Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni kijana mzaliwa wa mkoa wa Shinyanga, wilaya ya Kishapu, katika kijiji cha Ukenyenge. Ni msomi kutokea chuo kikuu cha Dar es Salaam. Masele ni mmoja wa vijana waliopata bahati ya kuaminika na...
3 Reactions
2 Replies
1K Views
Tanganyika ilianzishwa chini ya wakoloni wa Kiingereza mnamo mwaka 1921 mara baada ya vita ya Kwanza ya dunia kuisha. Nchi hii ambayo toka ilipochukuliwa na Mjerumani mwaka 1885 iliitwa German...
0 Reactions
14 Replies
883 Views
Naomba kuuliza katika utawala je Rais huwa HAKOSEI? Je, Rais anaweza kuwa na ushawishi wowote wenye nguvu kuingiza nchi kwenye mikataba isiyo na tija Kwa nchi? Je, Rais anaweza kuamua Jambo...
1 Reactions
6 Replies
515 Views
Serikali ya Awamu ya sita Mungu anawaona!
1 Reactions
33 Replies
2K Views
Hakika KESI ya MEMBE VS MUSIBA na FATUMA VS MUSIBA ni ya aina yake nzuri sana KUJIFUNZA kwa sasa. Kesi hizi mbili ni SOMO TOSHA kwa hili KUNDI KUBWA lililoanza kuibuka Katika UTAWALA wa AWAMU ya...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Mbunge wa zamani huko Monduli hayati Sokoine aliwahi kusema Ukiona Binadamu anamsifia Binadamu badala ya Mungu ujue ana ajenda ya Siri. Sokoine alisema Sifa na Shukrani ni kwa Mungu bali kwenye...
2 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna mtu kaniuzia habari kwamba Kanisa Katoliki Makao Makuu limegoma kumpa U-Askofu Padri Kitima baada ya "kunusa" taarifa kwamba Padri Kitima ni mshauri mkuu wa Mwenyekiti Mbowe na pia anajipanga...
12 Reactions
96 Replies
12K Views
Nilikuwa najiuliza sana wanaposema mvuto wa Mama Samia umepunguwa nawaelewa vizuri sana wiki hii. Wiki hii nimebahatika kuona video nne. Mama Samia akiwa Hanang akiongea kwenye jukwaa, video ya...
35 Reactions
82 Replies
8K Views
Mungu hamfichi mnafiki.Msemo maarufu wenye miaka mingi. Wataalam wa shirika la ugavi wa umeme TANESCO wamejibiwa na Mungu mwenyewe pale walipojibu shutuma kwanini umeme haupatikani huku mvua...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
Nyie mnaolia kupanda kwa nauli mnataka sheli za olypiacos, blue coast na lake oil zimuuzie nani mafuta? Nyie mnapolipa nauli kubwa ndo makampuni ya mabasi yanapokua na pesa nyingi za kujaza full...
0 Reactions
7 Replies
737 Views
Leo Tanganyika inasherehekea miaka 62 ya uhuru wa bendera toka kwa mkoloni wa Kiingereza. Nakumbuka wakati tunapata uhuru Hayati Mwl. JKN, baba wa Taifa alisema, pamoja na uhuru huo, bado kama...
1 Reactions
4 Replies
720 Views
CWT ilianza kupata mapengo muda mrefu hata kabla ya katibu Japhet Maganga. Kwa Japhet Yeye anaamini wanaomuhujumu ni viongozi waliopita, hasa katibu. Wapo wanaoamini siasa ya CWT inaathiri sana...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Waziri wa Maji Jumaa Aweso amemuondoa kwenye nafasi yake Mkurugenzi wa Sehemu ya Uchimbaji wa Visima na Ujenzi wa Mabwawa, Mhandisi Mashaka Sitta baada ya Mhandisi Sitta kutotimiza vema majukumu...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Ndugu watanzana sera na mitaala ya elmu ya 2023 ni mibovu inahitaji kubadilishwa kabla ya kuanza kutumika. Mama alisema watanzania semeni ili kujenga taifa lenu sasa ego tumeamua kuongea kupitia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ninasema hivyo kutokana na mtazamo wangu binafsi.siwakilishi chama chochote cha kisiasa nchini. Mbinu za ufanyaji siasa za chadema kwa sasa zimepitwa na wakati au zimechokwa! Ninaposema hivyo...
5 Reactions
58 Replies
2K Views
Prof. Mbarawa ameyasema hayo alipohutubia Mkutano wa Majadiliano ya sekta ya Usafirishaji Nchini uliokuwa unafanyika Arusha. Mbarawa amenukukiwa akisema Mwekezaji huyo ni tofauti na DP World na...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
KIMWILI TUKO KATIKA ARDHI HURU YA TANZANIA, KIFIKRA TUKO UTUMWANI ULAYA. Siku ya leo miaka 62 iliyopita ardhi yetu ya Tanzania ilitambulika rasmi kama ardhi huru. Kwajitihada za wazee wetu ambao...
1 Reactions
1 Replies
592 Views
Uchaguzi Huru na wa Haki ni ule ambao kila hatua huwa wazi na inayotoa Uhuru wa kuchunguzwa na Washikadau kuweza kuthibitisha kwa Uhuru ikiwa mchakato unafanywa kwa Uaminifu na Usahihi. Michakato...
1 Reactions
4 Replies
733 Views
Watanzania Siyo Wajinga na huu ujanja ujanja wa Mawaziri kumtaja taja Rais wa JMT katika kila tukio Watanzania wameshaung'amua Mawaziri wengi ni dhaifu na ni Wafanyabiashara Mungu wa Mbinguni...
9 Reactions
10 Replies
954 Views
Benki ya kilimo ilianzishwa kwa lengo la kukuza sekta ya kilimo nchini kupitia uwezeshaji na mikopo. Lengo lilikua zuri kwani malengo hasa ilikuwa kuwafikia hadi wakulima wadogo. Leo hii bank hiyo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom