Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,009
20,683
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa

Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa

Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Siasa ni maisha ya kila siku.
 
sawa
 
Bila shaka Mbowe atatangaza hivi karibuni kuvaa gwanda la kijani! Wanaosubiri upinzani Toka kwa Mbowe watasubiri Sana!
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Ni kawaida kwa Wachaga kufanya hivyo endapo mchango wenye dau kubwa unapotolewa na mwenye fedha, hapo utapata kila sifa, lakini ukiwapiga tu mgongo wanakung'ong'a ile mbaya.
 
Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia ujenzi wa kanisa milioni mia hamsini.

Watu waliokuwa katika lanisa hilo wameeleza kwamba haijawahi kutokea shangwe kubwa kama hilo kwa miaka mingi sana tangu siasa za vyama vingi ziruhusiwe, na wengine wameeleza kwamba hiyo no ishara kubwa sana kinabii, kikanisa na kimaono ya kiuongozi kuelekea uchaguzi mkuu na ule wa serikali za mitaa
View attachment 2858468
Huyu ndiye Samia!. Tena Mbowe alipaswa kuwaeleza Chadema, jinsi Mama Samia alivyowasaidia mambo fulani ya ndani ya Chadema, ili hawa wana Chadema payuka payuka kumhusu Samia, walipaswa kuwa na shukrani!.
P
 
Back
Top Bottom