Hayati Magufuli kama alikuwa anapambana na ufisadi, kwa nini asingefanya kama huyu shujaa?

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi

Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos

Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi

_132102462_gettyimages-958534554.jpg

An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
 
View attachment 2849468

Magufuli alikuwa baba la mafisadi, aliwapumbaza wapumbavu wa nchi hii. Lilikuwa libaguzi lile lihutu
 
We ndio una akili
Ndio nina akili na ndio maana sikuchotwa akili na huyo muigizaji.
Alikuwa anajiita rais wa wanyonge alafu wakati huo anatumia matrion ya fedha za walipa kodi kujenga majengo ya kufahari na Ikulu huko Dodoma,kununua ndege,kuunua wapinzani, badala ya kuajili maelfu ya watahiniwa ambao ni watoto wa masikini walio kuwa wamejazana mitaani wakihangaika.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kiongozi yupi fisadi ambaye Magufuli alimpeleka mahakani?
Kwani Mtoto yupi wa Kiongozi ambaye amejilimbikizia Mali kama huyo wa Angola.hapa Tz. Na Baba yake huyo Dada wa Angola alifiwa wapi.
Hawa wa Tz ni vivisadi ambao wanaweza kushughulikiwa Kwa njia mbadala , mfano Kiwira si ilitoka Kwa Mkapa.
Kulikuwa na mambo ya plea bargain.na kadhalika. Ya Harbinger Singh si tuliyaona, alikuja kutoka na pesa kuhamishwa wakati Gani.
Nidhamu kazini si tulianzia kuona ina Rudi.
 
Kumbe hakuna? Maana wafuasi wa Magufuli ndio hawa hawa nawasikia wakilalamika kuwa Kikwete na familia yake ni mafisadi, Riziwani ni tajiri wa kutisha, mara Makamba n.k

Ufisadi kama ule wa Escrow kama kuna wafanyibiashara walihusika basi nyuma yao lazima kuwe na wanasiasa, lakini hakuna mwanasiasa hata mmoja aliyechukuliwa hatua
 
Magufuli tulikuwa tunaimbishwa kuwa ni kipenzi cha wanyonge na kiboko ya mafisadi,
Lakini hakuna fisadi yoyote aliyefumfunga zaidi ya kuwajengea mahekalu Kikwete, Mwinyi, Mkapa, kuteua wake na watoto wao kuwa viongozi, Kama vile mama Salma mbunge, mtoto wa Mkapa kuwa Katibu mkuu, mtoto wa Pinda kuwa Waziri, mtoto wa Mwinyi kuwa Rais, watoto wa Kabudi nafasi Simbachawene kuwa mabalozi na wengine wengi

Rais wa Angola Joaò Lourenco ambaye anatoka kwenye chama tawala cha muda mrefu cha MPLA amemfilisi mtoto wa mtangulizi wake Isabella do Santos, mtoto wa Rais wa kwanza wa Angola Eduardo Do Santos

Isabella alikuwa ndio mwanamke tajiri zaidi Afrika akiwa na utajiri wa haliwezi dola bilioni 2 sawa na trilioni tano alioupata kipindi cha baba yake kwa ufisadi

View attachment 2849468
An Angolan billionaire who has been described as Africa's richest woman has lost a High Court battle to stop her assets being frozen.
Isabel dos Santos, the daughter of a former president, is being sued by telecoms firm Unitel.
The Angolan company is seeking damages of $733m (£580m) arising from financial decisions taken by Ms Dos Santos during her time as a director of the firm.
Ms Dos Santos says the case is a political vendetta.
Alijaribu kufanya mkasema hana chuki na matajiri,mlifika hadi kuwatetea hakina Lugemaria na kusema fedha alizokuwa hakigawa zilikuwa zakwakwe wakati Zimetokana na zao la utapeli kwa mjibu wa Lissu na Zitto, ukisikiliza michango yao bungeni wakati wa mjadara wa IPTL, Magufuli hata aliowakamata kwa kuhujumu nchi wamekuja kuachiwa na Samia eti anataka kuponya nchi,na ndio Sasahivi wanaanza kusumbua nchi maana wanataka kurudisha walichopoteza wakati wa Magufuli.
 
Back
Top Bottom