaitengeneza vizuri ni kuiua agenda hiyo. Sasa yametia Mwarabu yuko Kurasini.
Hivi...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni kama wanachadema wameanza kuzinduka kutoka katika usingizi walikokuwa wamepigwa sindano ya ganzi katika akili zao, ni kama wameanza kuukataa na kuukana unyumbu na...
WAZIRI TABIA MWITA AMSHUKURU DKT. MWINYI KWA KOMBE LA CECAFA U15 KUTUA ZANZIBAR
Mabingwa wa CECAFA U15, Karume Boys wametua nyumbani Zanzibar wakitokea nchini Uganda na ubingwa wao walioupata...
Utendaji dhaifu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya NHIF umeitweza nchi kwa kiwango cha kufanya Sheria ya Bima ya Afya kusiginwa kwa soli za watoa huduma za afya wa sekta zote za umma na binafsi...
Uteuzi wa Kada Paul Christian Makonda PCM kwenye wadhifa wa Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM umeendelea kutengeneza vichwa vya habari vinavyouza media mbalimbali (social na mainstream)...
https://www.youtube.com/watch?v=JHMCidEdAKY
===
Rais Samia amesema amemhamisha Maharage Chande kutoka TCCL ili kuondoa mgongano wa kimaslahi kwa kuwa ana biashara na taasisi hiyo.
"Maharage...
TRA imesema Kwa takribani miaka 3 ya Uongozi wa Rais Samia, amewezesha TRA kuongeza mapato Kwa Asilimia 8.5% ambapo Kwa mwaka wa Fedha wa 2022/2023 Makusanyo yamefikia Shilingi Trilioni 24.1 sawa...
Mbunge HusseinBashe awataka wabunge CCM kuacha unafiki, akisema yupo tayari kufukuzwa ila kweli alikamatwa na maafisa wa usalama wa taifa.
'CCM acheni unafiki mimi nimeshakamatwa na watu wa...
Wakuu salamu,ama baada ya salamu naomba kuelekea kwenye swali ama hoja.
Tumeona leo Sabaya akiachiwa huru na kurejea nyumbani baada ya taarifa za kukili kosa na kupewa kifungo cha nje kwenye kesi...
DAR TODAY:
Jukwaa la Wahariri Tanzania limelaani kitendo kilichofanywa na Mkuu wa Mkoa wa Dar na kutangaza atakayeshirikiana naye, *hawatarusha matangazo yake.*
"Utekelezaji agizo la kutokufanya...
Wakati wa mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM mwaka 2015 marehemu Magufuli na Membe walipiga picha ambayo baada ya kuiangalia leo imenitoa machozi na kunikumbusha maisha ya mwanadamu si chochote...
Kanda ya ziwa wameishaujua mtaji wao kwenye siasa za Tanzania. Wanajua jinsi walivyo wengi. Na bahati mbaya au nzuri ndiyo wanaongoza kwa kuzaliana nchini. Dalili zinaonyesha wanataka kuutumia...
Tukiwagusa Acacia tutashitakiwa MIGA alisikika Lisu msomi aliyesomeshwa kwa kodi za watanzania lakini badala yake tukaja kulipwa billion 700 na Acacia ikafutwa na ikaundwa kampuni mpya ya Twiga...
Wasalaam
Takribani miaka 25 iliyopita nilikuwa natamani sana kufahamu mama Tanzania amebeba matarajio yangu ya kimaisha kwa kiasi Gani.
Nilifatilia sana siasa za nchi yangu, nilijihusisha na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.