Profesa Wajackoyah aishauri CHADEMA kuwa makini na Katiba Mpya

Aug 31, 2022
54
99
1677746602305.png
Aliyekuwa Mgombea Urais nchini Kenya Profesa George Wajackoyah amewatahadharisha Chadema kuwa makini na mchakato wa katiba mpya Ili kuhakikisha wanapata katiba bora.

Wajackoyah amesema suala la Katiba mpya linahitaji muda na maandalizi mazuri na Chadema wasifanye makosa kama walivyofanya wao nchini Kenya.

Akihutubia mkutano wa Mapokezi ya Mwenyekiti wa Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema amesema Chadema inapaswa kujifunza kutoka Kenya.

Katika hotuba yake amempongeza Rais wa Jamuhuri ya Mungano wa Tanzania kwa Namna anavyoendesha kwa mfumo mzuri wa kidemokrasia bila Kujali Udini na Ukabila.

"Nampongeza Rais Mama Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyoendesha nchi kwa kujali demokrasia nchini" Amesema Wajackoyah

Wajackoyah amemuomba Rais wa Tanzania Mama Samia Hassan kusaidia katika Kuunganisha nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki ili wananchi wake waweze kufanya biashara hata kwa kutumia Vitambulisho vyao vya utaifa.

Profesa Wajackoyah ameeleza kuwa nchi za Afrika Mashariki zinaweza kufanya biashara bila Kutozwa kodi au pengine kupunguziwa kodi katika Biashara zao wanazozifanya katika Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Mbali na hayo Wajackoyah amesema kuwa nchi zinazotumia Ukabila katika uendeshaji wa siasa zao wanaweza kujifunza kwa Rais wa Tanzania Samia Hassan kwa namna ambavyo nchi yake haihitaji ukabila katika siasa zake.

Profesa huyo pia amesema amejifunza mengi kutoka Chadema na ataendelea kujifunza kwani amebaini wana sera nzuri.

MWANANCHI
 
Mama is way better than yule na atakuwa mfano Kwa wengi sana.

Rais aliwaambia CHADEMA Katiba inahitaji mda na Wadau wengi kushirikishwa maana hata Ile iliyokwama imeshapitwa na wakati ila wao sijui kama wanaelewa.

Huyu ni wa pili anawaambia hivyo baada ya Bob Wine,na Katiba sio ya Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma we don't need to rush.
 
Kongole kwako kwa kututadhaharisha.
 
Mama is way better than yule na atakuwa mfano Kwa wengi sana.

Rais aliwaambia CHADEMA Katiba inahitaji mda na Wadau wengi kushirikishwa maana hata Ile iliyokwama imeshapitwa na wakati ila wao sijui kama wanaelewa.

Huyu ni wa pili anawaambia hivyo baada ya Bob Wine,na Katiba sio ya Vyama vya Siasa ni Mali ya Umma we don't need to rush.
CCM wasanii sana. Rais huyu alikua kiongozi wa bunge la katiba. Leo anasema katiba ile pendekezwa imepitwa na wakati. Yaani just 10 years katiba inapitwa na wakati? Imekua by-law hiyo?

Tafsiri yake hii katiba pendekezwa, ingekua imepitishwa, leo tungekua tunafanya ammendments!!! Ccm wahuni sana.
 
Watanzania watu wa ajabu ukiangalia comment utaona wanampongeza Samia kana kwamba hiyo katiba imeshapatikana tayari.
 
Back
Top Bottom