Goliath mfalamagoha
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 602
- 2,505
NAWAANDIKIA VIJANA WA CHAMA CHA MAPINDUZI.
Ndugu zangu vijana wafuasi wa chama cha mapinduzi mmethibitisha kwa kiwango kikubwa kwamba either wengi wenu ni wanafiki, ama hamjui mnachokifuata au hamna mapenzi na viongozi wenu wa chama. Na kwa stahili hiyo kama hamuwezi kusema chochote ktk chama chenu hata mkae mkijua hamna msaada ktk chama chenu, na hivo hata wanao waongoza wanajua fika hamna umuhimu wowote.
Nawaambia tangu nimeanza kuifatilia ccm mpk leo wakati naandika najua msemaji wa mambo yote yahusuyo chama ni KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI amabaye kwa sasa ni Humphrey Polepole, hakuna siku hata moja MKT akageuka msemaji wa chama, sasa mjiulize kwanini mnapata taarifa kuhusu viongozi wa chama kupitia njia ambayo haikuzoeleka? labda limefanyiwa mabadiliko kwenye mabadiliko ya juzi ya katiba yenu Dodoma.
Nilitegemea kuona mkipost tangu jana kumtakia afya njema mzee KINANA, MKIULIZA YUKO HOSPITALI GANI HUKO INDIA? NA JE ANAUMWA UGONJWA GANI? MAANA KUNA WANA CCM KIBAO WAISHIO INDIA WAENDE WAMWONE, WATUME PICHA TUJUE KATIBU MKUU ANAENDELEAJE? lakini kukaa kwenu kimya hampost chochote kuhusu mzee KINANA, mmebaki ku hack akaunti za vijana wa chadema na kuweka picha za viongozi wenu wa CCM, haiwasaidii na inathibituisha hamna uwezo wa kutushawishi tuwapende viongozi wenu ambao ukiacha ubinadamu, kisiasa TUNAWACHUKIA MPAKA KESHO.
Mlipaswa kufurika mtandaoni kumtia kitimoto Humphrey polepole, maana alipaswa kupost tangu siku katibu mkuu wenu anaondoka kwenda India, awape kinachoendelea mpk anarudi, mlipaswa kuwa mnashare posts za katibu mkuu wenu anawaaga kwenda kwenye matibabu akiwaomba mmwombee apone haraka, lakini mko kimya, KWELI HAMUWAPENDI VIONGOZI WENU AU MNA TATIZO JINGINE.
Mmekazana kumtetea BASHITE mitandaoni kuliko afya ya katibu mkuu wenu KINANA, hivi leo BASHITE KAWA MUHIMU NDANI YA CCM KULIKO KINANA NA NAPE NNAUYE???? Na nyie mmekubali hilo, mnachekesha sana vijana wa CCM.
Vijana wa ccm kaa mjitafakari sana, niliwahi kupost hapa wakati nadokeza mgawanyiko wa baraza la mawaziri, wengi mlifikiri Humphrey polepole kaja kukisaidi chama, lakini angekuwa wa kuisaidia ccm, angekisaidia wakati wa uchaguzi, kwa wanaojua aliitabiria ccm kushindwa tena mara nyingi, KO POLEPOLE ALIPEWA HII NAFASI ILI ANYAMAZE NA ASHIRIKI KUIZIKA AGENDA YA KATIBA LAKINI HAKUJA KUKIJENGA CHAMA.
Najua mnamapenzi na ccm na mko tyr kuifia, lakini akilini kaa mkijua NAPE NNAUYE KAONDOKA KWA FEDHEA, HAMJUI KINANA ANAENDELEAJE, POLEPOLE NDO AMEKUWA MTOTO WA NDANI NA BASHITE KAKALIA KITI CHA ENZI, nafasi yenu iko wapi?
Kumbuka kwamba ushawishi alokuwa nao Julius Malema na nafasi yake ndani ya ANC, ndo inayoitesa ANC mpk leo, msifikiri NAPE anadharirika nyie ndo mtaheshimika, sahau.
MWISHO KAENI MKIJUA BILA NAPE NNAUYE NA KINANA CCM INGEKUWA INAONGOZA KAMBI RASMI YA UPINZANI LEO, KARIBU NAPE NNAUYE KUNA WATU TUKO TAYARI KUUTHAMINI MCHANGO NA UMUHIMU WAKO, NAKUHAKIKISHIA UKIKATA SHAURI AMA HAKIKA UTAKUWA KIUMBE KIPYA YA KALE YATAKUWA YAMEPITA.