Kuna haja ya Tundu Lissu kuanzisha chama cha siasa kwa masilahi mapana ya Taifa

RNA

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
1,584
2,683
Habari JF,

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye ushawishi mkubwa.

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa nchi. 2025 chama kikitia nguvu ya kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka.

Tanzania inahitaji akili na mawazo mapya, ni aibu miaka 60 baada ya uhuru bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk; kwa Nchi yenye madini, bahari, mito, maziwa, utalii, eneo kubwa la kilimo nk.
 
Kudai mtadai wote shida ni pale wakipata watawakumbuka, alianza slaa wakamtosa zitto wakamtosa wote hawafai bora wanamchi tujiongoze wenyewe kuwa chini ya viongozi wa dini kama....!
 
Habari JF

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .

2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .

Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
Tundu Lissu ni mgumu kufanya nae kazi,sababu yeye anaamini ni mjuaji kuliko wote na anajua kila kitu.
 
Habari JF

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .

2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .

Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
wewe ndo unaona syo wapinzani ila watanzania wenzio tunawapa kongole
 
Aaanzishe chama cha wehu wenzake. Yeye na Zitto ni mapacha
 
Mr Lissu hata mimi namvulia kofia kwa ujasiri wake wa kuwa mpinzani. tatizo linalonitia wasiwasi ni je ataweza kupambana na magaidi incase wanataka kuingiza kambi Tanzania.hili ni swala nyeti kupita hata kujenga reli ndani ya bahari DSM to ZNZ
 
Habari JF

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .

2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .

Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
Acha ujinga! Kwani hicho chama aliko kina tatizo Naye!
Wewe Kwa Nini usianzishe cha kwako??.
Unaumia sana ukiona anavyopambania waTanzania. Subiria haki ipatikanike. Utajua haujui!!
 
Habari JF

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT wazalendo ya Zitto ni wapinzani? au CUF ya Lipumba ni wapinzani ?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye Ushawishi mkubwa .

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa Nchi .

2025 chama kikitia nguvu ya Kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka .

Tanzania ina hitaji akili na mawazo mapya ni aibu miaka 60 baada ya uhuru Bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk.. kwa Nchi yenye Madini, Bahari, Mito, Maziwa, Utalii, eneo kubwa la kilimo ....nk
CCM mnaigopa CHADEMA, sasa mnakuja na mbinu za divide ana rule. Mmefeli
 
1. Mihemuko na mihasira yote hiyo atamwongoza nani?
2. Nani atakubali kuwa na kiongozi wa chama mmwisenge (mtu wa mwisenge)? [Mwisenge ni eneo kwenye mji wa musoma]
 
Habari JF,

Hivi katika mazingira yalivyo sasa ni nani anaweza kusema CHADEMA ya Mbowe ni wapinzani? ACT Wazalendo ya Zitto ni wapinzani? Au CUF ya Lipumba ni wapinzani?

Ukweli ni kwamba tumebakiwa na wapinzani wachache kama kina Mbatia, Heche, Lema, Tundu Lissu etc, na katika hawa Tundu Lissu bado atabaki kama mpinzani mwenye ushawishi mkubwa.

Hivyo kuna haja kwa Tundu Lissu kukusanya nguvu kutoka kwa wapinzani tajwa hapo juu na watu kama kina Bashiru waunde chama ili kuiokoa nchi. 2025 chama kikitia nguvu ya kutosha hata kwa katiba ya sasa CCM inaweza toka.

Tanzania inahitaji akili na mawazo mapya, ni aibu miaka 60 baada ya uhuru bado tunashida za maji, umeme, afya, vyoo mashuleni nk; kwa Nchi yenye madini, bahari, mito, maziwa, utalii, eneo kubwa la kilimo nk.
Kukurahisishia tu ni kwamba Tundu Lisu hana watu. Hana ushawishi kwa lugha rahisi. Ni kama alivyo Mbowe mwenyewe japo kidogo sana angalau Mbowe.
 
Dai katiba Kijana , ccm wanaringia katiba iliyopo kwn inawabeba kwa 85% ...ungana nasi kudai katiba mpya achana na mawazo ya kuanzisha chama kipya
wa unadhani CCM wanaweza toka kwa Katiba mpya ?
 
Back
Top Bottom