johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,036
- 142,109
Watu wengi huwa wanashindwa kutofautisha Malengo ya vyama vyetu Vya siasa
Kwanza nikiri hadi sasa vyama Vya siasa hapa nchini ni viwili tu CCM na Chadema vilivyobaki viliundwa mahsusi kwa ajili ya Kutoa Taarifa na kuvutia Siasa za Misaada na Mikopo kwa Wafadhili huko duniani
Ndio utaona ilikuwa rahisi sana Maalim Seif kuinunua ACT Wazalendo au Shibuda kuinunua Tadea lakini Bilionea Lowassa alishindwa kuinunua Chadema au Shujaa alishindwa kujimilikisha CCM
Ila nina Swali dogo,.Je CCM bado inawajali na kuwaenzi Wakulima na Wafanyakazi?
Nawatakia Dominica Njema 😀