DW: Hali ya Usalama Zanzibar Mashakani. Yadaiwa kuna watu wanapora wageni mitaani na kupotea

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
IMG_9514.jpeg


Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye silaha wameripotia kuvamia katika mitaa mbali mbali na kuwajeruhi wananchi na kuwaumiza kabla ya kutokomea kusikojulikana huku wakiwa wamefanya pia uporaji wa vitu mbalimbali.

Tunazungumza na Kamanda wa Polisi Zanzibar kutulezea zaidi.

Chanzo: DW Kiswahili
 
Majeshi yetu yako imara na ni kati ya majeshi bora sana duniani.

Wananchi hawapaswi kuwa na wasi wasi. Hao panya road huko Zanzibar watakipata kama walivyokipata wenzao huku Tanzania bara.
 
Back
Top Bottom