Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 21,496
- 37,789
Kazi maalum. Naam imethibitika pasi na Shaka kwamba Makamu wa Rais wa Tanzania Dr Mpango alikuwa nje ya Nchi Kwa zaidi ya mwezi mzima Kwa kazi maalum (special mission). Tangu nimfahamu Dr Mpango sikuwahi kujua kama Mheshimiwa ni Jasusi wa kiwango cha juu kiasi hiki.
Lakini ni nchi gani iliwahi kumtuma Afisa wake No.2 kwenda kufanya kazi maalum Kwa faida ya Nchi yake Kwa mwezi mzima?
Dr Mpango ni Mkristo Safi, anakijua vizuri kisa cha Mfalme Ahabu aliyejibadilisha mavazi ili aingie vitani na Washami wakamfuata yeye tu Hadi walipompata 1Wafalme 22:31-34.
Tanzania haiwezi kuwa na kazi maalum nje ya Nchi kama ni kweli ikamtuma Makamu wa Rais ni hatari. Siku nyingine tusifanye hivi ni hatari kiusalama na kidiplomasia pia. Lakini kama si hivyo basi nimkumbushe Mheshimiwa Makamu asome 1Waf.22:14 (Kama Bwana aishivyo, neno lile aniambialo ndilo nitakalolinena. Leo amenena mbele ya madhabahu ya Bwana, naamini amenena kweli aliyoambiwa na Bwana.