Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waranzania tuna lalamika sana.. wakati wa awamu ya 5 tulilalamika maisha magumu lakini tuliona maendeleo makubwa. Awamu ya 6 tunakula maisha sana , hasa watumishi wa umma, lakini hakuna...
0 Reactions
6 Replies
410 Views
Hivi karibuni mamlaka ya mawasiliano ya Afrika ya kusini imetoa kauli ya kuzuia uingizwaji wa vifaa vya starLink. Baada ya Afrika ya kusini Mamlaka ya mawasiliano ya Ghana nayo imepiga marufuku...
1 Reactions
4 Replies
815 Views
Makamu mwenyekiti wa CCM ameeleza kwamba makada wa chama cha mapinduzi wasidhalilishe watendaji wa serikali hiyo inamaana kuwa kitendo anachofanya Paul makonda nikinyime na taratibu katika...
7 Reactions
49 Replies
3K Views
Maxence Melo Mkurugenzi wa Jamii Forums amesema Uvujishaji wa Taarifa uko zaidi Nje ya Mitandao kwa mfano Makaratasi ya Matokeo ya Mitihani Kufungia Maandazi na Chapati. Mungu wa Mbinguni Ibariki...
12 Reactions
26 Replies
2K Views
Jf stori hii ni kwaufupi sana, Kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 Hayati Rais Magufuli ilimbidi kutafuta mtu loyal kwake atakayeweza kufumba macho, roho na masikio ili kuchapisha...
32 Reactions
227 Replies
17K Views
Hakika wonders shall never end. Nchi ina watu wanafiki wa kiwango cha lami, hivi huyu Kinana amekwenda kufanya nini hapo kama siyo unafiki? --- Leo tarehe 12 Disemba 2023, Makamu Mwenyekiti wa...
15 Reactions
125 Replies
10K Views
Naibu Waziri Mkuu Dkt. Biteko ambaye pia ni Mbunge wa Bukombe na Waziri wa Nishati amemshukuru Makamu Mwenyekiti wa CCM Komredi Kinana kuwatembelea Kanda ya Ziwa Victoria Aidha amemshukuru kwa...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mawaziri na Manaibu kila wanapopita jambo dogo tu nitapendekeza utumbuliwe; wakuu wa mikoa nao kila wanapokwenda wanawaza kuweka watu ndani na kuwatumbua. Ipo wapi team work tuliyofundishana...
4 Reactions
5 Replies
647 Views
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi, leo ameongoza Kampeni Kabambe ya Kusajili wanachama wapya kwa njia ya kisasa ya Mtandao (Chadema digital) Umati Mkubwa uliojitokeza unaonyesha...
10 Reactions
64 Replies
4K Views
Nitasema kweli daima,fitina kwangu mwiko. Na nitajielimisha kadri ya uwezo wangu na kuitumia elimu hiyo kwa manufaa yangu na wenzangu. Hizi ni tu ya ahadi za kila mwana ccm mwenye kufuata...
2 Reactions
4 Replies
794 Views
Nashauri tu haya mambo ya CV yasipelekee kuwepo chaguzi ndogo maana huko Namanyele Nkasi watu wamechachamaa sana Eti Mbunge wao ni Vyeti Feki Haya mambo ya kuchafuana kisiasa Siyo mazuri, Heshima...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakati wa Utawala wa Awamu ya 5 Rais Magufuli aliamua kufuatilia ELIMU za Watendaji wa Serikali yake katika baadhi ya Maeneo hasa Waajiriwa wa Serikali za Mitaa na Serikali Kuu katika ngazi za...
3 Reactions
13 Replies
895 Views
Wajumbe, hali ya siasa kwa Mbunge wa Mtama Nape Moses Nnauye inazidi kuwa mbaya kuelekea 2025 baada ya Wazee wa kabila la Wamwera kuafikiana kuwa kijana huyo hawezi tena kuwa chaguo lao na badala...
3 Reactions
18 Replies
3K Views
Tulikuwa na Dar ya Mhaville, Dar ya Chipungahelo, Dar ya Makamba, Dar ya Kandoro, Dar ya Lukuvi, Dar ya Sadik na hatimaye Dar ya Makonda zote zimepita na maisha yanaendelea. Kwa sasa tunashuhudia...
13 Reactions
53 Replies
6K Views
Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama...
7 Reactions
12 Replies
664 Views
Wiki Tatu zilizopita Mwenezi wa CCM Paulo Makonda alikuwa kanda ya ziwa katika ziara aliyosema anakwenda kukagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM na kupeleka maagizo ya Chama Kwa Watendaji wa serikali...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Hivi hii ni makusudi au ninini, au kuna mbinu ya kumkomoa Mh Rais kimya kimya baada ya kujua sio mfuatiliaji wa maswala kama hayo? Hilo ongezeko la kiwango hicho limekuwaje? Yaani sehemu uliyo...
16 Reactions
112 Replies
9K Views
Umoja wa Afrika (AU) umeridhia kumuunga mkono Spika wa Bunge la Jamhuri ya Mungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (Mb) kuwa Mgombea pekee kutoka Bara la Afrika wa nafasi ya Urais wa...
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 23 Machi, 2017 amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri. Katika Mabadiliko hayo, Mhe. Rais Magufuli...
26 Reactions
2K Replies
180K Views
RC Makonda alikoleza vita ya Mihadarati kwa kutangaza majina ya watuhumiwa wa Dawa za kulevya hadharani bila ya ushahidi na hatimaye wengine kuachiwa huru baada ya kuthibitika kuwa walionewa kama...
16 Reactions
218 Replies
30K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…