Rais Samia awaambia TRC/Wizara ya Uchukuzi, amechoka na Vijisababu, SGR Dar-Dom lazima ianze Kabla ya July 2024

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,048
49,731
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.

Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.

Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.

Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.

---
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa maagizo kwa wanaohusika na mradi wa reli ya kisasa (SGR) kuhakikisha inapofika Julai 2024 safari za kutoka Dar es Salaam hadi Dodoma zinaanza.

Rais Samia ameyasema hayo leo Desemba 31, 2023 akihutubia nchi katika salamu zake za mwaka mpya 2024.

“Nimekuwa nikisikia mabadiliko ya tarehe za kuanza kwa safari za treni, na kwa kweli, wananchi wamechoshwa na vijisababu, wanataka kuona reli ikifanya kazi. Sasa, naelekeza, ifikapo mwisho wa Julai 2024, safari kati ya Dar es Salaam hadi Dodoma zianze,”amesema Rais Samia.
 
Naungana na Mh.Rais endapo kina kadogosa na Mbarawa wakishindwa ku meet deadline hii Fukuza.

Na kama hawako sure Kwa axact date wakome kutangazia Umma tarehe harafu mda ukifika hakuna kinachoendelea wanakuja na visingizio vingine vya kijinga.

Nyie TRC/Wizara ya Uchukuzi mumevumiliwa sana kama TANESCO.

Heri ya Mwaka Mpya na kazi inaendelee.

View: https://www.instagram.com/p/C1huxsTNBUz/?igsh=NmJiYWZiY2E0Mg==

Mkuu ChoiceVariable , asante kwa bandiko hili, Rais Samia Awaambia TRC/Wizara ya Uchukuzi "Nimechoka na Vijisababu,SGR Dar-Dom Lazima Ianze Kabla ya July 2024.", hili la ya GSR, kina sisi tumelisema sana, Reli ya SGR: Je, Tujifunze kwa wenzetu Kenya kuepusha SGR yetu kuwa ‘A White Elephant’? Wenzetu yameshawakuta... sio tunajidharau, bali tunamatatizo makubwa ya upangaji vipaumbele vyetu, kama watu hawa wameshindwa kuendesha a simple meter gauge railway to its full capacity, what do you expect kwenye complex SGR?!.

Wakati tunabinafshisha Bandari yetu kwa DPW, nilisema humu Watanzania tujifunze kukubali kuna vitu hatuwezi, tunaposhindwa tukubali kusaidiwa au tukomae? Baada ya Bandari ni ATCL na SGR au Tusubirie? kisha nikaandika Hakuna Ubaya Wowote kwa Mtu Yoyote, Taasisi Yoyote, Nchi Yoyote Kusaidiwa Pale Inaposhindwa, Muhimu ni Kuwa Makini Tusipigwe. Je DPW Tunapigwa?

Happy New Year.
P
 
Back
Top Bottom