Dkt. Philip Mpango anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi wa Mkutano wa TAWIRI, Dec 6-8

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,014
9,883
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.

IMG_20231205_230110_263.jpg
 
Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wa Mkutano wa TAWIRI unatarajia kufanyika kuanzia Disemba 6 hadi 8 jijini Arusha.
View attachment 2834215
Naamini kabisa hili ni tangazo la zamani!, ili kesho VP awe Mgeni rasmi kwenye hiyo event, alipaswa leo awe amerejea nchini kutoka kule kwenye yale majukumu yake ya nje ya nchi, tungemuona leo akirejea!.
Kesho atawakilishwa!.
P
 
Du ujuaji mwingine hadi mnapitiliza... pumbavu, Ofisi inaweza ikaalikwa kuwa Mgeni rasm! Kuna watu wa kuwaombea mabaya lakini sio huyu Mzee!
Ndyo ofisi inaweza kualikwa kwa mfano kama alialikwa kwa cheo cha makamu wa Rais means anaweza kuwakilishwa kama hatokuwepo...

Lets say tumemualika mkurugenzi wa Jamiiforums kwenye certain Function Means anaweza kuja mwakilishi wake kwa sababu Yeye anasimama badala ya ofisi.

Sijaona Alipoleta ujuaji mahali popote alichouliza ni kuhusu Amealikwa Yeye kama yeye au amealikwa kama makamu wa Rais.

Kama kaalikwa kama makamu wa Rais means kimealikwa kiti (Ofisi) na sio yeye
 
Back
Top Bottom