Tatizo la Wizara ya ujenzi imekuwa mapepe sana. Sasa wanataka kubinafishisha reli.
Je, pesa ya ujenzi itarudi vipi, matengenezo. Ni jitihada za kutengeneza mianya ya rushwa. Yaani Watanzania wanatengeneza reli kwa $10B halafu marafiki zao ndiyo wanunue vijibehewa na kuendesha kwa gharama ambazo wao ndiyo wanapanga. Waziri ni mwanasayansi kwanini kajiingiza kwenye biashara? ambazo hazijui?
Waziri kazania reli iishe badala ya kuanza kufikiria tumbo lako kila mara. Uwanja wa KIA walitaka kuleta ujanja janja hivi hivi, bandari mpaka leo mkataba hauoko wazi! ingawa walisema wataweka wazi bila sababu wameficha. Waziri kajaa fikra za rushwa na ujanja janja.
Nashauri huyu waziri ajilite kushughulikia reli ambayo muda wake wa ufunguzi kila siku wamekuwa wakihogwa na wenye mabasi kiasi kwamba hata Morogoro
Treni haiwezi kwenda
View: https://youtu.be/HXGOKwfvuA0?si=DmqwWxzTzO5SM4Cg