Jaman wanaJF wazima?
Mimi mwaka 2005 milikuwa msimamizi mkuu wa uchaguzi ktk kata moja iliyopo ktk jimbo la Ismani(kwa Lukuvi),kiukweli tulichakachua sana matokeo yan sikutangaza matokeo halisi...
Mimi ni mpenzi wa Mwanafizikia wa zamani Albert Einsten (Baba wa mabomu ya nyukilia/atomiki duniani), zamani kidogo baada ya msomi huyu wa Kiyahudi kuikimbia Ujerumani na kutimkia Marekani...
Uganda wanapitia kipindi kigumu sana chini ya dictator Museveni. Leo nimesikia DW ya ujerumani inasikitisha sana watu wanauawa na kuswekwa ndani kila kukicha kisa tu dictator hataki kukosolewa...
Pamoja na kutuma Salamu za mwaka Mpya na kuwapongeza Chipukizi Watoto wa viongozi nimeona niwaletee hii nukuu ya Shujaa Magufuli kama nilivyoikuta mtandaoni Mfanyakazi Online
" Hivi kuna umuhimu...
Mbunge wa Arusha mjini mh Mrisho Gambo amesema tarehe 17/02/2024 watafanya mkutano mkuu wa Jimbo katika ukumbi wa Kimataifa wa AICC
Gambo amesema Wajumbe, Mabalozi wote na Wawakilishi wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali ya Awamu ya nane imedhamiria kuimarisha miundombinu ya barabara Mijini na Vijijini Unguja na...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amejivunia miaka mitatu ya Serikali ya awamu ya nane madarasa 2,273 sawa na asilimia 150 ya malengo ya ilani ya...
Utashiriki uchaguzi wa Serikali za mitaa mwaka huu wa 2024?
Utashiriki kama mgombea au mpiga kura?
Kama hautashiriki sababu gani za msingi zitakufanya usishiriki?
Tukumbuke serikali ya mitaa...
Kwa kawaida Kiongozi wa serikali akitembelea jimbo basi Mbunge na madiwani ndio huwa wenyeji wake
Mbunge asipokuwepo basi Katibu wa mbunge ndio atatoa salamu za Mbunge kwa mgeni na kwa Wananchi...
Wadau wengi kama mimi tuna amini kwamba kupigania demokrasia ni kupigania maendeleo. Ni lazima tujue kwamba demokrasia nzuri inaendana na katiba nzuri, bunge la ushindani, Uraisi wa ushindani na...
Kinana amesema uwongo kuwa eti CCM imekuwa na utaratibu wa kutoruhusu kuwepo na ushindani ndani ya CCM wa kumpata mgombea wa chama kwenye kiti cha Urais pale ambapo Rais aliyepo madarakani...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na wafanyabiashara wa Ukonga, aliwaambia wananchi hao kuwa wanasalimiwa na Mbunge wao, ambaye pia ni waziri wa Ardhi, Jerry Slaa, lakini...
Kumekuwepo na kelele za mda mrefu za uhuru wa tume ya uchaguzi. mambo yanayoguswa ni :-
inavyoundwa
watumishi wake
Kwa mswada uliopelekwa bungeni na inavyopendekezwa inalekea suala la namna...
Hili ni jambo muhimu sana ambalo wana JF mnapaswa kulifahamu, kwamba ruzuku ya vyama vya siasa hutolewa kutokana na Kura za Jumla ambazo Chama kimepata kutoka kwenye Uchaguzi Mkuu husika.
Kwa...
Chawa hupenda kukaa sehemu chafu Sana na huzaliana kwa wingi na hufyonza damu na kiumbe kudhoofika. Hivyo chawa sehemu Safi hawapendi kwani chawa NI adui wa usafi.
Hapa namkumbusha mama...
RUZUKU YA VYAMA VYA SIASA.
utaratibu wake.
anachambua:Joseph Mshinga.
MAKUNDI YA RUZUKU ZA VYAMA.
ruzuku za vyama zipo katima makundi mawili.
1.Ruzuku inayotokana na Serikali ya...
Nikiwa barabarani naendesha gari, Siti yangu ya mbele alikaa mjukuu wangu wa miaka 11. Mbele yetu kulikuwa na gari Ina namba za Zanzibar kwenye number plate yenye bendera ya Zanzibar. Mjukuu...
1.Futa ubunge wa viti maalum na ubunge wa kuteuliwa. Futa pia posho za wabunge wanapokuwa bungeni.
2.Ondoa matumizi ya magari ya Vietee na tumia magari ya gharama nafuu. Pia dhibiti ziara za...
Iwekwe katika katiba kila wananchi laki 2 wawakilishwe na mbunge mmoja.
Viti maalum vifutwe
Ubunge wa kuteuliwa ufutwe
Wagombea binafsi waruhusiwe
Mbunge akihama chama, akijiuzulu, akifariki au...
Mimi naomba kushangaa, nchi inapokua uchumi wa chini ni heri kujitahidi kuzuia mianya ya ufujaji na upotevu mkubwa wa pesa za serikali.
Licha ya kwamba bunge la Tanzania lina wabunge wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.