CHADEMA hali ni mbaya tia maji!

kipara kipya

JF-Expert Member
May 2, 2016
14,153
16,147
CHADEMA imepoteza mvuto chadema ni sawa na mtu anayekata roho kurusha miguu na mikono ni kawaida yake, CHADEMA ilivamia suala la Dp world likabuma,wakaja na mchongo wa operation katiba imebuma wananchi wamechuna.

Wakavamia agenda ya umeme imebuma raisi kipenzi amewaambia ukweli wananchi wameelewa kiini cha tatizo.

Haitoshi walipoona slaa na kundi lao wanawazidi umaarufu na kuteka agenda wakapita mlango wa nyuma wakafanya yao mpaka leo hii wakina mdude hawajui mchawi ni nani.

Ghafla wakarukia makonda hata sijui anawahusu nini naye ni mwenezi wa ccm, wakajaribu kutengeneza movie la baharia macmuga wa ubelgiji eti amefanya ziara marekani ikabuma.

Ghafla macmuga yupo segera anahutubia wananchi wamemchunia akabwabwaja sana kwa hasira kawaida huja kwa mbwembwe airport hupokelewa kwa maandamano na misafara ya magari na pikipiki mwenyekiti kagoma kuidhinisha pesa ya mapokezi.

Wakatengeneza kipande cha movie mnyika ziarani sijui wapi wakati ni mambo ya kawaida.

Sasa wamevamiwa tukio la maafa kama la kutafutia kiki mara barua ya rambirambi mara mwenyekiti mfalume mswati kufanya ziara hanang yaani hawana pa kushika.

Ushauri wa bure chadema inahitaji viongozi wapya waliokuwepo wamedumaza chama hakina maendeleo hata jengo lenye hadhi ya ofisi ni mtihani.

Lissu yupo mjini lakini kama hayupo.

Tume ya uchaguzi itisheni uchaguzi haraka tuwachakaze mapema asubuhi!
 
Imepoteza mvuto ila kutwa kucha wewe na Lucas mwashambwa mnaiongelea

Kitendo tu cha kuifungulia uzi hapa jua bado unaiwaza. Sasa kitu kilicho akilini mwako na moyoni mwako inakuwaje kimepoteza mvuto. Just a quick one, kwann hujafungua uzi kuhusu CUF au NCCR mageuzi?

Unafatilia hadi ziara za viongozi wake. Unajua hata Lissu yupo mjini kumbe
 
pelekeni misaada kwa wahanga nyie acheni kuweweseka unafikiri ukishapeleka mashangingi na maafisa tu basi umemaliza?
Tafuteni kwanza katibu mkuu wa chama cheni ndo mje kuongea ya wenzenu nyie si mna demokrasia huko kwa wezi lumumba? lete katibu mkuu sasa
 
Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.

20231206_144636.jpg
 
Mwanachadema wenzangu tusitishwe na maneno ya mtoa mada.
Tujitahidi kutoa michango, tukumbuke hata kwenye ile michango ya Join The Chain tulichangia vya kutosha pamoja na ile ya Lema kwenda kutangaza dhuluma dhidi ya awamu ya tano ndivyo hivyo hivyo tujitahidi na kujichanga hapa.

View attachment 2834816
SIfa kuu ya utapeli ni kumshawishi mtu mpaka atoe pesa mfukoni kwa hiari yake!
 
UMASIKINI, MARADHI, UJINGA na cousin wao RUSHWA bado wametamalaki nchini, mbona Singida kuna umasikini mkubwa!,mpangaji mkuu wa magogoni anawauliza Lumumba street!!,huku Unango mkoani Lindi hadi leo maji Safi na salama hakuna, more than 60 yrs ya kutawaliwa na ccm, ni royal families tu zinazokula pie ya taifa,pls the real owner wa UDA nyosha kidole juu,Nkanini nikuone
 
pelekeni misaada kwa wahanga nyie acheni kuweweseka unafikiri ukishapeleka mashangingi na maafisa tu basi umemaliza?
Tafuteni kwanza katibu mkuu wa chama cheni ndo mje kuongea ya wenzenu nyie si mna demokrasia huko kwa wezi lumumba? lete katibu mkuu sasa
Ccm haikurupuki ulitegemea kumuona makonda,
 

Attachments

  • owm_tz_1701777320264.jpeg
    owm_tz_1701777320264.jpeg
    68.7 KB · Views: 2
  • MAJALIWA-8.jpeg
    MAJALIWA-8.jpeg
    64.5 KB · Views: 3
  • MAJALIWA-5.jpeg
    MAJALIWA-5.jpeg
    88.9 KB · Views: 2
  • MAJALIWA-4.jpeg
    MAJALIWA-4.jpeg
    70.3 KB · Views: 2
Back
Top Bottom