Askofu Munga: Moyo wangu umeugua kwa dhuluma KKKT waliyomfanyia Askofu Bagonza

Frank Wanjiru

JF-Expert Member
Apr 12, 2012
21,839
38,736
Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dr.Stephen Munga (PhD) ameeleza kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa kumpata Mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika hapo jana katika Chuo kikuu cha Tumaini, Makumira mkoani Arusha.

Kupitia taarifa aliyotoa kwa umma, mchana wa leo, Askofu Munga amesema moja ya kasoro zilizojitokeza ni kufukuzwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu kwa Maaskofu wawili ambao ni Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, na Askofu Dkt. Benson Bagonza (PhD) wa Dayosisi ya Karagwe.

Askofu Munga amesema katika kikao cha Halmashauri kuu, ambacho hupitisha majina ili yakapigiwe kura kwenye Mkutano mkuu, jina la Askofu Bagonza lilipendekezwa, lakini halikupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa sababu Bagonza na Mwaipopo walifukuzwa kwenye kikao hicho.

"Sitaki kuingilia mipango na makusudi ya Mungu lakini naomboleza kwako Askofu Bagonza kwa kufanyiwa dhuluma ili jina lako lisiteuliwe upigiwe kura na wajumbe wa sinodi ya kanisa. Moyo wangu unaugua. Nimehuzunika sana kwa ajili yako" imeeleza sehemu ya taarifa ya Askofu Munga kwa umma.

Taarifa ya Munga inaonesha kuwa Maaskofu waliopendekezwa kuwania nafasi ya ukuu wa Kanisa ni Askofu Dr.Alex Malasusa (PhD), wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu Dr.Abadnego Keshomshahara (PhD) wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi (Bukoba), Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) wa Dayosisi ya Karagwe na Askofu Dr.George Mark Fihavango (PhD) wa Dayosisi ya Kusini (Njombe).

Askofu Munga anadai kuwa jina la Askofu Bagonza lilikatwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu na akafukuzwa kutoka kwenye kikao hicho cha Uteuzi, yeye na Askofu Mwaipopo.

Hata hivyo Munga hajaeleza kwanini Bagonza na Mwaipopo walifukuzwa, zaidi ya kusema ni chuki binafsi za mkuu wa kanisa.

Askofu Munga ameeleza kuwa licha ya Bagonza kutokuwepo katika orodha ya wagombea, lakini alipigiwa kura (zilizotajwa kuharibika).

"Haukuwepo katika chumba cha uteuzi lakini jina lako liliendelea kutajwa. Haukuwepo katika orodha ya wagombea lakini ulipata kura nyingi. Hii ni ishara ya imani kubwa watu waliyonayo kwako.

Hata hivyo kwa ajili ya Kanisa nakusihi usamehe hata bila kuombwa msamaha. Amani ya Kristo ikae nawe" amehitimisha Askofu Munga.
 
unajua wenye akili.tumeshaona askofu kupita kwa aslimia 64 Tayari ni Tatizo
 
Kama hii ni kweli basi tena...
 
Yani vita vya watu wa madhabahunj ni ngumu sisi waumini kuwahukumia maana wao ni wapakwa mafuta,hembu tuache Mungu ahukumu katikati yao,maana hatujui kama ni mkweli au muongo,ok tuseme mkweli sisi tutaamua nini?na pia ni muongo sisi bado hatuna cha kuamua,Mungu awasaidie tu
 
Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dr.Stephen Munga (PhD) ameeleza kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa kumpata Mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika hapo jana katika Chuo kikuu cha Tumaini, Makumira mkoani Arusha.

Kupitia taarifa aliyotoa kwa umma, mchana wa leo, Askofu Munga amesema moja ya kasoro zilizojitokeza ni kufukuzwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu kwa Maaskofu wawili ambao ni Ambele Mwaipopo wa Dayosisi ya Ziwa Tanganyika, na Askofu Dkt. Benson Bagonza (PhD) wa Dayosisi ya Karagwe.

Askofu Munga amesema katika kikao cha Halmashauri kuu, ambacho hupitisha majina ili yakapigiwe kura kwenye Mkutano mkuu, jina la Askofu Bagonza lilipendekezwa, lakini halikupelekwa kwenye mkutano mkuu kwa sababu Bagonza na Mwaipopo walifukuzwa kwenye kikao hicho.

"Sitaki kuingilia mipango na makusudi ya Mungu lakini naomboleza kwako Askofu Bagonza kwa kufanyiwa dhuluma ili jina lako lisiteuliwe upigiwe kura na wajumbe wa sinodi ya kanisa. Moyo wangu unaugua. Nimehuzunika sana kwa ajili yako" imeeleza sehemu ya taarifa ya Askofu Munga kwa umma.

Taarifa ya Munga inaonesha kuwa Maaskofu waliopendekezwa kuwania nafasi ya ukuu wa Kanisa ni Askofu Dr.Alex Malasusa (PhD), wa Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Askofu Dr.Abadnego Keshomshahara (PhD) wa Dayosisi ya Kaskazini Magharibi (Bukoba), Askofu Dr.Benson Bagonza (PhD) wa Dayosisi ya Karagwe na Askofu Dr.George Mark Fihavango (PhD) wa Dayosisi ya Kusini (Njombe).

Askofu Munga anadai kuwa jina la Askofu Bagonza lilikatwa kwenye kikao cha Halmashauri kuu na akafukuzwa kutoka kwenye kikao hicho cha Uteuzi, yeye na Askofu Mwaipopo.

Hata hivyo Munga hajaeleza kwanini Bagonza na Mwaipopo walifukuzwa, zaidi ya kusema ni chuki binafsi za mkuu wa kanisa.

Askofu Munga ameeleza kuwa licha ya Bagonza kutokuwepo katika orodha ya wagombea, lakini alipigiwa kura (zilizotajwa kuharibika).

"Haukuwepo katika chumba cha uteuzi lakini jina lako liliendelea kutajwa. Haukuwepo katika orodha ya wagombea lakini ulipata kura nyingi. Hii ni ishara ya imani kubwa watu waliyonayo kwako.

Hata hivyo kwa ajili ya Kanisa nakusihi usamehe hata bila kuombwa msamaha. Amani ya Kristo ikae nawe" amehitimisha Askofu Munga.
Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume huwezi kukuta ujinga huu.
 
Askofu Mstaafu wa KKKT Dayosisi ya Kaskazini Mashariki, Dr.Stephen Munga (PhD) ameeleza kasoro zilizojitokeza katika uchaguzi wa kumpata Mkuu wa Kanisa hilo uliofanyika hapo jana katika Chuo kikuu cha Tumaini, Makumira mkoani Arusha.

Kupitia taarifa aliyotoa kwa umma, mchana wa leo, Askofu Munga amesema moja ya kasoro zilizojitokeza ni kufukuzwa sihi usamehe hata bila kuombwa msamaha. Amani ya Kristo ikae nawe" amehitimisha Askofu Munga.
Hata huku kuna mikono ya watu😂
 
Back
Top Bottom