Dkt. Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango.Kuna watu kabisa wanaomba mabaya kwake kwa kuchunguza wengi wao ni wahuni fulani ndani ya mfumo na chama ambao washazoea kulihujumu taifa wanajua fika kuwa mpango ni kikwazo cha kufikia malengo yao maovu dhidi ya taifa hili

Taifa linahitaji kina mpango wengi zaidi, taifa linahitaji viongozi wazalendo wenye hofu ya Mungu, wacha Mungu na wanyenyekevu kama Dr Mpango

Laiti Viongozi wote wangekua na hekima,moyo,utu na kuuchukia ufisadi na ubinafsi kama ambavyo Dr Mpango alivyo na moyo na spirit ya uzalendo basi kama taifa tungekua mbali sana.

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Dr Mpango ni mzalendo haswa, wala uzalendo wake hauna shaka yoyote kwanini mumpige vita?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?

Kwanini kila mtu mwenye maono ya mawazo ya kuyagusa maisha ya wananchi wa chini kwanini anapigwa vita?

Hakuna vita ngumu kama vita ya kiuchumi, sasahivi ndo naelewa kuwa wahuni sio watu wazuri, matatizo yote taifa linalopitia now yamesababishwa na wahuni wachache ambao mkakati wao ni kuhakikisha wazalendo wote na wanaochukia ufisadi wanatolewa nje ya System ili waweze kufikia malengo yao!!

Maombi yangu yote yaende kwa Dr Mpango, Mungu akulinde popote ulipo, hainihitaji kuwa na chama kuomba kwa ajili ya hili,laiti mngeujuwa roho ya kweli ya uzalendo na uchungu wa nchi inavyolia katika maono ya ulimwengu wa roho basi tuungane kumuombea Dr Mpango!! Kuna mambo hata hapa siyawezi kuandika its so sad.
 
Dkt. Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dkt. Mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarabu, mpole, asiye na makuu, mchamungu na asiye na majivuno, huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dkt. Mpango kawafanyia nini? Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dkt. Mpango kosa lake ni nini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dkt. Mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
FB_IMG_1701962139076.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawahsnag snaa chadema kumzushia kifo na mabaya yampate mpango

Kwanza mpango mwenyewee hajawia kuomba kuwa mwanasiasa Ni jiwe ndio alimlazimishaa kuingia kwenye siasa na Sasa bahat ikamdondokeaa kapata umakamu.

Mungu amjalie afya njema Huko aliko
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Hawezi kupendwa na kila mtu kwasababu yeye siyo pesa!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Mpango ni mtu mzuri bila hata kua karibu nae unamuelewa kua ni mtu mwenye moyo wa pekee.

Ila vile ni public figure, ndio maana haya yote yanatokea na watu wana haki ya kutaka kujua alipo kiongozi wao.

Ukishakua na public interest, personal issue zako zote zinapotea, hakuna privacy tena ukishakua kiongozi wa umma, lazima kila unachofanya ama unachopitia watu wajue na ni haki yao.

Hivyo na mimi naungana na wewe kumuombea apone haraka kama kweli anaumwa. Maradhi ni jambo la kawaida kwa binadamu.
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Shida ni kiongozi kutokuwa na shida na watu ndiye anayefaa?
Mimi nilidhani ni bora kiongozi ambaye si mpole ni mkali kwa mafisaid na awe na shida na wanaotafuna mali za umma na si maigizo.
 
Dr Mpango hajawahi kuwa na shida na mtu, ni mtu mstaarabu na kiongozi bora sana.

Ukimya wa Dr mpango unazua taharuki sana, lakini tunasahau huyu kiongozi ni miongoni mwa watu wastaarabu, wapole, wanyenyekevu sana nchi hii.

Personally kuna majukumu au mambo ambayo yamewahi kunikuta nikajikuta nipo karibu na maisha ya huyu Kiongozi kipindi hicho akiwa ni waziri, aiseee ni mtu mmoja mstaarab, mpole, asiye na makuu,mchamungu na asiye na majivuno,huyu kiongozi ni mtu anayeishi maisha ya kipekee sana na ya kawaida sana, hajikwezi na huwezi kumuona akijitapa kama mtu mwenye pesa.

Maombi yangu ni huko alipo kama anaumwa apone haraka sana, nilichogundua Tanzania kuna "wahuni" ambao wanakaa na kuombea watu vifo, imagine kuna watu wanamuombea mabaya Dr Mpango

Maswali ni mengi sana nawauliza hao watu?

Dr mpango kawafanyia nini?Mbona hanaga ubaya na mtu?

Dr mpango kosa lake ninini au ni kwasababu hana makandokando au hapendi hulka za wahuni za ufisadi?

Au ni kwasababu Dr mpango ana misimamo ya kizalendo ndo maana genge la walafi wanamchukia?
Ni ukweli ulio wazi kwamba Dkt. Mpango hana makuu na wala hana matatizo na mtu. Ni miongoni mwa viongozi wachache sana ktk nchi hii ambao hawana 'makandokando' ya kutisha.
Tatizo ninaloliona Mimi ni kwamba Serikali yenyewe ndio ambayo imesababisha uvumi huu mbaya wa kumchuria mtu huyu kwa kufanya Usiri wa kipuuzi usiokuwa na ulazima. Pale ambapo habari za ukweli zinafichwa basi habari za uongo na uzushi hupata nguvu zaidi na kuaminika na watu.
 
Nawahsnag snaa chadema kumzushia kifo na mabaya yampate mpango

Kwanza mpango mwenyewee hajawia kuomba kuwa mwanasiasa Ni jiwe ndio alimlazimishaa kuingia kwenye siasa na Sasa bahat ikamdondokeaa kapata umakamu.

Mungu amjalie afya njema Huko aliko
Weka ushahidi wa Chadema kumzushia VP kifo vinginevyo futa huu upuuzi wako. Mambo yenu huko huko msituletee huku.
 
Back
Top Bottom