CCM inavunja sheria ya vyama vya siasa ibara ya 6(2) kuhusu umri mtu wa kuwa mwanachma wa chama cha siasa.

Pascal Ndege

JF-Expert Member
Nov 24, 2012
2,977
1,897
Leo nimeamka nimekuta mitandao ijmejaa picha ya chipukizi wa CCM je ni wameamua kuvuluga sheria au ni ubabe ubabe Chadema nao Waanzishe chipkizi?

Chipkizi wanasema si wanachama. Ni kigezo Dani kinatumika kuwachambua watoto na kwasajiri katika harakati za kisiasa. Kama siyo mbona Sasa mnawwtumia kutangaza sera za chama. Bila kuwa wanachama wa chama cha siasa?

Nadhdani tunahitaji Mahakama kuchanganua hii sheria na haki za mtoto kujielimisha na kupata muda wa kucheza na kushiriki katika mipango
 

Attachments

  • IMG-20231222-WA0001.jpg
    IMG-20231222-WA0001.jpg
    51.7 KB · Views: 3
Nendeni mahakamani tupate tafsiri ya Sheria hio ya Vyama vya Siasa na Sheria ya Mtoto.
 
CCM ni chama cha hovyo Huwa wanaanzisha mambo ambapo wakijibiwa wanakimbilia kwa msajiri wa vyama kulalamika. Walianzisha jeshi wakiliita GREEN GUARD wakidhani wapinzani hawawezi kuanzisha majeshi. Wapinzani walipoanzisha majeshi ya watu KAZI kama (RED BRIGADE -CHADEMA na BLU-GUARD CUF) CCM ikakimbilia kwa Msajiri kutaka vyama visiruhusiwe kuanzisha majeshi ya ulinzi. Maana yake Upinzania nao wakianza kusajiri watoto kwenye vyama vyao CCM itakimbilia tena kwa huyo msajiri wao ambae sasa yupo kimya tu
green1.png
red2.jpg
 
Ccm ilivunja mpk katiba kwa kuwakumbatia akina Halima Mdee, hakuna kitu wanafanya.

Ccm walivunja katiba kwa kuwapiga stop wapinzani kufanya mikutano ya hadhara, hawakufanywa kitu.

Ndiyo itakuwa kuvunjwa kwa sheria?
 
Back
Top Bottom