Kinana akutana na Katibu Mkuu wa chama cha SWAPO

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Sep 6, 2020
738
478
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurlahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa, Disemba 08, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.
IMG-20231208-WA0028.jpg
IMG-20231208-WA0029.jpg
IMG-20231208-WA0031.jpg
IMG-20231208-WA0030.jpg
 
Kinana kaamua kufanya kazi na jambazi Makonda??

Halafu kumbe huyu jambazi Makonda makalio makubwa ilikuwa ni nguvu ya soda? Mbona hasikiki tena?
 
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdurlahman Kinana amekutana na kufanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha SWAPO cha Namibia Komredi Sophia Shaningwa, Disemba 08, 2023, katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, jijini Dar es Salaam.View attachment 2836462View attachment 2836463View attachment 2836465View attachment 2836466
SWAPO wanaadmire sana MaCC ....I hope hajaja kufundishwa WIZI wa kura kwa mafisadi kwa haya MAMBUZI .... Uchaguzi Namibia ni mwakani!!!
 
Back
Top Bottom