Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi shtuka hakuna kiongozi hapo

Suzy Elias

JF-Expert Member
Nov 9, 2021
1,067
6,193
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.

Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;

....uongozi duni.

....huduma za jamii kulemaa.

....upungufu wa umeme.

....ufisadi kutamalaki.

....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.

....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.

Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
 
tatizo la kua na njaa sana asubuh asubuh, halafu unaishi nyumba ya kupanga na unamkopo kausha damu lazima utawaza upotofu tu .
 
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.

Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;

....uongozi duni.

....huduma za jamii kulemaa.

....upungufu wa umeme.

....ufisadi kutamalaki.

....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.

....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.

Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Watu wanapiga pesa za umma
 
We mamako aliyekuzaa ni pimbi ndio maana uko hivyo. Bwege kweli.
 
Rais wa sasa ana chawa lukuki mpaka vyombo rasmi vimegeuka kuwa chawa wake
Mabwege nyie wivu unawasumbua, Rais wetu ana wapenzi wengi nchi nzima, hakuna cha chawa, chawa wako kwenye nguo zako. Kumpenda rais wetu na kumwuunga mkono siyo uchawa. Kwanza Rais hata hawafahamu.
 
Ukiona Rais wa Nchi ana chawa wengi tambua mtu huyo hana uwezo wowote wa kuongoza Nchi.

Rais debe tupu lazima Nchi yake itakubwa na yafuatayo;

....uongozi duni.

....huduma za jamii kulemaa.

....upungufu wa umeme.

....ufisadi kutamalaki.

....ubinafsishaji wa mashirika ya umma ki ufisadi.

....safari nyingi za nje zisizo na maana yeyote.

Kwa muktadha huo, endapo Nchi yako ina Kiongozi mwenye machawa wengi tambua huna Rais bali unaongozwa na debe tupu!
Inaonekana umeachika na una genye.
 
Back
Top Bottom