Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza.
Aidha, inadaiwa tozo...
NI wazi kwamba Samia Suluhu Hassan alirithi kiti cha urais baada ya Hayati Magufuli kufariki dunia huyu ndiye aliyepitishwa na wajumbe wa mkutano mkuu na vikao vya chama hadi akawa rais.
Kinana...
Kassim Majaliwa ulijijengea heshima yako kwa muda mrefu Sana ukaonekana ni mtu usiyekuwa masihara na hauna utani lakini naona unaanza kuambatana na kundi lisilo na mvuto nakuhakikishia heshima...
Wanabodi,
Moja ya udhaifu mkubwa wa media yetu nchini Tanzania, ni uwezo duni kufanya analysis, ili kuzisaidia ngazi za uteuzi za CCM kututeulia Spika Bora.
Spika Job Ndugai, hakuwahi kuwa Spika...
CHADEMA wameona haina haja ya kusubiri mawe yaseme, wanasema wenyewe, ilikuwa Mbowe, sasa ni zamu ya Salum Mwalimu. Kuliko abane kikohozi kimpalie, kaona bora aseme.
Kiongozi huyu wa ngazi ya...
Watu wameshajua kuwa rais huyu hafai kuwa kiongozi
Anaendeshwa na kundi fulani , yeye hana maamuzi.
Sasa huyu akisimama na kichwa mfano wa Dk Slaaa atapigwa chink kwenye uchaguzi wa urais.
Hata...
Kwema Wakuu!
Wanaoshauri timu moja itolewe wanajaribu kueleza na kumpa taarifa Rais kuwa hakubaliki. Au tuseme wanajaribu kumtisha Rais kuwa kwa hali ilivyo hakubaliki.
Katika lugha za...
Nauliza tu kwa wabobevu wa siasa je, 2025 Mh. Waziri Mkuu atagombea tena Ubunge?
Na kama atagombea na Mh .Rais akamteua mtu mwingine kuwa Waziri Mkuu, hadhi yake itakuwaje Bungeni?
RC FATMA MWASSA: TUPAMBANE KUREJESHA UBORA WA ELIMU KAGERA
Mkuu wa Mkoa wa Kagera Hajjat Fatma Mwassa amewataka wananchi wa mkoa huo kuungana kwa pamoja kurejesha kiwango cha ufaulu katika mkoa...
Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya...
Lazaro Nyalandu, Mwanaccm wa kwanza kujivua Ubunge kwa sababu ya kupinga Udikteta wa Magufuli wa kuteka, kutesa na kushambulia watu kwa risasi, ambaye baadaye alikimbilia CHADEMA na kupokelewa kwa...
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi CCM Taifa, Khamis Hamza Chilo, amewataka wana CCM Wilaya ya Ilala kuondoa makando kando na kujenga mshikamano kuakikisha CCM inashika dola.
MNEC...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwa kipindi kifupi kijacho Serikali itaanza kuweka mawe ya msingi ujenzi wa nyumba za wafanyakazi katika...
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Mohamed Mussa amesema Mradi wa Ofisi Katika kikosi Cha KMKM Wete utasaidia katika kuimarisha ulinzi na usalama katika Eneo Hilo.
Mhe. Lela...
Mchungaji mmoja huko Mbeya amefungwa jela kwa kuhubiri Injili , lakini kuna mwanaccm mmoja huko Manyara ameachiwa huru pamoja na ushahidi mwanana wa kuwapachika watu chupa makalioni
Toa maoni yako
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa mamlaka aliyopewa, alitoa maagizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kuhusu kuandaa mkutano maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.