Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 876
- 4,101
Mzee Kinana amesema chama kitatumia utamaduni na mila kupata mgombea Urais 2025. Amesema pamoja na demokrasia kuwepo ila kwa muda mrefu inapotokea kupata mgombea Urais tamaduni zinaonyesha kwamba Rais aliyepo lazima apewe nafasi yakuongoza awamu ya pili.
Hii kauli ameitoa leo tarehe 2/01/2024 wakati uchaguzi unatarajiwa kufanyika 2025. Kulikuwa na umuhimu wakuanza kuweka vikwazo kwa wenye nia ya kugombea miaka miwili kabla ya siku ya uchaguzi?
Je, kuna mtu ameonyesha nia yakuchukua fomu kushindana na SSH ndani ya chama? Kama tayari mgombea Urais ndani ya chama anafahamika kwanini wagombea ubunge na udiwani tusiruhusiwe tuanze kujinadi kwa wananchi? Kwanini tupigwe marufuku kujiandaa?