Vijana chipukizi wa CCM, watoto wa vigogo tu ndio wanashinda

Dabil

JF-Expert Member
Sep 30, 2021
5,885
13,263
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri, wakuu wa mikoa, wilaya, watoto wa wasanii.

CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri, mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.

CCM ni chama cha vigogo kubebana na kupeana channels wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri,wakuu wa mikoa ,wilaya, watoto wa wasanii.

CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri,mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.

Mfumo ndivyo ulivyo: Wanaandaliwa kulinda maslahi ya wazazi wao>

Hawa hakuna hata mmoja aliyesoma shule ya kata, awe mtoto w mrisho mpoto au Mwigulu;hHakujna anayetibiwa zahanati za Kata, wote ni first class hospital.
Wote hakuna anayejua kiswahili vizuri na hakuna anayeishi nje ya Masaki, Mbezi Beach na mikocheni B.
 
Baadaye wanakuwa viongozi wa kitaifa na hawana uchungu na nchi wanabaki kufanya ufisadi na kula bata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baadaye wanakuwa viongozi wa kitaifa na hawana uchungu na nchi wanabaki kufanya ufisadi na kula bata tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Watafanya ufisadi kidogo, kumbuka wazazi wao wameweka fedha kwenye visiwa nje ya nchi., wana majumba na hisa kwenye soko la DAR.

Hawa watahkikisha sheria hazibadilishwi kuwashitaki wanaokutwa na rushwa kwenye CAG Report ili kulinda mali za baba zao.

Mfano: Trump mwanae alishitakiwa kwa kufanya biashara akiwa IKULU. -hapa kwetu Rizi anaweza shitakiwa?
Joe Biden : Kesi ya mwanae kukwepa kodi inaendelea mpaka sasa na baba yake ni raisi aliyeko Madarakani, yaani tunaishi BANANA REPUBLIC!
 
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri,wakuu wa mikoa ,wilaya, watoto wa wasanii.

CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri,mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.

CCM ni chama cha vigogo kubebana na kupeana channels wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Toka Nyerere alipokufa CCM walijitengenezea kikundi cha watawala. Nje ya hicho kikundi utapewa ukatibu tarafa au kata. Halafu wanajiona wazalendo na mitambara yao yenye rangi za bendera.
 
1703069262359.jpg
weka picha
1703069352879.jpg
 
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri,wakuu wa mikoa ,wilaya, watoto wa wasanii.

CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri,mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.

CCM ni chama cha vigogo kubebana na kupeana channels wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
nyie endeleeni kutundika bendera kwenye mbavu zenu za Mbwa

FB_IMG_1575390792397.jpg
 
Huu uchaguzi wa viongozi wa vijana chipukizi wa CCM wanashinda tu watoto wa mawaziri,wakuu wa mikoa ,wilaya, watoto wa wasanii.

CCM imekuwa kama taaisi ya ukoo, kama mzazi wako siyo waziri,mkuu wa mkoa au wilaya, au hayupo kwenye taasisi yoyote ni ngumu kutoboa.

CCM ni chama cha vigogo kubebana na kupeana channels wenyewe kwa wenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani huko Chadema utagombea na mtoto wa Mbowe au Lisu utoboe? Labda kama hawajaamua.
 
Back
Top Bottom