Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu imeishia wapi?

Makamanda naomba ufafanuzi kama ile Operesheni Katiba Mpya Okoa Bandari Zetu, bado ipo?

Maana huku kanda ya Nyasa tumewasubiri MNO.

Sabato Njema
Wewe subiria operation nyingine! Mwamba ni bingwa wa kuibua operesheni ambazo hufia njiani. Nafikiri ni kwasababu za kihasibu
 
Bandari,katiba Mali za ccm

Acha wengine wakae pembeni wafanye wajuavyo wao

Bandarini mambo si safi kabisa sshv nasikia kwa siku wanatoa kontena 1000

Ova
 
Wakianza hekaheka zao mtulie msibwatuke kwamba wanaleta fujo.Mme-miss hekaheka ili mfungue kesi za ugaidi wa kufyeka miti Moro to Iringa?
 
Kazi ya makamanda cha kwanza noti zisome kwenye mifumo yao hutosikia kelele
 
Back
Top Bottom