Itoshe kusema January Makamba, ulipandisha bei ya mafuta na ukavuruga TANESCO, bila sababu

JF Member

JF-Expert Member
Dec 14, 2014
7,393
9,674
NAANDIKA KWA MACHUNGU na Lazima tukubaliane kwamba huyu mwamba ni mtu wa dili. Hana mawazo mazuri juu ya nchi yetu.

Alipoingia tu madarakani, EWURA walipandisha bei ya mafuta hadi kiwango cha juu hakijawahi kutokea hapa nchini. Akasababisha mama akaanza kutoa hadi ruzuku (japo sina imani na hii ruzuku kama ilikuwepo ama la. Kabla ya vita vya URUSI na UKRAIN visingizio vilikuwa ghalama za usafirishaji, mara akaenda uarabuni kutafuta wazalishaji tununue moja kwa moja, lakini wapiii.. baadae ikaingia vita ya Urus ndio kabisaa akajipandishia.
Tangu aondolewe ile office, bei zinashuka kila kukicha, Mungu anajua. Umeshakwiba sana, Imetosha tafuta kazi zingine kwenye office za umma unazingua sana.

TANESCO, aliwavuruga hadi hawanahamu, siku wamesikia anaondoka walifurahi sana. Mwamba kila analolitaka lazima lifanikiwe, pesa anapelekaga south na amewekeza huko.

Alipoingia tu TANESCO, akaanzisha katakata ya umeme huku akiomba aongezewe fungu la matengenezo eti mitambo imedoda, mama nae kwa kuingia kingi akatoa fungu, kijana aliomba trillion za pesa nyingi, umeme bado ukawa unakatakata, hapo kati likaingia picha la kihindi, wahindi wakalamba dili la mabillion ya dollari, mambo bado yakabuma. Tangu aondoke umeme umeanza kuimalika. Mtaani kwetu ilikuwa kila jumatano na jumapili tukosa umeme. Siku hizi tunajiuliza wamekata? watu - UPO.

Mama kashitukia hizo dili akaona amtoe mambo ya nje, kule ni rahisi kupata taarifa zake, ila kijana hafanyi hata kazi zake analandalanda tu kwenye korido na kujimwambafai aungwe mkono na diaspora ili aupate Urais.

Kazi kwako Samia, tunajua unamuogopa Makamba na JK, lakini tunaomba usiogope kwa ajili ya Tanzania. Nakuhakikishia kwa kijana yule alivyokwapua pesa, anaaenda kununua magazeti yakuandike hadi ukonde kabla ya mwaka huu kuisha.

Makamba tafuta kazi zako binafsi office za umma umekula umetosha mzee.
 
Alipoingia tu TANESCO, akaanzisha katakata ya umeme huku akiomba aongezewe fungu la matengenezo eti mitambo imedoda, mama nae kwa kuingia kingi akatoa fungu, kijana aliomba trillion za pesa nyingi, umeme bado ukawa unakatakata, hapo kati likaingia picha la kihindi, wahindi wakalamba dili la mabillion ya dollari, mambo bado yakabuma.

Mawazo ya kijinga kabisa- Makamba anatoa wapi uwezo wa kupandisha bei ya mafuta?
 
Makamba na viongozi wengine wa ccm ni taswira halisi ya mtanzania, yani kifupi bongo ukila kitengo usipo iba wanakuona mjinga. Tofauti ya makamba na hao wanaomsema ni kwamba jamaa kamba yake ni ndevu kwahyo wanamuonea WIVU (na hii tena ni tabia nyingine ya watanganyika)
Vijana tupige kazi akuna kiongozi atakuja fanya maajabu kwenye hii inch.
 
NAANDIKA KWA MACHUNGU na Lazima tukubaliane kwamba huyu mwamba ni mtu wa dili. Hana mawazo mazuri juu ya nchi yetu.

Alipoingia tu madarakani, EWURA walipandisha bei ya mafuta hadi kiwango cha juu hakijawahi kutokea hapa nchini. Akasababisha mama akaanza kutoa hadi ruzuku (japo sina imani na hii ruzuku kama ilikuwepo ama la. Kabla ya vita vya URUSI na UKRAIN visingizio vilikuwa ghalama za usafirishaji, mara akaenda uarabuni kutafuta wazalishaji tununue moja kwa moja, lakini wapiii.. baadae ikaingia vita ya Urus ndio kabisaa akajipandishia.
Tangu aondolewe ile office, bei zinashuka kila kukicha, Mungu anajua. Umeshakwiba sana, Imetosha tafuta kazi zingine kwenye office za umma unazingua sana.

TANESCO, aliwavuruga hadi hawanahamu, siku wamesikia anaondoka walifurahi sana. Mwamba kila analolitaka lazima lifanikiwe, pesa anapelekaga south na amewekeza huko.

Alipoingia tu TANESCO, akaanzisha katakata ya umeme huku akiomba aongezewe fungu la matengenezo eti mitambo imedoda, mama nae kwa kuingia kingi akatoa fungu, kijana aliomba trillion za pesa nyingi, umeme bado ukawa unakatakata, hapo kati likaingia picha la kihindi, wahindi wakalamba dili la mabillion ya dollari, mambo bado yakabuma.

Mama kashitukia hizo dili akaona amtoe mambo ya nje, kule ni rahisi kupata taarifa zake, ila kijana hafanyi hata kazi zake analandalanda tu kwenye korido na kujimwambafai aungwe mkono na diaspora ili aupate Urais.

Kazi kwako Samia, tunajua unamuogopa Makamba na JK, lakini tunaomba usiogope kwa ajili ya Tanzania. Nakuhakikishia kwa kijana yule alivyokwapua pesa, anaaenda kununua magazeti yakuandike hadi ukonde kabla ya mwaka huu kuisha.

Makamba tafuta kazi zako binafsi office za umma umekula umetosha mzee.
Makamba analindwa na mzee makamba!
 
Janga la Umeme Tz lilianza tangu miaka mingi ya Awamu ya Kwanza ya Mwl.Nyerere. halikuanza awmu hii ya utawala.
 
Wenye Tamaa hawatoshekagi mpaka itakapofika tani saba za mchanga juu yetu !🙏🙏
 
January anachimba mafuta wapi wewe
 
haina uhusiano- turudi kwenye mjadala- Makamba ana uwezo wa kuyafanya hayo unayomtuhumu? KAUTOA WAPI?
Hizi sio tuhumua kijana. Ni reality kabisa bila chenga.

Ndio maana nikakuuliza umri wako. Ili nijue nikusaidie ili ujue ama nikuache tu na uchawa wako?
 
Ukiona kwenye mjadala mtu anaanza kutumia lugha za kudhalilisha utu- JITOE; NAJITOA.
 
baadae ikaingia vita ya Urus ndio kabisaa akajipandishia.
So January alikua waziri kipindi vita ndio imeanza?
Alipoingia tu TANESCO, akaanzisha katakata ya umeme huku akiomba aongezewe fungu la matengenezo eti mitambo imedoda
Mbona toka aondoke umeme ulikua bado unakatwa katwa? Tena issue ya matengenezo hata Biteko na Rais wamesema ndio sababu ya umeme kukatika sasa nao wanahongwa na January ama?
Makamba tafuta kazi zako binafsi office za umma umekula umetosha mzee.
Amekula nini? Tupunguze chuki bila sababu. Ungeweza kusema yupo incompetent au inexperienced ila kulazimisha kuwa ameiba ni kuchafuana bila sababu.
 
NAANDIKA KWA MACHUNGU na Lazima tukubaliane kwamba huyu mwamba ni mtu wa dili. Hana mawazo mazuri juu ya nchi yetu.

Alipoingia tu madarakani, EWURA walipandisha bei ya mafuta hadi kiwango cha juu hakijawahi kutokea hapa nchini. Akasababisha mama akaanza kutoa hadi ruzuku (japo sina imani na hii ruzuku kama ilikuwepo ama la. Kabla ya vita vya URUSI na UKRAIN visingizio vilikuwa ghalama za usafirishaji, mara akaenda uarabuni kutafuta wazalishaji tununue moja kwa moja, lakini wapiii.. baadae ikaingia vita ya Urus ndio kabisaa akajipandishia.
Tangu aondolewe ile office, bei zinashuka kila kukicha, Mungu anajua. Umeshakwiba sana, Imetosha tafuta kazi zingine kwenye office za umma unazingua sana.

TANESCO, aliwavuruga hadi hawanahamu, siku wamesikia anaondoka walifurahi sana. Mwamba kila analolitaka lazima lifanikiwe, pesa anapelekaga south na amewekeza huko.

Alipoingia tu TANESCO, akaanzisha katakata ya umeme huku akiomba aongezewe fungu la matengenezo eti mitambo imedoda, mama nae kwa kuingia kingi akatoa fungu, kijana aliomba trillion za pesa nyingi, umeme bado ukawa unakatakata, hapo kati likaingia picha la kihindi, wahindi wakalamba dili la mabillion ya dollari, mambo bado yakabuma. Tangu aondoke umeme umeanza kuimalika. Mtaani kwetu ilikuwa kila jumatano na jumapili tukosa umeme. Siku hizi tunajiuliza wamekata? watu - UPO.

Mama kashitukia hizo dili akaona amtoe mambo ya nje, kule ni rahisi kupata taarifa zake, ila kijana hafanyi hata kazi zake analandalanda tu kwenye korido na kujimwambafai aungwe mkono na diaspora ili aupate Urais.

Kazi kwako Samia, tunajua unamuogopa Makamba na JK, lakini tunaomba usiogope kwa ajili ya Tanzania. Nakuhakikishia kwa kijana yule alivyokwapua pesa, anaaenda kununua magazeti yakuandike hadi ukonde kabla ya mwaka huu kuisha.

Makamba tafuta kazi zako binafsi office za umma umekula umetosha mzee.
Uzushi tu....Makamba anapanga bei tangu lini
 
Kuna sehemu umeona nimeandika anachimba?
Tanesco imevurugika tangu enzi acheni kuchafua watu na siasa zenu za kishamba.
Mkapa alipoleta wale makaburu kuja kuzalisha umeme wazir alikuwa January?
Richmond ililetwa na January?TEGETA Escrow imepitishwa na January??
 
Back
Top Bottom