Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa nini Watanganyika wote mamilioni kwa mamilioni tunageuzwa wendawazimu na chama cha CCM kwa kutuchezea mchezo wa danganya toto ? Haiwezekani tunambiwa Desemba 9 ni sherehe za uhuru wa Tanzania...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Sijui kwa kweli ila ni Aibu. Achilia mbali majonzi tulio nayo Hanang... Hali ya Miundo mbinu sehemu mbalimbali nchi.. Kukatika kwa umeme kusiko koma. Hali ni mbaya mno. Tunaendaje sherekea. ...
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Salamu, Huenda tutegemee matokeo chanya toka kwa msemaji huyu wa TANESCO Mha. K BOYMANDA Ikimpendeza afuate nyayo za Yule wa Chama tawala huenda watendaji wazembe katika ngazi za wilaya, mikoa...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa...
20 Reactions
130 Replies
12K Views
Tulishasema mara kadhaa humu JF na Kwingineko, kwamba kwenye Dunia hii hakuna mahali kokote ambako Shetani aliwahi kumshinda Mungu . Pomoja na utitiri wa hujuma, ambazo ni hujuma za kijinga...
22 Reactions
188 Replies
13K Views
John Magufuli, the late president of Tanzania, played a key role in making sure that Tanzania has the best roads in East Africa. He made road construction and maintenance a top priority of his...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar na kuelekea Doha, Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia...
0 Reactions
0 Replies
556 Views
Inatia moyo sana muitikio (Response) ya Serikali na idara zake huko Hanang(Katesh) , pia wadau na Wananchi wote kuungana na kujitoa kwa misaada ,nguvu kazi na Dua.Mungu awasaidie marehemu wote na...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
Naona kama mama nae anaenjoy tuu wala haoni kama hili ni tatizo kwake anakula tu good time na machawa wake huko DUBAI. Yani tunashinda mchana bila umeme, usiku ndio umeme unarudi hakafu asubuhi...
7 Reactions
16 Replies
2K Views
TANESCO wamejificha kwenye kichaka cha uzalishaji wa umeme wa gesi ili kupika data za kiasi cha umeme. Leo hii mvua zimeanza na hali ya umeme imeboreka sana. Inaonekana umeme wetu mwingi ni wa...
7 Reactions
14 Replies
963 Views
*Tulipanda Usiku, tunavuna Mchana.*ila MATUNDA HAYAFANANI na MBEGU ZETU tulizootesha USIKU. Ushoga, ulawiti, usagaji Tulipoamua sote kuwa wafanyakazi, wajasiriamali na watumishi (wanaume kwa...
5 Reactions
4 Replies
659 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa upumbavu ni sifa sawa na ilivyo ufupi au urefu; yaani huwezi kuubadili. Ina maana, kwa tafsiri ya Mwalimu Nyerere, mpumbavu huwezi kumbadilisha akawa mwerevu...
36 Reactions
65 Replies
4K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa wanawake Tanzania UWT Mary Chatanda amekabidhi Lori tatu za vifaa vya Msaada kwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe Queen Sendiga ikiwa ni muendelezo utoaji wa misaada kwa watu...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Serikali ya Saudi Arabia kwa jitihada kubwa wanayoitoa Tanzania kuungamkono miradi mbalimbali ya maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
489 Views
Wadau Wakati wa Utawala wa Awamu ya 4 Maboresho Makubwa ya Uchumi wetu yalifanyika mpaka Nchi ikaingia kwenye Uchumi wa Kati na kuendelea kidogo Awamu ya 5 kabla ya Bwana yule kuuvuruga kwa SERA...
0 Reactions
4 Replies
423 Views
Kipindi kile kila kitu kilikuwa ovyo ovyo biashara kila siku zinafunga yakiwemo mahotel na viwanda kama hususani vya chumvi. Kule bagamoyo viwanda vya chumvi vyote vilikuwa vimebaki magofu tu...
15 Reactions
144 Replies
7K Views
Taarifa za Tundu Antipas Lissu kushambuliwa na watu wasiofahamika zilipotolewa Jamii nzima ilipiga kelele za kulaani, Wengine wakamkimbilia Mungu wa mbinguni asaidie Ndipo roho wa Mungu...
2 Reactions
8 Replies
894 Views
Kwa mujibu wa Kanuni za Usalama wa Taifa, Uhuru wa Kujieleza na Upatikanaji wa taarifa za Johannesburg 1996; zuio kwa misingi ya 'Usalama wa Taifa' haliwezi kukubalika endapo lengo halisi ni...
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Salaam, Shalom! Mh Tundu Lissu alipopewa nafasi kuzungumza katika msiba wa Askofu Kweka, ameeleza yafuatayo kumhusu Marehemu Askofu Kweka akiquote wasifu wake kuwa. Marehemu Askofu Kweka alisoma...
8 Reactions
85 Replies
7K Views
Kama tunasema sisi ni taifa moja na hatubaguani kwa dini, rangi au itikadi za kisiasa tafsiri nzuri zaidi ya hili ni katika majanga na madhila mbalimbali ya kitaifa. Katika matukio kama hili la...
4 Reactions
11 Replies
619 Views
Back
Top Bottom