Watanzania tuchague vizuri tunacho kitaka

Tabutupu

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2010
Posts
13,262
Reaction score
18,713
Waranzania tuna lalamika sana.. wakati wa awamu ya 5 tulilalamika maisha magumu lakini tuliona maendeleo makubwa.

Awamu ya 6 tunakula maisha sana , hasa watumishi wa umma, lakini hakuna maendeleo kila kitu kimesimama, barabara hazijengwi, huduma za za jamii zimezorota..

Kiukweli hatuwezi kupata vyote, binafsi hata kama ninako ishi hakuna barabara, cha msingi na uwezo wa kupata gari safi ya kunifikisha huko porini kwangu.

Pesa ipo nje nje, sasa hivi watumishi wa umma tunakula maisha, ufutiliaji sio kivile kama zamani, unaweza safiri mkoani mwezi mzima na kila siku unalipwa hakuna wa kukuuliza..

Ufalme wa Tanzania unatekwa na wenye kisu kikali..

Huduma za jamii kama barabara na hospitali ni kwa ajili ya wasio na pesa.. wenye pesa wanatibiwa popote..
 
Wananchi sio wafalume tena ofisi za umma wanasoteshwa kwenye foleni!
 
  • Thanks
Reactions: 30P

Kwa hiyo hii awamu ya 6, ni nani wanaopata shida? Maana:

1) wafanyakazi mnakula maisha bila ya kufuatiliwa.

2) wafanyabiashara wanatengeneza faida bila ya usumbufu

3) viongozi wanafisadi pesa ya umma, na kuuza rasilimali za nchi bila usumbufu

Kwa hiyo we ye shida ni nani?
 
Hakika ujinga wa uzeeni lazima utakufa nao tu
 
Kwa hiyo hii awamu ya 6, ni nani wanaopata shida? Maana:

1) wafanyakazi mnakula maisha bila ya kufuatiliwa.

2) wafanyabiashara wanatengeneza faida bila ya usumbufu

3) viongozi wanafisadi pesa ya umma, na kuuza rasilimali za nchi bila usumbufu

Kwa hiyo we ye shida ni nani?
"It is impossible to make someone better off without making someone else worse off."
 
Usiseme wafanyakazi wanainjoy, sio wote. Mfano mwalimu, nesi, askari ana injoy nini.labda tasisi chache ambazo zinajipangia posho na mishahara , mfano TRA,TANESCO PSSF n.k
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Back
Top Bottom