Mzee wa Twitter
JF-Expert Member
- Nov 5, 2023
- 1,272
- 2,033
Kaimu KATIBU MKUU wa CCM Bw. Macha hivi karibuni alipokuwa akihutubia katika Jimbo la UBUNGO alisema kuwa ni marufuku kuanza kampeni za UBUNGE na UDIWANI ndani ya Chama cha Mapinduzi CCM kabla ya Muda wake kufika na akaenda mbali zaidi kuwa Yeyote atakayebainika Jina Lake litakatwa wakati ukifika.
Kama ndiyo hivyo Vipi kwa hawa VIONGOZI wakubwa ndani ya Chama Mbona nao wameanza Kumfanyia Kampeni Bi Mkubwa? katika ZIARA zao?
Tumemsikia Bi JOKETI Katibu Mkuu UWT akiwa Mkoa wa Ruvuma Tumemsikia Kinana Makamu Mwenyekiti wa CCM na Bw.Majaliwa Waziri Mkuu wakiwa Ruwanga Mkoani Lindi wakimwombea KURA Bi Mkubwa.
Kama kufanya hivyo kwa Bi Mkubwa ni RUKSA basi na Wanaotaka UBUNGE na UDIWANI Waruhusiwe Kujipitisha kwenye MAJIMBO ili Wajiombee Kura.
Sent from my SM-A145R using JamiiForums mobile app