Majanga ya Asili: Tukafanye utafiti kwa Wahadzabe na wanaofanana nao ili tufahamu jinsi wanavyotambua majanga haya kabla hayajatokea?

Pascal Mayalla

Platinum Member
Sep 22, 2008
50,499
113,610
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga hayajatokea?

Japo wazungu wanasemekana ni wataalamu sana wa sayansi lakini hawawezi ku detect tetemeko la ardhi kabla halijatokea, au mlipuko wa volcano, lakini wanyama wa porini wana uwezo wa kudetect na makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo!

Mlima Hanang uko kwenye safu ya milima ya volcanic mountains kama Oldonyo Lengai, usikute una volcano hai!. Enzi zile Oldonyo Lengai, ulipofuka moshi mzito, na majivu yale yaliwaathiri wanyama na mifugo, ya kufungwa ndio iliathirika kutokana na kufungiwa lakini wanyama wa porini wao walijua na walikimbia kabla.

Watu wa makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana natural seismology intelligence hivyo wana uwezo huo kwa kuwasikia wanyama pori, wakiwaona wanakimbia kukimbilia direction fulani, nao hukimbia, na baada ya kukimbia ndipo huku nyuma, hutokea la kutokea.

Tusiwategemee sana Wazungu na research zao, na vifaa vyao, tufanye utafiti wa haya makabila ya wawindaji wa asili wanatumia nini na viashiria gani kuyakimbia maeneo kabla majanga hayajatokea!.

Kwa mujibu wa mashuhuda, wanasema walisikia mlipuko kama wa volcano usiku wa manane na hali kama ya tetemeko la ardhi, ndipo ikanyesha mvua kubwa mlima Katesh na kusababisha maporomoko ya udongo yaliyosombwa na mafuriko na kuzisomba nyumba za wakazi wa chini ya mlima ambapo watu zaidi ya 50 wamefariki dunia, mamia kujeruhiwa na mamia wengine hawana makazi wala mahali pa kuishi.

Mashuhuda hao wamesema mpaka kunakucha walikuwa wanaona mvuke ukipaa juu kutoka mlima Hanang.

Ikifanywa research ya waathirika wa janga hili la mafuriko ya Mlima Katesh unaweza kukuta, wale wanaioshi milimani na wanyama wa porini waliisha kimbia usiku usiku kabla ya janga hilo!

Na kufuatia imani za kiasili, (siiti za kishirikina), kuna watu wana nguvu na uwezo wa ajabu ama kusababisha majanga ama ku control majanga. Mkama Rumanyika wa Karagwe, alikuwa akiwapiga maadui zake kwa mvua ya mawe na kumrarua kiongozi wao kwa kumpiga radi.

Kuna watu wanapaa usiku kwa ungo, kuna watu wanapanda fisi anapaa hewani, kuna watu wanatumia nyoka kulinda mashamba yao, kuna watu wanatumia mazindiko fulani, ukiingia kuiba, unamangamanga mpaka asubuhi unakutwa.

Hizi zote ni sayasi za kiasili za Kiafrika, zikifanyiwa research, zitalisaidia sana taifa letu. Mnaonaje kama tutafanya research kwenye hili?

Natoa tena pole kwa wahanga wa janga hili na nimemsikia Mama, amekatisha ziara ya Dubai kurejea nyumbani kuimarisha juhudi za uokozi na utengemano.

Enzi za JPM kulipotokea Tetemeko la ardhi Bukoba, JPM aliahirisha ziara ya Zambia tukitegemea angeibukia Bukoba lakini kilichotokea tukabaki kuulizana Mhe. Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli, "Sema Neno Moja Tuu, na Roho Zetu Zitapona!"

Mungu inusuru Hanang,
Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Update
Pascal Mayalla
Wewe ni mwandishi mzuri sana, nakushauri uende uhazabeni ukafanye utafiti.
Ukitaka ufadhili useme mapema nitakuunga na wafadhili.
Mkuu Glenn , asante hoja imepokelewa, na ushauri umekubalika, japo mimi sio researcher ila mwandishi yoyote wa habari wa IJ, anaweza kufanya social research yoyote as long as sio scientific research!. Ngoja niifanyie kazi.
P
 
Wanasema ulisikika mlipuko mkubwa wakati wa usiku, mlipuko uliodhaniwa kuwa wa volcano, lakini mawe tunayoambiwa yaliporomoka kutoka mlimani yalisababishwa na maji ya mvua iliyonyesha.

Sasa hapo kuna connection ipi kati ya mvua na volcano ya usiku, au volcano pia inaweza kuleta mvua?

Naona hapa lazima wapatikane wanasayansi kututhibitishia hili, na sio hao wabarbaig na wenzao.

By the way sidhani kama kukimbia hatari ni suala linalohitaji kuhusishwa na makabila fulani, mimi au wewe tunapohisi hali ya hatari kwa sababu ya tukio lisilo la kawaida, kukimbia ni jambo la kawaida.

Tatizo naloliona hapo, inawezekana wajanja wa mjini hawakukimbia kwasababu tu ya ujanja wao, na hao jamaa zangu wakakimbia kwasababu tu ya ushamba wao, matokeo yake ushamba wao ukawaokoa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
 
Sisi binadamu tumeikataa asili na kuwa wajuaji ndo chanzo cha haya,nature ukiifatilia itakuongoza na utaishi kwa amani sana,sisi kila kitu ukimwambia mtu atakuambia not scientifically proven, hiki ndo chanzo cha nature kutuadhibu wanadamu,katika kila jambo linapotokea lazima nature hutuma viashiria kupitia god's missive (wajumbe wa Mungu) kama vile wanyama ,ndenge au viumbe vingine hai/visivyo hai ili kutujuza yajayo.

Mfano kwa janga kama hilo lazima ndege mwitu walileta ujumbe hivyo kwa mtu anayeishi kwa kuitegemea nature imuongoze lazima achukue tahadhari,mfano ya jumbe kupitia viumbe wa mungu kwangu mimi ni nyoka,nikiwa naenda safari nikaona nyoka kakatiza mbele yangu hakika hiyo safari ni mbaya,hivyo lazima nichukue tahadhari.

Pia nikiwa nimeshika simu na ghafla ikaanguka bila sababu na kuharibika kabisa lazima nipate taarifa mbaya hasa kifo, hii hali ilinitokea kwa kifo cha mzee wangu, simu ilianguka bila sababu na kuvunjika kioo ,kesho yake nikapewa taarifa za mzee wangu kufariki ghafla, nk.

Nashauri watu tuiheshimu nature na tuache ituongoze,shida ujuaji wetu,na kwa namna fulani nature imeshatutenga haiko na sisi tena kama zamani.
 
Wanasema ulisikika mlipuko mkubwa wakati wa usiku, mlipuko uliodhaniwa kuwa wa volcano, lakini mawe tunayoambiwa yaliporomoka kutoka mlimani yalisababishwa na maji ya mvua iliyonyesha.

Sasa hapo kuna connection ipi kati ya mvua na volcano ya usiku, au volcano pia inaweza kuleta mvua?

Naona hapa lazima wapatikane wanasayansi kututhibitishia hili, na sio hao wabarbaig na wenzao.

By the way sidhani kama kukimbia hatari ni suala linalohitaji kuhusishwa na makabila fulani, mimi au wewe tunapohisi hali ya hatari kwa sababu ya tukio lisilo la kawaida, kukimbia ni jambo la kawaida.

Tatizo naloliona hapo, inawezekana wajanja wa mjini hawakukimbia kwasababu tu ya ujanja wao, na hao jamaa zangu wakakimbia kwasababu tu ya ushamba wao, matokeo yake ushamba wao ukawaokoa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile app
Kunguru muoga ndiyo anayeishi muda mrefu
 
Wanasema ulisikika mlipuko mkubwa wakati wa usiku, mlipuko uliodhaniwa kuwa wa volcano, lakini mawe tunayoambiwa yaliporomoka kutoka mlimani yalisababishwa na maji ya mvua iliyonyesha.

Sasa hapo kuna connection ipi kati ya mvua na volcano ya usiku, au volcano pia inaweza kuleta mvua?

Naona hapa lazima wapatikane wanasayansi kututhibitishia hili, na sio hao wabarbaig na wenzao.

By the way sidhani kama kukimbia hatari ni suala linalohitaji kuhusishwa na makabila fulani, mimi au wewe tunapohisi hali ya hatari kwa sababu ya tukio lisilo la kawaida, kukimbia ni jambo la kawaida.

Tatizo naloliona hapo, inawezekana wajanja wa mjini hawakukimbia kwasababu tu ya ujanja wao, na hao jamaa zangu wakakimbia kwasababu tu ya ushamba wao, matokeo yake ushamba wao ukawaokoa.

Sent from my SM-G900H using JamiiForums mobile ap
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga hayajatokea?.

Japo wazungu wanasemekana ni wataalamu sana wa sayansi lakini hawawezi ku detect tetemeko la ardhi kabla halijatokea, au mlipuko wa volcano, lakini wanyama wa porini wana uwezo wa kudetect na makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo!.

Mlima Katesh unasemekana una volcano hai, ulipofuka moshi mzito, na majivu yale yaliwaathiri wanyama na mifugo, ya kufungwa ndio iliathirika kutokana na kufungiwa lakini wanyama wa porini wao walijua na walikimbia kabla.

Watu wa makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo kwa kuwasikia wanyama pori, wakiwaona wanakimbia kukimbilia direction fulani, nao hukimbia, na baada ya kukimbia ndipo huku nyuma, hutokea la kutokea.

Tusiwategemee sana Wazungu na research zao, na vifaa vyao, tufanye utafiti wa haya makabila ya wawindaji wa asili wanatumia nini na viashiria gani kuyakimbia maeneo kabla majanga hayajatokea!.

Kwa mujibu wa mashuhuda, wanasema walisikia mlipuko kama wa volcano usiku wa manane na hali kama ya tetemeko la ardhi, ndipo ikanyesha mvua kubwa mlima Katesh na kusababisha maporomoko ya udongo yaliyosombwa na mafuriko na kuzisomba nyumba za wakazi wa chini ya mlima ambapo watu zaidi ya 50 wamefariki dunia, mamia kujeruhiwa na mamia wengine hawana makazi wala mahali pa kuishi.

Mashuhuda hao wamesema mpaka kunakucha walikuwa wanaona mvuke ukipaa juu kutoka mlima Katesh.

Ikifanywa research ya waathirika wa janga hili la mafuriko ya Mlima Katesh unaweza kukuta, wale wanaioshi milimani na wanyama wa porini waliisha kimbia usiku usiku kabla ya janga hilo!.

Na kufuatia imani za kiasili, (siiti za kishirikina), kuna watu wana nguvu na uwezo wa ajabu ama kusababisha majanga ama ku control majanga. Mkama Rumanyika wa Karagwe, alikuwa akiwapiga maadui zake kwa mvua ya mawe na kumrarua kiongozi wao kwa kumpiga radi!.

Kuna watu wanapaa usiku kwa ungo, kuna watu wanapanda fisi anapaa hewani, kuna watu wanatumia nyoka kulinda mashamba yao, kuna watu wanatumia mazindiko fulani, ukiingia kuiba, unamangamanga mpaka asubuhi unakutwa!.

Hizi zote ni sayasi za kiasili za Kiafrika, zikifanyiwa research, zitalisaidia sana taifa letu. Mnaonaje kama tutafanya research kwenye hili?.

Natoa tena pole kwa wahanga wa janga hili na nimemsikia Mama, amekatisha ziara ya Dubai kurejea nyumbani kuimarisha juhudi za uokozi na utengemano.

Enzi za JPM kulipotokea Tetemeko la ardhi Bukoba, aliahirisha ziara ya Zambia tukitegemea angeibukia Bukoba lakini kilichotokea tukabaki kuulizana.

Mungu inusuru Katesh!
Mungu Ibariki Tanzania

Paskali

Sasa hiyo risechi itakuwa juu ya hao wanyama were uwezo wa kuhisi tetemeko au majanga na kwa hiyo kukimbia mapema kutoka eneo husika kabla ya majanga au wahadza, barbeig etc wanaokimbia kutoka eneo fulani baada ya kuona wanyama wakilikimbia hilo eneo?
 
Katika makabila ulotaja wasandawe wana mfumo wao wa kutabiri hali ya mvua na ukame kabla ya msimu wa mva kuanza.wao hasa huangalia shape na position ya mwezi kuanzi mwezi wa pili na watatu kuna namna huongali ukubwa,shape bending ya mwezi wanajua msimu unaokuja hali ya mva itakuwaje wajiandae vp kuukabili hasa upande wa vyakula kwasababu kwa jiographia ya kule ni ngumu sana mafuriko kutoke labda miaka ijayo baada ya kukamilika bwawa la maji
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga hayajatokea?

Japo wazungu wanasemekana ni wataalamu sana wa sayansi lakini hawawezi ku detect tetemeko la ardhi kabla halijatokea, au mlipuko wa volcano, lakini wanyama wa porini wana uwezo wa kudetect na makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo!

Mlima Katesh unasemekana una volcano hai, ulipofuka moshi mzito, na majivu yale yaliwaathiri wanyama na mifugo, ya kufungwa ndio iliathirika kutokana na kufungiwa lakini wanyama wa porini wao walijua na walikimbia kabla.

Watu wa makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo kwa kuwasikia wanyama pori, wakiwaona wanakimbia kukimbilia direction fulani, nao hukimbia, na baada ya kukimbia ndipo huku nyuma, hutokea la kutokea.

Tusiwategemee sana Wazungu na research zao, na vifaa vyao, tufanye utafiti wa haya makabila ya wawindaji wa asili wanatumia nini na viashiria gani kuyakimbia maeneo kabla majanga hayajatokea!.

Kwa mujibu wa mashuhuda, wanasema walisikia mlipuko kama wa volcano usiku wa manane na hali kama ya tetemeko la ardhi, ndipo ikanyesha mvua kubwa mlima Katesh na kusababisha maporomoko ya udongo yaliyosombwa na mafuriko na kuzisomba nyumba za wakazi wa chini ya mlima ambapo watu zaidi ya 50 wamefariki dunia, mamia kujeruhiwa na mamia wengine hawana makazi wala mahali pa kuishi.

Mashuhuda hao wamesema mpaka kunakucha walikuwa wanaona mvuke ukipaa juu kutoka mlima Katesh.

Ikifanywa research ya waathirika wa janga hili la mafuriko ya Mlima Katesh unaweza kukuta, wale wanaioshi milimani na wanyama wa porini waliisha kimbia usiku usiku kabla ya janga hilo!

Na kufuatia imani za kiasili, (siiti za kishirikina), kuna watu wana nguvu na uwezo wa ajabu ama kusababisha majanga ama ku control majanga. Mkama Rumanyika wa Karagwe, alikuwa akiwapiga maadui zake kwa mvua ya mawe na kumrarua kiongozi wao kwa kumpiga radi.

Kuna watu wanapaa usiku kwa ungo, kuna watu wanapanda fisi anapaa hewani, kuna watu wanatumia nyoka kulinda mashamba yao, kuna watu wanatumia mazindiko fulani, ukiingia kuiba, unamangamanga mpaka asubuhi unakutwa.

Hizi zote ni sayasi za kiasili za Kiafrika, zikifanyiwa research, zitalisaidia sana taifa letu. Mnaonaje kama tutafanya research kwenye hili?

Natoa tena pole kwa wahanga wa janga hili na nimemsikia Mama, amekatisha ziara ya Dubai kurejea nyumbani kuimarisha juhudi za uokozi na utengemano.

Enzi za JPM kulipotokea Tetemeko la ardhi Bukoba, aliahirisha ziara ya Zambia tukitegemea angeibukia Bukoba lakini kilichotokea tukabaki kuulizana.

Mungu inusuru Katesh, Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
1. Kwa case ya wanyama: kama ambavyo Mungu (nature) ame(ime)mzawadia mwanadamu ubongo wenye uwezo mkubwa, basi ame(ime)wazawadia wanyama uwezo mkubwa katika Milango ya fahamu kuliko hata mwandamu hasa mlango wa fahamu wa kunusa na mlango wa fahamu wa kusikia.
Kabla janga lolote la asili kutokea, kunakuwa na ishara za chini chini ambazo mwanadamu hawezi Ku detect. Kunakuwa na mabadiliko ya harufu ya hewa ya eneo.
Mfano kwa tetemeko, kunakuwa na mitetemo ya chini sana ambayo ndege, wanyama jamii ya Paka(Panthera Leos) wanasikia.
Sasa wakikisikia, basi kuhama kunaanza na hivyo hata wanyama wengine huiga wanapoona wenzao wanachama.
Mvua kubwa ina harufu yake, upepo mkali una harufu na mitetemo yake, volcano ina harufu yake ya kabla na mitetemo yake ya kabla(pre-condition).
Tetemeko la ardhi lina mitetemo midogo midogo ya kabla. Lina harufu yake ya kabla.
2. Kwa case ya hayo makabila, wao kwa sehemu kubwa bado wanategemea uasili. Husoma tabia za wanyama, ndege na miti. Wakiona mabadiliko fulani ya kuhama kwa wanyama, sauti ya wanyama na ndege, miti na udongo, basi nao hu detect jambo zuri au baya.
Pia hutumia uzoefu wa miaka mingi ambayo hurithishwa kutoka kizazi kimoja hadi kingine.
Experience is the best teacher.
 
Wanabodi,

Kama kawa kila nipatapo fursa huja na kwa Maslahi ya Taifa. Leo ni kuhusu Natural Disasters: Jee Tuwafanyie Research watu wa makabila ya Wabarbaig, Wahadzabe, Wataturu, Wasandawe na Watindinga, huwa wanajuaje kutatokea natural disasters na kukimbia eneo hilo kabla ya majanga hayajatokea?

Japo wazungu wanasemekana ni wataalamu sana wa sayansi lakini hawawezi ku detect tetemeko la ardhi kabla halijatokea, au mlipuko wa volcano, lakini wanyama wa porini wana uwezo wa kudetect na makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo!

Mlima Katesh unasemekana una volcano hai, ulipofuka moshi mzito, na majivu yale yaliwaathiri wanyama na mifugo, ya kufungwa ndio iliathirika kutokana na kufungiwa lakini wanyama wa porini wao walijua na walikimbia kabla.

Watu wa makabila ya wawindaji wa asili, Wataturu, Wasandawi, Wabarbaig, Wahadzabe na Watindiga, pia wana uwezo huo kwa kuwasikia wanyama pori, wakiwaona wanakimbia kukimbilia direction fulani, nao hukimbia, na baada ya kukimbia ndipo huku nyuma, hutokea la kutokea.

Tusiwategemee sana Wazungu na research zao, na vifaa vyao, tufanye utafiti wa haya makabila ya wawindaji wa asili wanatumia nini na viashiria gani kuyakimbia maeneo kabla majanga hayajatokea!.

Kwa mujibu wa mashuhuda, wanasema walisikia mlipuko kama wa volcano usiku wa manane na hali kama ya tetemeko la ardhi, ndipo ikanyesha mvua kubwa mlima Katesh na kusababisha maporomoko ya udongo yaliyosombwa na mafuriko na kuzisomba nyumba za wakazi wa chini ya mlima ambapo watu zaidi ya 50 wamefariki dunia, mamia kujeruhiwa na mamia wengine hawana makazi wala mahali pa kuishi.

Mashuhuda hao wamesema mpaka kunakucha walikuwa wanaona mvuke ukipaa juu kutoka mlima Katesh.

Ikifanywa research ya waathirika wa janga hili la mafuriko ya Mlima Katesh unaweza kukuta, wale wanaioshi milimani na wanyama wa porini waliisha kimbia usiku usiku kabla ya janga hilo!

Na kufuatia imani za kiasili, (siiti za kishirikina), kuna watu wana nguvu na uwezo wa ajabu ama kusababisha majanga ama ku control majanga. Mkama Rumanyika wa Karagwe, alikuwa akiwapiga maadui zake kwa mvua ya mawe na kumrarua kiongozi wao kwa kumpiga radi.

Kuna watu wanapaa usiku kwa ungo, kuna watu wanapanda fisi anapaa hewani, kuna watu wanatumia nyoka kulinda mashamba yao, kuna watu wanatumia mazindiko fulani, ukiingia kuiba, unamangamanga mpaka asubuhi unakutwa.

Hizi zote ni sayasi za kiasili za Kiafrika, zikifanyiwa research, zitalisaidia sana taifa letu. Mnaonaje kama tutafanya research kwenye hili?

Natoa tena pole kwa wahanga wa janga hili na nimemsikia Mama, amekatisha ziara ya Dubai kurejea nyumbani kuimarisha juhudi za uokozi na utengemano.

Enzi za JPM kulipotokea Tetemeko la ardhi Bukoba, aliahirisha ziara ya Zambia tukitegemea angeibukia Bukoba lakini kilichotokea tukabaki kuulizana.

Mungu inusuru Katesh, Mungu Ibariki Tanzania.

Paskali.
Hamna mlipuko wa Volcano uliotokea Mlima Hanang. Kilinachotokea ni matokeo ya uharibifu wa mazingira na matokeo ya mabadiliko ya tabia nchi. Wananchi wamelima hadi kwenye kingo za mlima kabisa. wameshindwa tu kuvuka dira (au mpaka wa hifadhi). Lakini pia wamekuwa na tabia ya kusababisha moto kuvuka kwenda mlimani. Hivyo, kutokana na mvua zinaoendela kunyoesha na kwa terrain ya mlima Hanang ni lazima kwa kilichotokea (Land Slide and Mass wasting).
 
Back
Top Bottom