Huenda adui Mkuu wa utawala wa Rais Samia akawa ni Spika Ndugai?

Zanzibar-ASP

JF-Expert Member
Nov 28, 2013
10,115
35,129
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako.

Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa iliyotengenezwa na mtangulizi wake.

Mama Samia bila woga na kificho aliweka wazi kabisa kuwa haridhishwi na mwenendo wa utendaji wa bunge la sasa, na kwa maneno yake ililiita bunge letu ni Dhaifu (halina afya) na limejaa wacheza ngoma (linadamka). Wachambuzi wanasema kauli ile ililenga zaidi kiti cha spika. Watu waliopo karibu na Spika Ndugai wanadai kuwa kauli ile ulimuudhi na kumkasirisha spika Ndugai, na ipo siku atatapika nyongo.

Sasa ngoja tuweke ukweli hapa, na tuuseme jinsi ulivyo kama unavyonong'onwa nyuma ya pazia.

Wachambuzi kadhaa wanasema huenda miongoni mwa watu wa juu kabisa ambao hawakutaka au hawakufurahi kuona mama Samia Suluhu anaupata urais wa Tanzania walikuwa Dkt. Bashiru Ally na Spika Ndugai (Hakuna uthibitisho kamili mpaka sasa, ila huko mbele ya safari ukweli mwingi utaibuliwa).

Viongozi hao wanadaiwa kufanya mawasiliano na mipango ya chini kwa chini kuratibu mkakati wa kisiasa ili kumkwamisha mama Samia kupata nafasi ya kuwa urais wa Tanzania muda mfupi baada ya Rais Magufuli kuwa amefariki dunia huku umma wa watanzania ukiwa bado umefichwa. Lolote lingeweza kutokea.

Kwa sasa mama Samia anapambana kwa hali na mali kuwavuta wawekezaji na wahisani (mabeberu!) ili wamwage pesa zao hapa Tanzania ili kunusuru athari za mdororo wa kiuchumi kwa Tanzania. Na moja ya kikwazo kikuu anachokumbana nacho ni sharti la wahisani kuona mihimili mikuu ya bunge na mahakama ikiwa huru zaidi kujiendesha. Habari zisizo rasmi zinadai tayari hoja ya kuwatema wabunge wa Covid 19 iko mezani kwa mama Samia.

Alichokifanya Nape ilikuwa ni kuamsha agenda kimakusudi (Pre empty) na anachokifanya Ndugai ni kutaka kupimana ubavu na mama Samia kwa mtindo huo huo. Inadaiwa mjadala ndani vikao vya juu vya CCM ulifikia hatua ya kuona kuendelea kuwakumbatia wabunge wa Covid 19 hakuna faida tena kwa sasa, kwa kuwa mazingira ya kisiasa yameshabadilika na kunachafua vibaya taswira ya utawala mpya wa mama Samia.

Ukiacha zile taarifa za uwepo wa mkakati wa kichini chini na kimakusudi uliolenga kutumia bunge na wabunge kujenga hoja ya kutokuwa na imani na Rais ili achunguzwe na kicha kuwekwa pembeni (jambo ambalo kikatiba linawezekana kwa 100%), kuna mambo mengine kadhaa yanaelezwa kuendelea kufanyika ili kumkwamisha mama Samia.

Moja ya mkakati usio rasmi unaoendelea kwa sasa miongoni mwa wabunge kadhaa ndani ya CCM ni kuhakikisha kiti cha spika ajae kinakaliwa na mwanamke (Dr. Tulia?) ikiwa Spika Ndugai ataendelea kukwamisha harakati zozote za utendaji wa mama Samia. Tayari Spika Ndugai anajua wazi hatakiwi kwenye hicho kiti na utawala wa mama Samia na ili kujipanga vyema kulinda himaya hiyo ameanza mkakati wa kutaka kuonyesha anawajali sana wabunge wanawake.

Muda ni mwalimu mzuri kwenye kila jambo. Tusubiri, tujipe muda na tutazame yatakayojiri.
 
Lema kamaliza kusema kama nabii, tusubili yatatimia soon.

FB_IMG_1620047252584.jpeg
 
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako.

Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa iliyotengenezwa na mtangulizi wake.

Mama Samia bila woga na kificho aliweka wazi kabisa kuwa haridhishwi na mwenendo wa utendaji wa bunge la sasa, na kwa maneno yake ililiita bunge letu ni Dhaifu (halina afya) na limejaa wacheza ngoma (linadamka). Wachambuzi wanasema kauli ile ililenga zaidi kiti cha spika. Watu waliopo karibu na Spika Ndugai wanadai kuwa kauli ile ulimuudhi na kumkasirisha spika Ndugai, na ipo siku atatapika nyongo!

Sasa ngoja tuweke ukweli hapa, na tuuseme jinsi ulivyo kama unavyonong'onwa nyuma ya pazia.

Wachambuzi kadhaa wanasema huenda miongoni mwa watu wa juu kabisa ambao hawakutaka au hawakufurahi kuona mama Samia Suluhu anaupata urais wa Tanzania walikuwa Dr. Bashiru Ally na Spika Ndugai (Hakuna uthibitisho kamili mpaka sasa, ila huko mbele ya safari ukweli mwingi utaibuliwa). Viongozi hao wanadaiwa kufanya mawasiliano na mipango ya chini kwa chini kuratibu mkakati wa kisiasa ili kumkwamisha mama Samia kupata nafasi ya kuwa urais wa Tanzania muda mfupi baada ya Rais Magufuli kuwa amefariki dunia huku umma wa watanzania ukiwa bado umefichwa. Lolote lingeweza kutokea.....

Kwa sasa mama Samia anapambana kwa hali na mali kuwavuta wawekezaji na wahisani (mabeberu!) ili wamwage pesa zao hapa Tanzania ili kunusuru athari za mdororo wa kiuchumi kwa Tanzania. Na moja ya kikwazo kikuu anachokumbana nacho ni sharti la wahisani kuona mihimili mikuu ya bunge na mahakama ikiwa huru zaidi kujiendesha. Habari zisizo rasmi zinadai tayari hoja ya kuwatema wabunge wa Covid 19 iko mezani kwa mama Samia. Alichokifanya Nape ilikuwa ni kuamsha agenda kimakusudi (Pre empty) na anachokifanya Ndugai ni kutaka kupimana ubavu na mama Samia kwa mtindo huo huo. Inadaiwa mjadala ndani vikao vya juu vya CCM ulifikia hatua ya kuona kuendelea kuwakumbatia wabunge wa Covid 19 hakuna faida tena kwa sasa, kwa kuwa mazingira ya kisiasa yameshabadilika na kunachafua vibaya taswira ya utawala mpya wa mama Samia.

Hi thread ni kama umeiba mawazo yangu. Nilikuwa niandike kwa title tofauti kidogo lakini mpaka sasa ninaona tatizo ni Ndugai tu. Mahakama ni kama vile imebadilika haraka. Jaji Kiongozi Feleshi tayari alishaongelea kuhusu Mahakama kugoma kunyongea watuhumiwa haki zao. Ndugai ndiyo anaendelea kubakia na mawenge ya Mwendazake - anakosea sana sana!
 
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako.

Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa iliyotengenezwa na mtangulizi wake.

Mama Samia bila woga na kificho aliweka wazi kabisa kuwa haridhishwi na mwenendo wa utendaji wa bunge la sasa, na kwa maneno yake ililiita bunge letu ni Dhaifu (halina afya) na limejaa wacheza ngoma (linadamka). Wachambuzi wanasema kauli ile ililenga zaidi kiti cha spika. Watu waliopo karibu na Spika Ndugai wanadai kuwa kauli ile ulimuudhi na kumkasirisha spika Ndugai, na ipo siku atatapika nyongo!

Sasa ngoja tuweke ukweli hapa, na tuuseme jinsi ulivyo kama unavyonong'onwa nyuma ya pazia.

Wachambuzi kadhaa wanasema huenda miongoni mwa watu wa juu kabisa ambao hawakutaka au hawakufurahi kuona mama Samia Suluhu anaupata urais wa Tanzania walikuwa Dr. Bashiru Ally na Spika Ndugai (Hakuna uthibitisho kamili mpaka sasa, ila huko mbele ya safari ukweli mwingi utaibuliwa). Viongozi hao wanadaiwa kufanya mawasiliano na mipango ya chini kwa chini kuratibu mkakati wa kisiasa ili kumkwamisha mama Samia kupata nafasi ya kuwa urais wa Tanzania muda mfupi baada ya Rais Magufuli kuwa amefariki dunia huku umma wa watanzania ukiwa bado umefichwa. Lolote lingeweza kutokea.....

Kwa sasa mama Samia anapambana kwa hali na mali kuwavuta wawekezaji na wahisani (mabeberu!) ili wamwage pesa zao hapa Tanzania ili kunusuru athari za mdororo wa kiuchumi kwa Tanzania. Na moja ya kikwazo kikuu anachokumbana nacho ni sharti la wahisani kuona mihimili mikuu ya bunge na mahakama ikiwa huru zaidi kujiendesha. Habari zisizo rasmi zinadai tayari hoja ya kuwatema wabunge wa Covid 19 iko mezani kwa mama Samia. Alichokifanya Nape ilikuwa ni kuamsha agenda kimakusudi (Pre empty) na anachokifanya Ndugai ni kutaka kupimana ubavu na mama Samia kwa mtindo huo huo. Inadaiwa mjadala ndani vikao vya juu vya CCM ulifikia hatua ya kuona kuendelea kuwakumbatia wabunge wa Covid 19 hakuna faida tena kwa sasa, kwa kuwa mazingira ya kisiasa yameshabadilika na kunachafua vibaya taswira ya utawala mpya wa mama Samia.

Ukiacha zile taarifa za uwepo wa mkakati wa kichini chini na kimakusudi uliolenga kutumia bunge na wabunge kujenga hoja ya kutokuwa na imani na Rais ili achunguzwe na kicha kuwekwa pembeni (jambo ambalo kikatiba linawezekana kwa 100%), kuna mambo mengine kadhaa yanaelezwa kuendelea kufanyika ili kumkwamisha mama Samia.

Moja ya mkakati usio rasmi unaoendelea kwa sasa miongoni mwa wabunge kadhaa ndani ya CCM ni kuhakikisha kiti cha spika ajae kinakaliwa na mwanamke (Dr. Tulia?) ikiwa Spika Ndugai ataendelea kukwamisha harakati zozote za utendaji wa mama Samia. Tayari Spika Ndugai anajua wazi hatakiwi kwenye hicho kiti na utawala wa mama Samia na ili kujipanga vyema kulinda himaya hiyo ameanza mkakati wa kutaka kuonyesha anawajali sana wabunge wanawake.

Muda ni mwalimu mzuri kwenye kila jambo. Tusubiri, tujipe muda na tutazame yatakayojiri.
He is one of the left over by ibilisi Jiwe. Atamsumbua sana.
 
Moja ya mkakati usio rasmi unaoendelea kwa sasa miongoni mwa wabunge kadhaa ndani ya CCM ni kuhakikisha kiti cha spika ajae kinakaliwa na mwanamke (Dr. Tulia?) ikiwa Spika Ndugai ataendelea kukwamisha harakati zozote za utendaji wa mama Samia. Tayari Spika Ndugai anajua wazi hatakiwi kwenye hicho kiti na utawala wa mama Samia na ili kujipanga vyema kulinda himaya hiyo ameanza mkakati wa kutaka kuonyesha anawajali sana wabunge wanawake.

Muda ni mwalimu mzuri kwenye kila jambo. Tusubiri, tujipe muda na tutazame yatakayojiri.
Uspika wa JN ndio unakamika, Tulia ndie Spika ajae!.
P
 
Nimeona niliandike hili sasa hapa JF na kwa uwazi ili kutoa angalizo mapema kwa mwelekeo wa siasa za Tanzania huko tuendako.

Watanzania kwa sasa wametega macho na masikio kuona ni namna gani Rais mpya wa Tanzania, mama Samia Suluhu anaweza kuivusha Tanzania inayopitia kwenye mikwamo mikubwa wa kiuchumi, kidiplomasia na kisiasa iliyotengenezwa na mtangulizi wake.

Mama Samia bila woga na kificho aliweka wazi kabisa kuwa haridhishwi na mwenendo wa utendaji wa bunge la sasa, na kwa maneno yake ililiita bunge letu ni Dhaifu (halina afya) na limejaa wacheza ngoma (linadamka). Wachambuzi wanasema kauli ile ililenga zaidi kiti cha spika. Watu waliopo karibu na Spika Ndugai wanadai kuwa kauli ile ulimuudhi na kumkasirisha spika Ndugai, na ipo siku atatapika nyongo.

Sasa ngoja tuweke ukweli hapa, na tuuseme jinsi ulivyo kama unavyonong'onwa nyuma ya pazia.

Wachambuzi kadhaa wanasema huenda miongoni mwa watu wa juu kabisa ambao hawakutaka au hawakufurahi kuona mama Samia Suluhu anaupata urais wa Tanzania walikuwa Dkt. Bashiru Ally na Spika Ndugai (Hakuna uthibitisho kamili mpaka sasa, ila huko mbele ya safari ukweli mwingi utaibuliwa).

Viongozi hao wanadaiwa kufanya mawasiliano na mipango ya chini kwa chini kuratibu mkakati wa kisiasa ili kumkwamisha mama Samia kupata nafasi ya kuwa urais wa Tanzania muda mfupi baada ya Rais Magufuli kuwa amefariki dunia huku umma wa watanzania ukiwa bado umefichwa. Lolote lingeweza kutokea.

Kwa sasa mama Samia anapambana kwa hali na mali kuwavuta wawekezaji na wahisani (mabeberu!) ili wamwage pesa zao hapa Tanzania ili kunusuru athari za mdororo wa kiuchumi kwa Tanzania. Na moja ya kikwazo kikuu anachokumbana nacho ni sharti la wahisani kuona mihimili mikuu ya bunge na mahakama ikiwa huru zaidi kujiendesha. Habari zisizo rasmi zinadai tayari hoja ya kuwatema wabunge wa Covid 19 iko mezani kwa mama Samia.

Alichokifanya Nape ilikuwa ni kuamsha agenda kimakusudi (Pre empty) na anachokifanya Ndugai ni kutaka kupimana ubavu na mama Samia kwa mtindo huo huo. Inadaiwa mjadala ndani vikao vya juu vya CCM ulifikia hatua ya kuona kuendelea kuwakumbatia wabunge wa Covid 19 hakuna faida tena kwa sasa, kwa kuwa mazingira ya kisiasa yameshabadilika na kunachafua vibaya taswira ya utawala mpya wa mama Samia.

Ukiacha zile taarifa za uwepo wa mkakati wa kichini chini na kimakusudi uliolenga kutumia bunge na wabunge kujenga hoja ya kutokuwa na imani na Rais ili achunguzwe na kicha kuwekwa pembeni (jambo ambalo kikatiba linawezekana kwa 100%), kuna mambo mengine kadhaa yanaelezwa kuendelea kufanyika ili kumkwamisha mama Samia.

Moja ya mkakati usio rasmi unaoendelea kwa sasa miongoni mwa wabunge kadhaa ndani ya CCM ni kuhakikisha kiti cha spika ajae kinakaliwa na mwanamke (Dr. Tulia?) ikiwa Spika Ndugai ataendelea kukwamisha harakati zozote za utendaji wa mama Samia. Tayari Spika Ndugai anajua wazi hatakiwi kwenye hicho kiti na utawala wa mama Samia na ili kujipanga vyema kulinda himaya hiyo ameanza mkakati wa kutaka kuonyesha anawajali sana wabunge wanawake.

Muda ni mwalimu mzuri kwenye kila jambo. Tusubiri, tujipe muda na tutazame yatakayojiri.
Sikio la kufa siku zote halisikii dawa. Huo Mkwamo wa Nchi uliouna wapi? Hayati JPM hakuwa na Mkwamo. Tatizo mnajidanganya sana. Fanyeni tafiti zenu vizuri. Tatizo lenu wenzetu wa upande wa pili ndiyo hilo. Huwa mnadhani mnayoyafikiria ndiyo uhalisia uraiani. Ndiyo maana mnapigwa kila siku katika Kura. Badilikeni. Nchi huwa haisimami, changamoto zipo kila siku kwa kila nchi siku zote. Hiyo Diplomasia iliyo haribika ipi? Tulibadili muelekeo tukataka tuwe tunajiamlia mambo yetu wenyewe na si kulazimishwa kuletewa vilainishi vya Ushoga pamoja na Bullying ya Big States kama US. Lengo ni kuitetea nchi yetu ya Tanzania ambayo hata wewe unayeandika ni mwananchi.

Pia unaandika as if Mama hakuwa Makamu wa Raisi. Alizunguka kuinadi Ilani ya CCM nchi zima naye.

Kikubwa pia Kumbuka Bunge ni Muhimili unaojitegemea. Mihimili ya Dola ni Mitatu (Bunge, Mahakama na Serikali kwa maana ya Executive). Kwahiyo Muache kumtaja mama katika mambo yenu. Kama kukabana na Spika kabaneni naye. Kuna Mahakama, nendeni mahakamani kuhusu Wabunge 19 wa Chadema, mkiwa na hoja kule mnamshinda Spika Mchana kweupe.

Mimi sitetei uovu ila natoa ukweli uliopo. We should not be so illusive kwenye ukweli.
 
Mkuu hawa jamaa ndo maana Mkapa aliwaita WAPUMBAVU NA MALOFA, na sisi humu huwa tunawaita NYUMBU. Hawatumii akili za kawaida kufikiri.
 
Sikio la kufa siku zote halisikii dawa. Huo Mkwamo wa Nchi uliouna wapi? Hayati JPM hakuwa na Mkwamo. Tatizo mnajidanganya sana. Fanyeni tafiti zenu vizuri. Tatizo lenu wenzetu wa upande wa pili ndiyo hilo. Huwa mnadhani mnayoyafikiria ndiyo uhalisia uraiani. Ndiyo maana mnapigwa kila siku katika Kura. Badilikeni. Nchi huwa haisimami, changamoto zipo kila siku kwa kila nchi siku zote. Hiyo Diplomasia iliyo haribika ipi? Tulibadili muelekeo tukataka tuwe tunajiamlia mambo yetu wenyewe na si kulazimishwa kuletewa vilainishi vya Ushoga pamoja na Bullying ya Big States kama US. Lengo ni kuitetea nchi yetu ya Tanzania ambayo hata wewe unayeandika ni mwananchi.

Pia unaandika as if Mama hakuwa Makamu wa Raisi. Alizunguka kuinadi Ilani ya CCM nchi zima naye.

Kikubwa pia Kumbuka Bunge ni Muhimili unaojitegemea. Mihimili ya Dola ni Mitatu (Bunge, Mahakama na Serikali kwa maana ya Executive). Kwahiyo Muache kumtaja mama katika mambo yenu. Kama kukabana na Spika kabaneni naye. Kuna Mahakama, nendeni mahakamani kuhusu Wabunge 19 wa Chadema, mkiwa na hoja kule mnamshinda Spika Mchana kweupe.

Mimi sitetei uovu ila natoa ukweli uliopo. We should not be so illusive kwenye ukweli.
Kura zipi hizo wanapigwa?? sema ndio maana mnaporwa kura kila siku kwa sababu ya ujinga wenu"
 
Tunasubiri team JN na Team Mama tuone nini kutajiri na nani ata time mwenzake patamu....koma nyani giladi
 
Sikio la kufa siku zote halisikii dawa. Huo Mkwamo wa Nchi uliouna wapi? Hayati JPM hakuwa na Mkwamo. Tatizo mnajidanganya sana. Fanyeni tafiti zenu vizuri. Tatizo lenu wenzetu wa upande wa pili ndiyo hilo. Huwa mnadhani mnayoyafikiria ndiyo uhalisia uraiani. Ndiyo maana mnapigwa kila siku katika Kura. Badilikeni. Nchi huwa haisimami, changamoto zipo kila siku kwa kila nchi siku zote. Hiyo Diplomasia iliyo haribika ipi? Tulibadili muelekeo tukataka tuwe tunajiamlia mambo yetu wenyewe na si kulazimishwa kuletewa vilainishi vya Ushoga pamoja na Bullying ya Big States kama US. Lengo ni kuitetea nchi yetu ya Tanzania ambayo hata wewe unayeandika ni mwananchi.

Pia unaandika as if Mama hakuwa Makamu wa Raisi. Alizunguka kuinadi Ilani ya CCM nchi zima naye.

Kikubwa pia Kumbuka Bunge ni Muhimili unaojitegemea. Mihimili ya Dola ni Mitatu (Bunge, Mahakama na Serikali kwa maana ya Executive). Kwahiyo Muache kumtaja mama katika mambo yenu. Kama kukabana na Spika kabaneni naye. Kuna Mahakama, nendeni mahakamani kuhusu Wabunge 19 wa Chadema, mkiwa na hoja kule mnamshinda Spika Mchana kweupe.

Mimi sitetei uovu ila natoa ukweli uliopo. We should not be so illusive kwenye ukweli.
Wanapigwa katika kura?
Kura gani Tz kuna uchaguzi au uchafuzi
Unakera natamani nikutusi
 
Back
Top Bottom