Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://youtu.be/FHNY4s5ekxk "Mnamo saa kumi na mbili asubuhi, nilikuwa nimelala ndipo mume wangu aliponiamsha, akiuliza, 'hilo si tetemeko la ardhi?' Mimi na watoto wetu tulianza kukimbia nje...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kufuatia utafutaji wa uungwaji mkono ndani ya Chama cha Walimu Tanzania, Katibu Mkuu wa Chama hicho Ndugu Japhet Maganga analaumiwa kwa matumizi mabaya ya fedha za wanachama wa chama hicho katika...
1 Reactions
2 Replies
979 Views
Mfumo sahihi wa kusikiliza na kutatua kero za raia ni kupitia madiwani na wabunge, sio katibu mwenezi wa chama cha siasa. Madiwani wanatakiwa wafanye mikutano ya kusikiliza kero za raia kisha...
2 Reactions
45 Replies
2K Views
Huu mpango wa Bima ya Afya kwa wote ni kitanzi kwa wananchi na CCM kuliko hata Pembejeo zilivyo. Jinsi mpango huu ulivyotengenezwa naona kabisa dhahir shahir unaenda kuwa kama mikopo ya elimu ya...
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Katibu Mkuu wa TEC, Padri Dkt. Kitima akiwa kwenye mahojiano na The Chanzo amesema kuwa ule uwezo wa kuchambua masuala ya kitaifa umeshuka. ' Ule uchambuzi, kuchambua masuala, kupembua wa watu wa...
21 Reactions
55 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Naibu Mkurugenzi Mkuu Umoja wa Ulaya nchini Tanzania, Martin Seychell na ujumbe wake Ikulu Zanzibar tarehe...
0 Reactions
0 Replies
490 Views
● Serikali Imewaokoa Watanzania 117 na waliopewa huduma bure za matibabu kupitia gharama iliyobebwa na Rais Samia. ● Serikali imegharamia mazishi ya Watanzania 79 waliofariki kwenye maafa ya...
1 Reactions
7 Replies
988 Views
Taarifa iliyotolewa na Chama Chake hii hapa .
9 Reactions
51 Replies
5K Views
Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya...
43 Reactions
362 Replies
41K Views
Ukweli ni lazima tuuseme kuna Watu hapa Jf wanaonekana ni Wakosoaji wakubwa wa Serikali na CCM kiasi cha kuitwa Pingapinga lakini leo nawaambieni Mchango wao ni mkubwa kuliko Ule wa Chawa wa CCM...
34 Reactions
70 Replies
3K Views
Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE...
21 Reactions
104 Replies
9K Views
Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi...
22 Reactions
180 Replies
22K Views
Viongozi wa nchi zote za dunia wanakutana Marekani kwenye mkutano mkuu wa Baraza la usalama la umoja wa mataifa (General Assembly of United Nations). Hotuba nyingi za viongozi kutoka Afrika ni za...
28 Reactions
80 Replies
5K Views
Habari JF, Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani? Ukweli ni kwamba...
9 Reactions
46 Replies
3K Views
CHADEMA imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, CHADEMA ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma...
9 Reactions
69 Replies
4K Views
Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dr.Stephen Munga (PhD) ameeleza kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa kumpata Mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika hapo jana katika Chuo kikuu...
50 Reactions
200 Replies
23K Views
Kama mtaalamu niliyeshiriki kujenga vyanzo vya maji mbalimbali pamoja na mabwawa ninapata shida kuamini kuwa killchotoea Hanang ni natural land slide Kiwango kikuubwa cha maji kikifuatiwa na tope...
7 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, Viongozi wakuu wa CHADEMA, Tundu Lissu na Freeman Mbowe leo 06/12/2023 Wamebahatika kuwa miongoni mwa watu waliohudhuria Ibada ya mazishi ya Askofu Kweka ...
11 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa katiba ya JMT suala la rasilimali za Taifa limejengewa wigo mpana wa ulinzi wake kupitia ibara ya 27.-(1) Kila mtu ana wajibu wa kulinda maliasili ya Jamhuri ya Muungano, mali ya...
0 Reactions
2 Replies
675 Views
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
10 Reactions
183 Replies
23K Views
Back
Top Bottom