Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 2,102
- 2,717
Amepewa fursa ya kuongoza nchi kwa miaka michache tu anataka atupangie mipango ya 2050.
Ndiyo Mhe. Msekwa alikuwa anasema wakati ule,"Kwamba nimesikia watu wanataka kubadili Katiba Magufuli atawale milele. Maneno gani haya?"
Masheikh juzi wameshinda kesi mahkamani,wamekamatwa tena,sasa hii ndio vision ya 2050 tunayotaka.
Rais Samia inamhusu nini Tanzania itakavyokuwa 2050?
Hata Daniel aliambiwa,"Wanataka mfalme? Wape mfalme. Kwa sababu wananikataa MIMI nisiwe Kiongozi wao."
Haitoshi kwamba rasilmali za nchi zinasimamiwa kwa njia ambazo ginaketa mashaka,sasa tunazigeukia fikra za watu tuziongoze mpaka 2050?
Na yule Doris "active" aliyetajwa pale ana shughuli gani? Rais huyu BADO hajachaguliwa na wananchi. Hana mandate ya kufanya grandiose plans. Hana mandate ya kufanya mambo kama haya.
Unauliza,"Lakini Rais Samia si alikuwa mgombea mwenza?" Hebu tazama mfano wa London Johnson aliyemrithi Kennedy. Huyu Johnson hatimaye alikwenda kwenye uchaguzi akashinda, akaapishwa kuwa rais.
Baada ya kuapishwa, kesho yake akaanza kukwapua dhahabu ya Fort Knox. Magari yakaanza kuichukua ile dhshabu yakiongozwa na Lynda Bird.
Kwa hiyo kama kiongozi anataka kufanya mabadiliko makubwa anapaswa kusubiri kwanza apate mandate.