Maan
Member
- Sep 11, 2023
- 50
- 76
Rais Samia na Waziri Ummy Mwalimu Watanzania mnaowaambia walipe BIMA ya afya shilingi 488,000 kwa baba na mama, 120,000 kwa kila mtoto, na kama wanaishi na wazee wao, basi Kila mmoja wawalipie shilingi 360,000.
Hamuoni kama BIMA yenu ni kejeli kwa Watanzania walio wengi, tena wa hali ya chini kama Mimi?
Njoo katika uhalisia wa hali yangu halafu uniambie je, nitaweza?
Tulio wengi hatuna kazi rasmi ambazo zenye kunihakikishia maokoto yangu ya uhakika yanakuwepo. Nikisema nijihakikishie kuzipa leo ili nifanye maajabu nyumbani kwa kupambana aswa aswa ni kulibahatisha liten nite (elf 10).
Nimeweka elf 10 ili iwe raisi kueleweka. Pia naomba nifanye hiyo elf ni Kila siku pasipo kukosa hata siku moja kwenye kutafuta hata kama unaumwa haijalishi katika kuipata liteni lako.
Tunachukulia hakuna kupumzika, kwa mwezi tunategemea kukusanya laki 3. Kama tusipo igusa hata shilingi 10
Matumizi kwa siku kwa mwenye familia ya mke na watoto kama watoto 2 tu Kwanza. Kwa kujibana sana juu ya matumizi ili tuone tunatengeneza balance kiasi gani ili tuweze kukitumia kwenye kuwekeza juu ya Afya ya familia.
Matumizi
1) Michele kg 1 ule Mchele wenye mawe kama yote ni elf 2000
2)unga kilo moja ya Dona shilingi 2000
3)Maharagwe kg 1 3200/= ili yatumike siku nzima
4) Mboga za majani zilizo katwa katwa ni sh. 500
5) Mkaa kopo 500 kwa elf 1000
6) Fujo ndogo ndogo kama vile mafutta vitungu nyanya n.k labda tuseme itumike elf 1000
7) Kuna nshu ya maji ya kutumia, sabuni ya kutumia, kama vile kuosha vyombo kufua nguo n.k labda tuseme elf 2000
Tuje kwenye macalculation sasa
2000+2000+3200+500+1000+1000+2000= 11,700/=
Inazidi hadi pesa unayipata kwenye maokoto yako kwa siku. Hapa ninazungumzia wale wote wenye kuingiza elf 10 kwa siku na Wala si wale wenye kuingiza chini ya hapo. 😂😂😂
Hivi kweli kabisa Mh.Rais hii serikali yako inamfikilia mwananchi wa hali ya chini kama Mimi ama mnatuona wote tupo sawa na nyinyi katika maokoto yenu?
Je, kwa mtazamo wa harakaharaka huyu mtu ataweza kumudu gharama za BIMA yako kweli Mh. Rais wangu?
Kumbuka anao watu Wanao mtegemea nje ya familia yake inayomzunguka kama vile baba mama na ndugu zake wengine wapembeni wasio na uwezo. Pia Kuna mawifi mashemeji na wakwe zake.
Mh. Rais katika hili mnaleta masihala kwa watanzani wa hali ya chini, hapa ndipo tunasema aliyenacho hataki kumkumbuka asiyenacho.