Tunasheherekea Uhuru wa Tanzania, hakuna kitu cha kisheria kinaitwa Tanganyika

Mr Beast

Senior Member
Nov 8, 2023
184
295
IMG-20231210-WA0007.jpg

Haraka haraka na kwa ufupi sana,

April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote,

Kwenye ndoa wenza hasa mke hupendelea kutumia baadhi yamajina ya mume na hili kisheria linakubalika ikiwa ni baada ya kula kiapo kwa makamishina wa viapo kama mawakili au mahakimu, nadhani na hili wote tunakubaliana.

Chukua mfano huu, Mimi naitwa Israel Yusuph Suleiman nikamuoa mrembo Hamisa Mobetho,Japo naamini haiwezekani,

Hamisa kisheria anaweza akaitwa Hamisa Yusuph Suleiman bila kupoteza Sifa ya Birthday yake nadhali na hili tutakubaliana wote,

Wala hii haina maana tarehe ya birthday ya Mobetho ashindwe kusheherekea kisa jina lake sio Hamisa Mobetho tena ila ni Hamisa Yusuph Suleiman, nadhani mmeanza kunielewa,

Wale wenye vichwa vigumu nadhani mtaelewa kwa kupitia mfano huu mujarabu kabisa.

January 12 Kila mwaka ndio siku ya Uhuru/Mapinduzi matukufu ya Zanzibar lazima washerehekee na tarehe Dec 9 ni tarehe ya Uhuru wa Tanganyika lazima isherehekewe hata kama jina la Tanganyika baada ya ndoa limekuwa Tanzania ila haki ya birthday ya Tanzania, inabaki palepale kama ilivyo kwa Hamisa Mobetho ambae Sasa anaitwa Hamisa Yusuph Suleiman.

Happy independence day, Tanzania.
 
January 12 Kila mwaka ndio siku ya Uhuru wa Zanzibar lazima washerehekee na tarehe Dec 9 ni tarehe ya Uhuru wa Tanganyika lazima isherehekewe hata kama jina la Tanganyika baada ya ndoa limekuwa Tanzania ila haki ya birthday ya Tanzania, inabaki palepale kama ilivyo kwa Hamisa Mobetho ambae Sasa anaitwa Hamisa Yusuph Suleiman.

Happy independence day, Tanzania.
Mfano mzuri sana huu,

Tanzania bado ni Tanganyika tu
 
View attachment 2838410
Haraka haraka na kwa ufupi sana,

April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote,

Kwenye ndoa wenza hasa mke hupendelea kutumia baadhi yamajina ya mume na hili kisheria linakubalika ikiwa ni baada ya kula kiapo kwa makamishina wa viapo kama mawakili au mahakimu, nadhani na hili wote tunakubaliana.

Chukua mfano huu, Mimi naitwa Israel Yusuph Suleiman nikamuoa mrembo Hamisa Mobetho,Japo naamini haiwezekani,

Hamisa kisheria anaweza akaitwa Hamisa Yusuph Suleiman bila kupoteza Sifa ya Birthday yake nadhali na hili tutakubaliana wote,

Wala hii haina maana tarehe ya birthday ya Mobetho ashindwe kusheherekea kisa jina lake sio Hamisa Mobetho tena ila ni Hamisa Yusuph Suleiman, nadhani mmeanza kunielewa,

Wale wenye vichwa vigumu nadhani mtaelewa kwa kupitia mfano huu mujarabu kabisa.

January 12 Kila mwaka ndio siku ya Uhuru/Mapinduzi matukufu ya Zanzibar lazima washerehekee na tarehe Dec 9 ni tarehe ya Uhuru wa Tanganyika lazima isherehekewe hata kama jina la Tanganyika baada ya ndoa limekuwa Tanzania ila haki ya birthday ya Tanzania, inabaki palepale kama ilivyo kwa Hamisa Mobetho ambae Sasa anaitwa Hamisa Yusuph Suleiman.

Happy independence day, Tanzania.
CHADEMA nadhani hii imeenda na imefika
 
Umetumia mfano mzuri sana, Asante sana
 
Happy independe

Nakubaliana na hii, Hamisa naombeni namba zake
nce day, Tanzania.
 
Nadhani neno Tanganyika wangeliondoa hadi kwenye hati ya muungano.

Kwenye hati ya muungano hakuna kitu Tanzania Bali Kuna "MUUNGANO WA TANGANYIKA na ZANZIBAR".

Nadhani Kuna mkanganyiko hapo. Neno Tanzania lilisajiliwa kuwakilisha hadhi ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar but baada ya kutungwa kwa Sheria namba 27 ya mwaka 1967, neno Tanzania likaanza kureplace
neno Tanganyika katika Sheria zote na mahali popote lilipoonekana neno TANGANYIKA.

Kwa maana hiyo neno TANZANIA Leo hii linawakilisha TANGANYIKA badala ya kuwakilisha hadhi ya muungano wa TANGANYIKA na ZANZIBAR.
 
View attachment 2838410
Haraka haraka na kwa ufupi sana,

April 26 mwaka 1964 Tanganyika na Zanzibar walifunga ndoa kisheria na kila April 26 ni anniversary ya Tanganyika na Zanzibar,hapa tunakubaliana wote,

Kwenye ndoa wenza hasa mke hupendelea kutumia baadhi yamajina ya mume na hili kisheria linakubalika ikiwa ni baada ya kula kiapo kwa makamishina wa viapo kama mawakili au mahakimu, nadhani na hili wote tunakubaliana.

Chukua mfano huu, Mimi naitwa Israel Yusuph Suleiman nikamuoa mrembo Hamisa Mobetho,Japo naamini haiwezekani,

Hamisa kisheria anaweza akaitwa Hamisa Yusuph Suleiman bila kupoteza Sifa ya Birthday yake nadhali na hili tutakubaliana wote,

Wala hii haina maana tarehe ya birthday ya Mobetho ashindwe kusheherekea kisa jina lake sio Hamisa Mobetho tena ila ni Hamisa Yusuph Suleiman, nadhani mmeanza kunielewa,

Wale wenye vichwa vigumu nadhani mtaelewa kwa kupitia mfano huu mujarabu kabisa.

January 12 Kila mwaka ndio siku ya Uhuru/Mapinduzi matukufu ya Zanzibar lazima washerehekee na tarehe Dec 9 ni tarehe ya Uhuru wa Tanganyika lazima isherehekewe hata kama jina la Tanganyika baada ya ndoa limekuwa Tanzania ila haki ya birthday ya Tanzania, inabaki palepale kama ilivyo kwa Hamisa Mobetho ambae Sasa anaitwa Hamisa Yusuph Suleiman.

Happy independence day, Tanzania.
Umeeleweka kabisa ila pingapinga FC watakugomea
 
Tanzania ni sawa na Tanganyika
 
Back
Top Bottom