Utatu wa Mbowe, Lissu na Sugu kiushirikiano na Marekani

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu alialikwa nchini Marekani Kutoa mihadhara katika Vyuo Vikuu mbalimbali

Juzikati Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe alialikwa Ubalozi wa Marekani pale Drive Inn cenema ya zamani

Kisha Balozi wa Marekani na Ujumbe wake wamemtembelea mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu Moto Chini jijini Mbeya kwao akina Mwabukusi

Chadema mmetisha sana

Mungu wa Mbinguni Ibariki Chadema 😀
 
Unaumia ukiwa wapi?
 
Mungu wa Mbinguni Ibariki Chadema
Kama vipi hamia Chadema,unawashwa sana na mambo ya huku.
 
MZUNGU HAJAWAHI KUWA RAFIKI MWEMA NA MWAFRICA HATA SIKU MOJA
WAJIHADHARI SANA WASIONE WAJINGA WALE
 
Marekani wawekewe vikwazo.....

Chama Cha upinzani kinawezaje kushirikiana na nchi nyingine????
 
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas Lisu alialikwa nchini Marekani Kutoa mihadhara katika Vyuo Vikuu mbalimbali

Juzikati Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe alialikwa Ubalozi wa Marekani pale Drive Inn cenema ya zamani

Kisha Balozi wa Marekani na Ujumbe wake wamemtembelea mjumbe wa kamati kuu ya Chadema Bilionea Sugu Moto Chini jijini Mbeya kwao akina Mwabukusi

Chadema mmetisha sana

Mungu wa Mbinguni Ibariki Chadema
Hao ni wafanyakazi wa Marekani.uzuri ni kwamba hawana issue Tanzania.
 
Back
Top Bottom