Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

https://www.youtube.com/watch?v=6oSnH_by-7U
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako. Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais...
38 Reactions
81 Replies
10K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imejenga Skuli za kisasa za ghorofa Mijini, Vijijini pamoja na maeneo ya Visiwa vidogovidogo...
1 Reactions
1 Replies
458 Views
Leo tarehe 10 novemba 2023, Bunge limesoma miswada miwili ya sheria za uchaguzi kati ya miswada mitano iliyosomwa kwa mara ya kwanza. Miswada hiyo kuhusu sheria ya uchaguzi kwa mujibu wa bunge ni...
5 Reactions
37 Replies
6K Views
Wakuu heri ya mwaka mpya, Kweli tunategemea mwandishi kama huyu atasimama imara kuibua maovu nchini? Kweli mwandishi wa hivi atakuwa mstari wa mbele kuibua kero zinazowakumba wananchi kama nyama...
7 Reactions
31 Replies
3K Views
Hatimaye, kwa uweza wa Mwenyezi Mungu, nahodha Samia Suluhu Hassan amekifikisha chombo mwisho wa mwaka 2023 kikiwa salama, hakuna hata aliyechubuka. Ni safari ndefu yenye mawimbi makali, ambayo...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
NAANDIKA KWA MACHUNGU na Lazima tukubaliane kwamba huyu mwamba ni mtu wa dili. Hana mawazo mazuri juu ya nchi yetu. Alipoingia tu madarakani, EWURA walipandisha bei ya mafuta hadi kiwango cha juu...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kazi ni kubwa imefanyika 2023 lakini ni kazi chafu kwa wanavijiji walio wengi. Baada ya kupata umeme wanavijiji waliachana kabisa ghafla na utaratibu wao wa maisha waliouzoea. Ghafla walizitupa...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Tazama kwanza Mama huyu akipelekwa kwenda kutumikia kifungo Cha miaka 22 kwa kosa la kukutwa na vipande 12 vya nyama ya swala miezi miwili iliyopita. NB- tuzingatie na kutafakari pia wawindaji...
26 Reactions
256 Replies
20K Views
Tumezoea kusika uropokaji wa aliekuwa mbunge wa Arusha mjini kupitia mitandao ya kijamii na hata kwenye mikutano.Ni muda umepita bila ya kumsikia huyu jamaa.Binafsi naamini atakuwa na issues...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba, leo tarehe 2/01/2024, Chadema huko Bariadi imeanza rasmi kazi ya kubadilisha uongozi wa Nchi, hawakutaka kusubiri mwaka upauke. Taarifa rasmi hii hapa.
7 Reactions
18 Replies
1K Views
Jafo alitoa tamko kuwa kuanzia January 2024 mwisho kutumia kuni, mkaa. Kama kuna anayefahamu tarehe ya utekelezaji wa jambo hili atueleze ili tujipange tusije kuingia matatizoni.
5 Reactions
38 Replies
2K Views
Mbunge wa Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga, amemshukuru Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati kwa kufika Mbogwe kushiriki na wananchi katika Sherehe za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024...
0 Reactions
5 Replies
952 Views
Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya...
1 Reactions
3 Replies
702 Views
LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa...
1 Reactions
6 Replies
745 Views
Wadau kitendo cha kuanza KAMPENI kabla ya Muda ni ishara tosha kuwa CCM imeshindwa kuwadhibiti wanachama wake waliojiamuliwa kuanza Kampeni kabla ya Muda wake. Mkoani Rukwa Wanachama wa CCM...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza. Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna...
8 Reactions
58 Replies
7K Views
I. Utangulizi Askofu Severine NiweMugizi ni miongoni mwa Maaskofu wa Kanisa Katoliki machachari sana. Huwa hataki kulala na dukuduku moyoni mwake hata siku moja. Pia historia yake kama Askofu...
2 Reactions
15 Replies
4K Views
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…