Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inasikitisha sana kuona nchi masikini kama hii bado inafuja hela za umma kwa kasi ya ajabu, nchi fukara isiyojiweza Vyeo hewa vimejazana mfano hai ni wabunge wa viti maalumu na wabunge wa...
8 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Wakati tunaangalia kulia na kushoto ili kuifanya nchi yetu ipate viongozi yule ambaye kila mtu anamtaka , naona bado natatizwa na hiki kitu kinachoitwa ruzuku! Ni kweli ruzuku...
4 Reactions
215 Replies
31K Views
Kwa nchii masikini kama Tanzania tunahaha kupataa ambulance. Ya million 80-100 alafu chama kimoja kinapata zaidi ya mil 200+ HII n laana kubwa sana Hatakama hizopesa zinatoka marekani MH Rais...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
KATIKA KIPINDI KIGUMU KWA WATANZANIA WENZETU WALIOPATWA NA MAAFA BUKOBA, NAVISHAURI VYAMA VYA SIASA , 1 CCM, 2,CHADEMA 3, CUF 4, ACT NA VIGINE VIDOGO, BADALA YA KUTUMIA TUKIO ILI NA VIFO VYA...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Kuna Madai ya Mbunge wa Jimbo la Busega bwana Simoni Songe hivi karibuni mwezi December mwaka 2023 aliwaita wajumbe wa CCM 800 na kuwahonga kila mmoja elfu thelathini alitumia kama million25...
1 Reactions
4 Replies
834 Views
Mwalimu Nyerere aliwahi kusema kuwa chama chochote cha siasa kikipuuza maoni ya wananchi kitalia kilio ambacho hatakuwepo wa kukinyamazisha Ni dhahiri CCM imepoteza mwelekeo haijali kabisa...
14 Reactions
74 Replies
7K Views
Wadau nawasabahi. Kama kichwa cha habari kilivyo. Je, ni kweli BUNGE hili lina uwezo wa kuisimamia na kuiwajibisha Serikali pindi ikibidi wakati huo huo serikali ndiyo inayowalipa mishahara...
0 Reactions
1 Replies
373 Views
Binafsi nilishangaa sana kumsikia Komredi Kinana akizungumza suala la Fomu Moja kana kwamba ndio anatoa Mwongozo CCM kupitia mkutano mkuu wa taifa ilishamchagua kwa Kura Dr Samia kuwa Rais wa JMT...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Mbunge Lugangira: Matumizi ya Mitandao Katika Uchaguzi Yaingie Katika Sheria MBUNGE wa Viti Maalumu, Neema Lugangira ameshauri Mswada wa Sheria ya Tume Huru ya Uchaguzi uwe na Ibara inayoongelea...
0 Reactions
2 Replies
623 Views
Mchungaji Mtikila alikuwa na maono kisiasa hapa nchini. Ni kiongozi wa kisiasa aliyekumbana na rungu la watawala kuliko kiongozi wa upinzani yeyote hapa nchini. Sikilizeni baadhi ya maneno yake...
8 Reactions
25 Replies
1K Views
Ukweli mchungu! Nchi nyingi za Kiafrika, zinaongozwa na wanasiasa mbumbumbu. Hii wala haihitaji kutumia nguvu kubwa kulitambua. Fuatilia wanasiasa wetu wengi, elimu zao ni za kuunga-unga. Wengi...
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Kwa sasa ili CCM ishinde uchaguzi wa 2025 ina mambo matatu tu ya kuzingatia. 1. Samia azidishe asali kwa wapinzani. 2. Ihakikishe uchaguzi hauko huru. 3. Samia ahakikishe wapinzani hawasimamishi...
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Akitoa salamu za kuaga mwaka 2023 na kuukaribisha mwaka 2024, Mheshimiwa Rais Samia Suluhu alisema maneno yafuatayo, "mwaka 2023 ulikuwa ni mwaka wa mageuzi na mwaka ujao 2024 utakuwa ni mwaka wa...
1 Reactions
3 Replies
598 Views
Siku zote tumesema humu na kwingine kwamba , Chadema haina Ubaya na Mtu , Waliondoka wenyewe lakini kwa vile wanajua kwamba hatukuwahi kuwatendea Ubaya wanarejea wenyewe . Huyu Hapa Mzee Lembeli...
10 Reactions
21 Replies
3K Views
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla...
18 Reactions
51 Replies
3K Views
Mamlaka ya Mapato Zanzibar ZRA imevuka malengo ya nusu mwaka Kwa Kukusanya Asilimia 104% ya Mapato Kwa Kukusanya Bilioni 351 badala ya Bilioni 335...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Unaweza kusema Kenya imepindua meza kwa kurejea kwenye nafasi yake katika biashara baina yake na Tanzania, baada ya kuipoteza mwaka uliopita. Ripoti ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) iliyochapishwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma. Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa...
11 Reactions
122 Replies
7K Views
Ili Taifa liweze kusonga mbele tunahitaji mabadiliko ya fikra kwa Watu walioaminiwa na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumsaidia kuwaletea Maendeleo Watanzania. Ni Muhimu sana...
0 Reactions
1 Replies
506 Views
Kama ulikuwa hujui basi nakujuza Rasmi kwamba , Chadema haisubiri mwaka upauke, tayari wameanza kwa kasi mipango yao. Wanachonifurahisha ni kwamba, hawana kiherehere na Mgombea urais wa 2025...
10 Reactions
56 Replies
3K Views
Back
Top Bottom