Utangulizi:
Wabobezi wengi wa uchumi Duniani wanakubaliana adui namba Moja kwenye Uchumi ni Inflation & Unemployment,hakuna uchumi wowote Duniani unaokoa bila kuzalisha ajira Kwa wananchi wake...
Kabla sijaenda mbali, kwanza nikiri mimi ni Mkristo, ila Ukristo wangu sio sababu ya kutohoji hata kama mtasema imani yangu ni ndogo.
Tukirudi kwenye mada, huku kwetu ukimpinga Kristo...
Hello!
Ninaposema Watanzania namaanisha majority ya Watanzania nikiwaondoa watu wachache sana.
Hawa majority walipata taabu sana, wanapata taabu sana na watapata taabu sana.
Babu zao walipata...
Nimefuatilia kwa umakini sana huo mkutano wa UVCCM taifa ambapo vijana kadhaa (chipukizi) wamepiga kampeni kitaifa kuchaguliwa katika nafasi mbalimbali za uongozi.
Chupukizi ndani ya CCM siyo...
Nadhani sasa ni muda muafaka kuwa na gridi za kikanda. Kalemani alikuwq ananichekesha alipokuwq anakaza fuvu kufunga mitambo ya mafuta kwa badhi ya mikoa.
Usalama wa umeme ni usalama wa taifa...
Ni wazi shirika hili limeshindwa kazi yake. Wiki hii nilipo umeme umewaka mchana siku moja tu. Hatuwezi kuendelea namna hii.
Shirika livunjwe. Kuwe na shirika la uzalishaji umeme ambalo...
Aliona mbali sana kwa kuwabebesha watoto wadogo mizigo ya chama.
Alikemea kuwatumia watoto wadogo kwenye mambo ya siasa kupitia kivuli cha SKAUTI.
Leo hii wameyasahau kabisa mawazo ya aliyekuwa...
Nawashangaa sana tena sana wanatoa lawama zao kwa tanesco badala ya wizara husika.
Tanesco ipo chini ya wizara ya nishati wizara inayoongozwa na naibu waziri mkuu.Matatizo ya tanesco sio mapya ni...
Aliyekua mgombea wa Arusha Godbless Lema Jana usiku amesafiri na familia yake kwenda Canada.
==========
Aliyekuwa mbunge wa jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, apata nafasi ya hifadhi ya...
Hii nchi shida kuu ni unafiki, naona kwenye mitandoa kutwa nzima, lawama zinatupiwa TANESCO utazania hio TANESCO ni nchi. Kuambiana Black and White ni ngumu sana nchi hii.
Huu mgao wa umeme Raisi...
Siyo siri ujio wa Makonda ndani ya CCM umekuwa na matokeo chanya.
Hapa mama Samia alilamba dume ka karata.
Tatizo ni Chongolo, anaonekana kutokomea into oblivion.
Makonda anapiga chenga hata za...
Lukuvi amefanya mengi sana pale wizara ya ardhi na alikuwa na maono, mipango na mikakati sahihi.
Lukuvi ndiye aliyehamisha kazi ya kutoa hati milki za ardhi kutoka wizarani na kwenda kwenye ofisi...
Toka baada ya uhuru wa Tanganyika na baadae Tanzania na Afrika imekuwa zinapata aibu kutokana na Njaa.
Njaa inadhalilisha utu wa mtu na kushusha heshima ya mtu na Taifa.Tanzania na Afrika...
Leo 17:55hrs 06/09/2020
Wazungu walituletea Nuclear weapon ikaua wajapan kule Hiroshima na Nagasaki, Majiji Makubwa mfano wa Tokyo, Majiji ya Hiroshima na Nagasaki yaliteketea ndani ya dakika...
Wanajamvi shalom!.
Nakubali Nina kadi ya CCM, lakini sitaitendea haki roho na nafsi yangu nikikubaliana na ukengeufu unaoendelea ndani ya chama hiki. Badala ya kushughulika na ukosefu wa umeme...
Kwa mujibu wa Sheria ya vyama vya siasa Sifa za kuwa mwanachama wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa umri kuanzia miaka 18 na Pia Sifa za kuwa kiongozi wa Chama cha siasa ni pamoja na kuwa na umri...
Mama yao aliwaambia wale kwa urefu wa kamba zao, pia wale lakini wasivimbiwe.
Huku yeye akiifungua nchi kwa kuzurura uarabuni kutafuta wajomba wa kuwakabidhi rasilimali za nyikani.
Wana nyika...
Ktk kile kinachodaiwa kuwa ni Uzalendo ndani ya Chama cha Mapinduzi Dr Magufuli( R.I.P) alikomesha na kuonya Tabia ya kurundika watoto wadogo kwenye vyama na kuwanyima haki yao ya Kusoma na...
Kwanza ieleweke kwamba migao ya umeme huwa ipo sana sio kwa Tanzana pekee bali nchi nyingi tu, hasa kutokana na mambo mengi kubwa ni kutokana na majanga kama ukame na kadhalika.Ila majanga yanapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.