Lissu: Huko mbele ni kugumu, lakini ni lazima twende

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
115,359
212,331
Screenshot_2023-12-04-00-14-39-1.png

Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata, Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba, Nanukuu, "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE, TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA, NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu.

Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua, unadhani huko mbele nini kitatokea?
 
View attachment 2832540

Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata , Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba , Nanukuu , "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE , TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA , NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu .

Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua , unadhani huko mbele nini kitatokea ?
Wizi wa kura ukifuatwa na mauaji, kufungwa, kuteswa, na ukatili wote unaoweza kuuwaza kutoka polisi, jeshi, mahakama, BUNGE, tume ya uchaguzi, magereza, mgambo, CCM weyewe maana ni wauaji, THINK OF ANY ATROCITIES THAT CAN BE DONE AGAINST CHADEMA , AND THEN YOU WILL BE RIGHT
 
Dark days
 
Kumbe Uchaguzi mtashiriki? Nawakumbusha tuu Lisu kwao ni Ubelgiji.
 
View attachment 2832540

Akizungumza kwenye mkutano wake wa hadhara huko Tabata , Tundu Lissu amewaambia wananchi wa Tanzania na wanachama wa Chadema kwamba , Nanukuu , "HUKO MBELE NI KUGUMU SANA LAKINI NI LAZIMA TWENDE , TUSIKUBALI KUKENULIWA MENO WALA KUCHEKEWA , NI LAZIMA TUFIKE" mwisho wa kunukuu .

Lissu amezungumza lugha ngumu bila kufafanua , unadhani huko mbele nini kitatokea ?
Lengo liwe ni moja tu, kuiangusha CCM, hayo mengineyo hayana umuhimu wowote kwa sasa.

Dalili ni nzuri sana, hilo pekee ndilo liwe kichocheo cha kusonga mbele bila kujali "ugumu wala kukenuliana meno.
 
Wizi wa kura ukifuatwa na mauaji, kufungwa, kuteswa, na ukatili wote unaoweza kuuwaza kutoka polisi, jeshi, mahakama, BUNGE, tume ya uchaguzi, magereza, mgambo, CCM weyewe maana ni wauaji, THINK OF ANY ATROCITIES THAT CAN BE DONE AGAINST CHADEMA , AND THEN YOU WILL BE RIGHT
Siyo CCM hawa; usiwape 'credit' isiyo wastahili.

Hao akina Makonda wanaoingizwa sasa tayari wana jiwe shingoni kuhusu hayo unayowahusisha nayo. Hawa wengine, kama Samia, wataanzia wapi kuyafanya hayo yaliyowezekana kwa ukichaa aliokuwa nao aliye tangulia mbinguni/jehenamu?

Tahadhari pekee wanayopaswa kuwa nayo CHADEMA, hasa kwa mtu kama Tundu Lissu, ni kuwanyima viongozi wa CCM sababu za kuwaweka jela tu, hasa itakapo karibia uchaguzi. Hilo pekee ndilo la muhimu kulichunga sana.
 
21 Reactions
Reply
Back
Top Bottom