Mzee Butiku kwa upenda haki unaojaribu kuonyesha huyu mzee anaweza kuteseka hivi ukiwepo?

Kumbe ndoa mseto zilianza tangu zamani baba wa Nassoro aliitwa Francis Petro na mama yake aliitwa Hadija Hassan, sasa huu uadui unaotamalaki hivi sasa ati huwezi olewa na yule ni kafri unatoka wapi
 
Kumbe ndoa mseto zilianza tangu zamani baba wa Nassoro aliitwa Francis Petro na mama yake aliitwa Hadija Hassan, sasa huu uadui unaotamalaki hivi sasa ati huwezi olewa na yule ni kafri unatoka wapi
Mashekhe ubwabwa ndio wameleta hio shehena eti hawataki kulishwa Nguruwe,
 
jukumu la kutunza wazee ni la Serikali, wameitumikia nchi hivyo wanapaswa kutunzwa na serikali …
 
Back
Top Bottom