Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Halo JF members. Kuna video inamuonesha Rais Magufuli amevaa kombati za jeshi akipigiwa saluti na maafisa wa jeshi huku wakimpa mikono kama ishara ya salamu kwa Amiri Jeshi Mkuu. Inaonekana...
1 Reactions
66 Replies
8K Views
1. Kuachana rasmi na uwekezaji wa umeme wa Maji. Mipango yote ya umeme sasa ielekezwe kwenye gesi, nuclear, solar, geothermal, upepo n.k Umeme wa maji kutegemea mvua ni kijima na uliopitwa na...
2 Reactions
16 Replies
626 Views
Salaam, Shalom!!! Hii ni dira muhimu kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Katibu MKUU wa Chama Cha DEMOKRASIA na Maendeleo CHADEMA, ndugu John Mnyika amefanya Press Conference na vyombo...
0 Reactions
1 Replies
976 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Binaya Srikanta Pradhan Ikulu Zanzibar kumuaga baada ya kumaliza...
0 Reactions
1 Replies
425 Views
Waziri wa nishati tembelea Wilaya ya chunya Kwa ziara ya kushtukiza kuna kitu utajifunza kuhusu ukatwaji wa umeme chunya. Kwa siku umeme unakuwepo Kwa nusu saa au usiwepo kabisa! Umeme umekuwa anasa!
3 Reactions
7 Replies
681 Views
Benki ya Dunia imesema licha ya Ukuaji mzuri wa Uchumi wa Tanzania wa wastani wa Asilimia 5-7% Kwa miaka 20 Iliyopita umeshindwa kupunguza umaskini na idadi ya maskini Nchini Kwa kiwango...
2 Reactions
5 Replies
737 Views
Treni ya shirika la reli (TRC) inayofanya safari mikoa ya kaskazini yakwama maporini huku abiria wakikosa chakula na mahitaji mengine ya kibinadamu. Treni hiyo iliyotoka Dar jana mchana kwenda...
6 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie...
11 Reactions
55 Replies
4K Views
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, watoto wa wasanii. CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri, mkuu...
13 Reactions
95 Replies
10K Views
Mtu pekee anayeweza kuihuisha CHADEMA ili iendelee kusalia kwenye medani hizi za siasa za ushindani na mwenye integrity kwa Mungu na Umma ni John Wegesa Heche. Nafahamu CHADEMA Kuna watu...
3 Reactions
62 Replies
4K Views
Bodi ya Wakurugenzi ya Watendaji wa Benki ya Dunia kupitia ufadhili wa Sera yake ya Maendeleo (DPF) imeidhinishia Tanzania Dola za Marekani milioni 750 (Sh trilioni 1.9) kwa ajili ya kusaidia...
0 Reactions
9 Replies
995 Views
Wasalaam wana jamvi! Mfuko wa hifadhi ya jamii muda wowote kuanzia leo utampeleka mahakamani Mwenye kiti wa chama cha kupigania haki ,demokrasi na maendeleo kwa kosa la kuwanyima haki wafanyakazi...
12 Reactions
130 Replies
12K Views
Katibu mkuu wa chama cha demokrasia na maendeleo ametoa kauli Jana kuwa mchakato wa kupata katiba mpya tayari jambo Hilo haliwezekani ! Ameomba kufanyike marekebisho yenye tija kwenye tume ya...
5 Reactions
73 Replies
5K Views
Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora. Wajackoyah amesema suala la...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
CHAMA cha Wafanyakazi wa Viwanda, Biashara, Taasisi za Fedha, Huduma na Ushauri (TUICO), kimeipongeza Serikali kwa kutoa sh. bilioni 2.4 za malipo ya wanachama wao waliokuwa wanafanya kazi katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi. Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo; ....uongozi duni. ....huduma za jamii kulemaa...
20 Reactions
52 Replies
3K Views
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi, Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na...
8 Reactions
44 Replies
4K Views
Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b).. Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha...
0 Reactions
6 Replies
593 Views
Treni ya shirika la reli tanzania imekwama eneo la same toka jana asubuhi. Treni hiyo iliyoondoka dar juzi kwenda mikoa ya kilimanjaro na arusha ilitegemewa kuwasili kilimanjaro jana alfajiri ila...
1 Reactions
8 Replies
756 Views
Leo nimeamka nimekuta mitandao ijmejaa picha ya chipukizi wa CCM je ni wameamua kuvuluga sheria au ni ubabe ubabe Chadema nao Waanzishe chipkizi? Chipkizi wanasema si wanachama. Ni kigezo Dani...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Back
Top Bottom