Hamkumpenda Ben kwakuwa anahoji sana..mkamuona kijana mjuaji..mkamtosa kisa tu umri..na umri wenyewe Ben hakuwa hajafikisha. Kufikisha umri mpaka ufike tarehe hiyo.
Kwenye uchaguz wa uenyekiti...
Mikataba yote Tanzania ya kimataifa wanatuwakilisha watumishi wa ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali.
Mshauri Mkuu wa serikali kuhusu kuvunja mikataba hiyo ni Ofisi ya mwanasheria mkuu wa...
Makundi mbali mbali hasa feminists wamekuwa mstari wa mbele kutetea haki za wanawake na usawa hasa katika masuala ya uongozi na wengi wao wamewatolea mfano Rais wa nchi na Spika wa bunge kwamba ni...
The only way to solve the current war between GAZA and ISRAEL ,is to join the western bank (new Palestine) to Gaza(old Palestine) and form one country. The problem in this is that there is a...
Waziri Mkuu wa Tanzania Mhe. Kasimu Majaliwa ametangaza hadharani huko kwao Ruangwa kwamba kwenye Jimbo hilo Rais Samia atashinda Uchaguzi kwa 100%, hapa anazungumzia uchaguzi wa 2025, hata hivyo...
Leo asubuhi nememsikia mtangazaji mmoja wa East Africa Radio (kwenye kipindi cha 12:00- 04:00) akisema Mhe. Rais Mama Samia Suluhu Hassan ni Rais wa awamu ya sita. Yawezekana wengi wakawa na...
Je, tumepata kujiuliza kwa kina sababu hasa ya uswahiba mkubwa uliopo kati ya CCM na Mikoa au maeneo masikini sana katika nchi hii?
Katika mikoa kama Lindi, Pwani, Dodoma, Tabora, Tanga, Ruvuma...
Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la...
Wananchi wenzangu nawasalimu.
Nimekuwa naisoma KATIBA iliyopo karibu kila siku na kuwasikiliza Wanasheria mbalimbali wakiichambua na kubaini Mapungufu mengi ambayo YANATUTESA SANA wananchi...
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili...
OMBI KWA KWA NAIBU WA WAZIRI MKUU NA WAZIRI WA NISHATI
MH waziri awali ya yote napenda kumshuru mwenyemungu kwa uhai na afya sisi waja wake.
Dhumuni kuu la barua hii ni kuomba kuangalia upya...
Tusihangaike kusaka mchawi, Makamba na Bashe wanaujuwa ukweli. Ninaamini na mama Samia kwa sasa atakuwa anaujuwa ukweli.
Januari jana kasema wazazi wa kijana aliyeuliwa watakwenda Israel...
PM Majaliwa amewaambia Wananchi wa Wilaya ya Nyumbani kwake kwamba Tawi la Chuo Kikuu Cha UDSM Mkoa wa Lindi litajengwa Wilayani Ruangwa.
-Tabia hizi zilishamiri sana awamu ya 5 Kwa Wilaya ya...
Reli ya SGR kipande cha Dar - Morogoro imetangazwa kufunguliwa na kuanza kutumika tangu 2021 , lkn ahadi hiyo haitimii. Ni uwongo juu ya uwongo
Hebu tazama ahadi hizi hapa chini, kisha unaiambie...
Naangalia Mapinduzi Cup hapa Water Break wachezaji wanajimwagia na kunywa maji yamebanduliwa nembo. Kampuni za Maji mnalala sana. Changamkieni fursa ya kukuza biashara acheni ubahiri.
CDE. REUBEN SAGAYIKA AWASHIKA MKONO WATOTO YATIMA KUELEKEA MWAKA 2024
Ndugu Reuben Sagayika ambaye ni Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM Taifa pamoja na Mjumbe wa Baraza Kuu la UWT Taifa kutokea Mkoa...
Kwenye mazungumzo yaliyofanyika club house Dr. Slaa amesema kwa utaratibu anaoufahamu Rais hana mafungu makubwa kiasi hicho (milioni 150) kwaajili ya eneo moja, na fedha hizi zinawekwa katika...
Ukiangalia trend ya siasa za Bongo ni kuchomana ili flani aonekane mbaya hafanyi kazi atumbuliwe watu wafurahi ilhali hata tatizo la msingi halijatatuliwa.
Watanzania wengi wanafurahia...
Sisi viongozi wa Jumuiya ya vijana kutoka vyama pinzani vitatu nchini Ngome ya Vijana ACT Wazalendo, Jumuiya ya vijana CUF (JUVICUF) na Jumuiya ya vijana -NCCR Mageuzi ambapo awali tulikuwa pamoja...
Kwenda kwenye ujenzi wa kanisa moja na kutoa milioni 150 wakati wananchi wanaishi maisha magumu, milioni 100 ingepelekwa maeneo hayo ya Moshi bei ya chakula ikashuka, ingesaidia maelefu, hii ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.