Ujinga wa Upinzani na busara za Waziri Mkuu

NANCA

Member
Jun 23, 2023
92
100
Katika kitu cha kijinga kinachofanywa na watu wa siasa za upinzani na kuzifanya tetesi za kifo za kiongozi fulani au kifo cha kiongozi fulani kuwa siasa zao na kampeni zao.

Unamkuta mtu anampayukia Waziri Mkuu au Rais mitandaoni hata kumwita muongo na mbaya kuliko shetani eti kisa amesema kiongozi fulani yupo na anaendelea vizuri.

Huo ni ujinga, kukosa busara na kushindwa kuchagua kipi kiwe siasa zenu na kipi kiwe busara yenu. Huwezi kusema shetani ni mkweli kuliko waziri mkuu.

Kiongozi fulani anapokua ametutoka sasa hivi na tukadhibitisha, hatuwezi kutangaza on the spoti, lazima tujipe siku za kujiridhisha, siku za uchunguzi, siku za maandalizi na siku za taratibu za kiserikali hvyo inaweza kuchukua hata siku 10 mbele katika usiri mkubwa hadi wananchi kutangaziwa.

Pia Waziri Mkuu serikalini anaishi kwa protocol za kiserikali hawezi kutangaza bila kudhibitisha, na hata akidhibitisha mwenye mamlaka ya kutangaza kwa mtu wa nafasi ile ni rais na Kama ni mwingine basi hadi apewe ruhusa na rais mwenyewe.

Hivyo alichofanya Waziri Mkuu wakati wa Hayati Magufuli na labda anachofanya Sasa ni sawa na ni kipimo tosha kua waziri wetu ni mvumilivu, msikivu na mwenye busara nyingi sana tena mnyenyekevu na mwenye heshima ambae atatufaa 2031 baada ya Samia.
 
Sasa povu la nini kuwabwatukia wapinzani wanaotaka kujua ukweli alipo kiongozi huyo mkuu? Si wangeanza na hali yake inaendeleaje taratibu mpaka hali ya udhihirisho kama ilivyotokea kwa baba wa taifa kuliko kusemasema anaendelea kuchapa kazi wakati haonekani huko anakochapa kazi? Media zipo za kutosha zingemuonesha aliko
 
Wewe unatokea mkoa gani maana hilo neno lako ‘kudhibitisha’ tena umelirudia siyo chini ya maratatu sijui ulifundishwa kiswahili wapi! Sema ‘kuthibitisha’ siyo ‘kudhibitisha’.
 
Pole sana. Hata siku moja uwongo haujawa kuwa ni busara. Ni aheri ukae kimya kuliko kusema uwongo.
 
Sasa povu la nini kuwabwatukia wapinzani wanaotaka kujua ukweli alipo kiongozi huyo mkuu? Si wangeanza na hali yake inaendeleaje taratibu mpaka hali ya udhihirisho kama ilivyotokea kwa baba wa taifa kuliko kusemasema anaendelea kuchapa kazi wakati haonekani huko anakochapa kazi? Media zipo za kutosha zingemuonesha aliko
Mleta mada ni mpuuzi. Mbona mataifa mengine huo ujinga wa kusema uwongo kwenye masuala ya afya ya kiongpzi au kifo, haupo?

Zambia, kiongozi alifariki akiwa madarakani, Ilipothibitika amefariki, taarifa zilitolewa mara moja. Mandela alipopata mafua makali, wananchi waliambiwa mara moja. Museveni alipougua covid 19, taarifa zilitolewa mara moja. Malkia wa Uingereza alipoteleza na kuvunjika mfupa, taarifa ilitolewa mara moja.

Sasa sisi ujinga wa kuongea uwongo, ni akili au matope?
 
Katika kitu cha kijinga kinachofanywa na watu wa siasa za upinzani na kuzifanya tetesi za kifo za kiongozi fulani au kifo cha kiongozi fulani kuwa siasa zao na kampeni zao.

Unamkuta mtu anampayukia Waziri Mkuu au Rais mitandaoni hata kumwita muongo na mbaya kuliko shetani eti kisa amesema kiongozi fulani yupo na anaendelea vizuri.

Huo ni ujinga, kukosa busara na kushindwa kuchagua kipi kiwe siasa zenu na kipi kiwe busara yenu. Huwezi kusema shetani ni mkweli kuliko waziri mkuu.

Kiongozi fulani anapokua ametutoka sasa hivi na tukadhibitisha, hatuwezi kutangaza on the spoti, lazima tujipe siku za kujiridhisha, siku za uchunguzi, siku za maandalizi na siku za taratibu za kiserikali hvyo inaweza kuchukua hata siku 10 mbele katika usiri mkubwa hadi wananchi kutangaziwa.

Pia Waziri Mkuu serikalini anaishi kwa protocol za kiserikali hawezi kutangaza bila kudhibitisha, na hata akidhibitisha mwenye mamlaka ya kutangaza kwa mtu wa nafasi ile ni rais na Kama ni mwingine basi hadi apewe ruhusa na rais mwenyewe.

Hivyo alichofanya Waziri Mkuu wakati wa Hayati Magufuli na labda anachofanya Sasa ni sawa na ni kipimo tosha kua waziri wetu ni mvumilivu, msikivu na mwenye busara nyingi sana tena mnyenyekevu na mwenye heshima ambae atatufaa 2031 baada ya Samia.
Wewe siyo NANCA bali ni ni NANGA!
 
Wewe unatokea mkoa gani maana hilo neno lako ‘kudhibitisha’ tena umelirudia siyo chini ya maratatu sijui ulifundishwa kiswahili wapi! Sema ‘kuthibitisha’ siyo ‘kudhibitisha’.
Mimi huwa sio mzuri wa kiswahili, ata darasani sikua nikiingia wakati wa somo hilo
 
Back
Top Bottom