Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 741
- 479
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mama Mariam Mwinyi amewasili Doha Qatar kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la Doha 2023(Doha Forum 2023) tarehe 8 Desemba, 2023.
Rais Dk. Mwinyi amepokelewa na Mkuu wa Itifaki wa Wizara ya Mambo ya Nje Qatar Balozi Ibrahim bin Yousif Fakhroo pamoja na Balozi wa Tanzania Qatar Mhe. Habibu Awesi Mohamed katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Hamad Doha, Qatar.