Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Samia Suluhu Hassan amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) ikiwa ni baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wake, Meja Jenerali Paul Kisesa kuteuliwa kuwa Balozi wa...
3 Reactions
85 Replies
13K Views
Da! Kifo cha Pande kimeniumiza mno. Alipokuwa ofisi ya DPP kanda ya Mbeya kabla ya kupandishwa cheo mara kadhaa alikuwa anakataa kesi za mchongo dhidi yangu alizopelekewa na polisi. Alishawahi...
23 Reactions
38 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Kiukweli inafikirisha sana ,inatafakarisha sana unapomuona mtoto mdogo Qayllah Nurdin Bilal Mwenyekiti wa chipukizi wa CCM Taifa akijieleza vizuri kwa hoja ,ufasaha...
9 Reactions
106 Replies
8K Views
Kwa kweli tunawashukuru sana wale wote waliojitolea kwa hali na mali kusaidia wahanga wa Hanang , na tunachukua nafasi hii kuwaombea kwa Mwenyezi Mungu ili awajazie pale palipopungua, Amina. Hata...
9 Reactions
43 Replies
4K Views
Hapo vip!! Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli. Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za...
18 Reactions
103 Replies
5K Views
Mwenezi wa CCM komredi Makonda amesema ukiona Rais Samia anavunja bodi ya shirika Ujue Uvumilivu imefika Mwisho Kuna changamoto ya Mgao wa umeme na imekuwa kero kubwa kwa Wananchi hivyo Chama...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
BASHUNGWA AWANYOOSHEA KIDOLE VIONGOZI WANAORUDISHA NYUMA MAENDELEO KAGERA Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ameendelea kuwanyooshea kidole baadhi ya Viongozi...
0 Reactions
0 Replies
419 Views
Hatuna deni na huyu Mwamba🙏🏼 Kama hakukuachia maarifa basi alikuachia ujasiri,Gone too soon Mwamba.
8 Reactions
24 Replies
2K Views
WAZIRI DKT. NDUMBARO ANUFAISHA VIKUNDI 8 NA MFUKO WA JIMBO SONGEA "Nimekabidhi mashine nane za kutotolesha vifaranga kwa vikundi nane vya Jimbo la Songea Mjini, Kupitia fedha za mfuko wa jimbo...
0 Reactions
1 Replies
344 Views
Ndugu zangu Watanzania, Serikali yetu imetoka hadharani kupitia katibu mkuu ndugu Mramba kuelezea kwa kina ,marefu na mapana sababu ya mgao wa umeme unaoendelea hapa Nchini.hii ni baada ya watu...
0 Reactions
149 Replies
8K Views
Mamlaka Nchini Malawi imezuia uagizaji wa Mahindi kutoka Tanzania na Kenya Kwa kile walichodia ni kuepusha kuambukizwa ugonjwa wa Nethal Necrosis ambao wanadai hauna dawa. Mamlaka Nchini humo...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Dawa ni CCM kutema wote hawa ili ianze na watu wapya kabisaaa... ili kuiponya Mara na kutunza heshima ya Muasisi wa taifa na chama ambaye alitoka mkoa wa Mara. Haiwezekani kundi dogo la watu...
2 Reactions
7 Replies
991 Views
The United Kingdoms of Afrika (UKOA) kupitia kwa Dr. Moses Katega “Prince Katega II” Na Dr. Fadhili Emily Kabujanja “Mfalme Dr. Fadhili” wameandika barua na kuiwasilisha Ubalozi wa Ujerumani...
1 Reactions
7 Replies
915 Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Naibu DPP aliyefariki majuzi, Joseph Pande ni miongoni mwa watu wachache waliotumikishwa na kupanga Njama ya kuwafunga Jela Raia wema, Joseph Mbilinyi aliyekuwa...
9 Reactions
20 Replies
4K Views
Kama tunavyokumbuka awamu ya 5, aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Dar Paul Makonda alianzisha vita kali dhidi ya ushoga. Baada ya muda kidogo vyombo mbalimbali habari nje ya nchi vikaripoti kuwa mashoga...
5 Reactions
39 Replies
3K Views
Yaani Wananchi wakielezwa Kwanini Dr Kalemani hakuleta mgao wa Umeme na Dr Biteko ameleta mgao wa Umeme basi wataendelea kuwa wavumilivu Wanachojiuliza ni Kwanini yule aliweza na Huyu anashindwa...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa amemuagiza mkuu wa kituo cha polisi Gongo la Mboto kumkamata bwana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Bakari Shingo na wenzie akiwemo...
3 Reactions
0 Replies
658 Views
#CHAKUSHANGAZA Hayati Baba wa taifa amekuwa akiishi katika karne zote kutokana na kauli zake ama misemo yake ambayo imekuwa ikiishi mpaka Leo. Misemo ya Baba wa taifa imekuwa ikitumika kwa...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Nauliza tu maana hata Nape alipokuwa Mwenezi alisema Dr Slaa ni mwanachama wa CCM na Wengi tulimbishia hadi pale 2015 alipomaliza majukumu yake mtaa wa Ufipa Sasa na Hili la Komredi Makonda...
4 Reactions
20 Replies
1K Views
Hii nchi Sasa inapoelekea ni pabaya, Toka Awamu ya Mkapa, haijawaji kutokea Mgao mkali wa Umeme kama huu Awamu hii inayoitwa ya sita, Mgao ambao umedumu zaidi ya Mwaka Mmoja. Hii Serikali Sasa...
25 Reactions
103 Replies
6K Views
Back
Top Bottom