Kama kichwa cha habari kinavyosema kuna baadhi ya watu wanapenda sana kuwa laumu viongizi wa upinzani oo mara waseme wapo kimya sasa hivi mara waseme wamelambishwa asali mara waseme wametusaliti...
Ndugu zangu Watanzania,
Habari ikufikie popote pale ulipo kuwa mamlaka ya mapato Tanzania (TRA) imetangaza kupitia menejimenti yake kuwa imefanikiwa kuweka rekodi ya kipekee kabisa tangia...
Huyu muandishi kapewa nyama ya mbuzi za kula siku mbili tatu anaanza kuongea maneno ya kusifia huyo mbunge wake Tabasamu.
Je, tasnia ndio inakufa kwa kupata waandishi ambao hawatajua kazi zao za...
Awali ya yote napenda kuchukua fursa hii ya kipekee kumshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa rehema wa baraka ya uhai aliyotujalia hatimae kuwenza kuuona mwaka mwingine 2024.
Tukiwa tunaelekea kwenye...
Sukari sasa kilo moja ni Tsh 4500!
Hii nchi imekuwa kama utawala wa kambale mama ana ndevu baba ana ndevu hakuna hata mbunge, waziri au mkurugenzi anaongelea hii hali.
CCM ipo kimya, Makonda...
Nimeona Senegal wanazindua mradi wa Barabara za BRT ambazo zinatumia Umeme.
Yaani kama hiyo BRT ya Dar ila iwe ni mfumo wa kuchaji/Umeme badala ya diesel.
Kwangu binafsi naona hii ni miradi ya...
UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA
Mkutano huu kushirikisha Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa.
Lengo ni kujadili Miswaada ya Sheria za Uchaguzi na Sheria za...
Watanzania sijui akili zetu zikoje.
Kwanini hatujui thamani halisi ya rasilimali zetu?
Dpw wameahidi kuwekeza usd 250 mil na kuchukua bandari yetu.
Na fedha hizo sio kama wanawekeza kwa mkupuo...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amesema kuwa changamoto kubwa inayowakumba Watanzania katika kupata huduma za afya ni gharama kuwa juu, hivyo amesisitiza wadau kuwahamasisha kuwa na bima ya afya...
Tunaishi na jirani tusiye mjua. Katika hilo jambo kuna mambo ya hatari ambayo yako wazi sana lakini Serikali na idara za usalama zimejifanya kipofu.
Tujiulize, kwanini DPW walitangulia kuweka...
Wana JF,
Huku joto la urais likipanda leo mzee wa mtama aka Membe akiwa mgeni rasmi kwenye mahafali ya chuo cha bagamoyo yaliyofanyika hotel ya Kiromo - Bagamoyo ameahidi kuanzisha BENARD MEMBE...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Jumanne Sagini (Mb) amewataka Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama pamoja na wakandarasi wanaosimamia miradi ya ujenzi Mkoani Geita kukamilisha...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Jumanne Sagini (Mb), ametembelea Gereza Geita lililopo Mkoani Geita na kuzungumza na Wafungwa pamoja na Mahabusu wakati alipofanya ziara yake ya Kikazi...
Ndugu wananchi wenzangu wa Jimbo la Kiteto nachukua fursa hii kuwatakia Kheri ya Mwaka Mpya 2024. Namwomba Mwenyezi Mungu awape Baraka, Afya Njema na Neema katika mwaka huu 2024.
Ndugu wananchi...
Habari za Mwaka Mpya Wakuu!
Kuna Watu ni wepesi sana kutoa vibanzi katika macho ya wenzao ilhali wao wako na boriti.
Serikali imeshindwa!
Rais gani huyo!
Viongozi wa nchi hii ni wajinga sana...
Taarifa kutoka Nchini kenya na wilayani Tarime zinasema kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Bwana John Tupa, Kamanda wa kanda maalumu ya kipolisi Tarime na Rorya J. Kamugisha na OCD wa Tarime wanafadhili...
Waziiri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema Toto Afya Kadi haijafutwa ila Utaratibu ndio umebadilika sasa Watoto Watasaniliwa Shuleni kwa gharama ile ile ya tsh 50,400.
---
Waziri wa Afya, Ummy...
Watanzania MASIKINI nawasalimu na niwatakie HERI ya MWAKA MPYA 2024 MUNGU akipenda Tuingia na UMASIKINI wetu kwa mwaka 2024 Kama Tulivyozoea.
Mada yangu ni juu ya hawa WAHESHIMIWA sana Wenye NCHI...
I. Utangulizi
Tayari Muswada wa Bima ya afya kwa wote uliopitishwa bungeni mwezi Novemba umetiwa saini na Rais na kuwa sheria rasmi (imeambatanishwa). Bado tunasubiri kkwa hamu kanuni na taratibu...
Polepole akiwa katika mahojiano na Jenerali Ulimwengu mojawapo ya mambo aliyoisifia Cuba ni upangaji miji kwa ustadi mkubwa sana. Anasema mitaa Cuba imepangwa vizuri sana kiasi kwamba unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.