CCM yavunja Katiba na Sheria ya chaguzi kuokoteza Watoto wa Watawala na Kuwafanya Watawala Wajao!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
14,047
20,412
Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b)..

Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha 6C kimeweka masharti ya mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa, na mojawapo ni umri usio chini ya miaka 18.

Hao unaosema wamekufungua akili na macho ni watoto.Kifungu kipya cha 6C hakikuwepo awali katika sheria hiyo, marekebisho ya mwaka 2019 yakaleta maaharti hayo, na kupelekea kufutwa kwa ‘chem-chem’ ndani ya Katiba, Kanuni na Miongozo ya CHADEMA.Hata katiba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imeeleza katika fungu la 1 (wanachama wapya) kifungu cha 7. Raia yeyote wa Tanzania mwenye umri usiopungua miaka 18, anaweza kuwa mwanachama wa CCM.

Tutengeneze Taifa ambalo litaheshimu sheria zake, tusiwe wapambe wa watawala. Tukitunga sheria, zitumike kwa wote. Unafikiri wenzako watawaacha CHADEMA wakifanya wanachokifanya CCM?

Nchi hii Ina mataira sana yaani hata sheria hawaisomi wanashangilia tu chipukizi Magufuli alikataa hizi Ishu wanashindwa kuwekeza kwenye umeme na mambo ya msingi wapo kwenye kula pesa za wananchi kupitia mikutano ya kijinga ya chipukizi.

mmm.jpeg

nnn.jpeg

Huu Ni muendelezo wa upumbavu wa maCCM,hii ya kuingiza vitoto kwenye siasa haina tofauti na kulipa mafao ya wenza wa vigogo waliostaafu. Kama wenza walikuwa hawalipwi mshahara,wanalipwa je mafao? Walizalisha nini hasa kwa Taifa hili?.​
 
View attachment 2849062

View attachment 2849063

Huu Ni muendelezo wa upumbavu wa maCCM,hii ya kuingiza vitoto kwenye siasa haina tofauti na kulipa mafao ya wenza wa vigogo waliostaafu. Kama wenza walikuwa hawalipwi mshahara,wanalipwa je mafao? Walizalisha nini hasa kwa Taifa hili?.​
Shetta nae ni mtawala
 
Shetta nae ni mtawala
Mtu katoka kuoga, katakata ila povu limebaki kidogo kwenye ukucha wa mguu "ulivyo mpuuzi unasema mtu huyo hajaoga"

Umechagua engo ya kumuona huyo mmoja il a 99 waliobaki hujawaona.
Wewe ndio wale wanaotetea Magaid ya kislamu ya hamas , kisa dini walioleta hao hao wauaji dhidi ya Mtanzania mwenzio aliyeuawa kinyama.
 
Back
Top Bottom