Prof Kitila Mkumbo amekuwa muongo sana. Mijini tu hakuna maji sembuse vijijini?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.

Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi asilimia 85. Kwa takwimu za mwaka 2022 tuko asilimia 77" Prof. Kitila, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
 
We hushangai wasomi kwa nini wasomi hawaheshimiki tena kama zamani, sababu kubwa ni hawa"mapolofesa" ambao wamekua na ujasiri wa kutoka na kuongea au kufanya mambo yasiyo na mantiki kabisa
 
Uwe unasoma kwa umakini maneno ya wanasiasa, kuna ujanja unatumika katika maelezo yao. Hapo kasema "walikua wanapata maji safi na salama" wanapta sio maana yake serikali imefikisha hayo maji, wala hajasema serikali imesambaza mabomba. Kwa hivyo hapo ikitokea akaulizwa mbona huko vijijini hakuna mabomba atasema wanapata maji kutoka kwenye vyanza vya asili kama mito, visima na ziwa
 
Puuzi wewe
 
Anashangaza sana. Unajua mtu mwongo anaudhi mno kwasababu unapodangnya watu hiyo ni dharau kuwa hao watu ni wapumbavu na wanadanganyika.
 
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.

Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi asilimia 85. Kwa takwimu za mwaka 2022 tuko asilimia 77" Prof. Kitila, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Viongozi walio wengi ni waongo tu, hebu sikiliza hii hapa chini
 
Alichosema Kitila Mkumbo kwenye Sherehe za Uhuru Dodoma.

Wakati tunaanza utekelezaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025 mwaka 2000, ilikuwa ni 32% pekee ya Watanzania waishio vijijini walikuwa wanapata huduma ya maji safi na salama, tukajiwekea lengo kuwa ifikapo 2025 tuwe tumesogeza hadi asilimia 85. Kwa takwimu za mwaka 2022 tuko asilimia 77" Prof. Kitila, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji
Hivi sikuhizi ma propesa wengi wameona kazi ni siasa tu? Naona kama wanajidhalilisha mno kama yule wa matopeni, ili udumu kwenue siasa na uteuliwe lazina kuwa chawa!!
 
Back
Top Bottom