Nchi ambayo habari kubwa ni za kuwania kugombea nafasi za uchaguzi, ni "Failed State". Aibu ya Tanzania

Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
22,606
29,755
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
 
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
 
Tulipaswa kuwa na maendeleo Zaidi ya haya ya Sasa. Mnajivunia wingi usioridhisha, huku ubora ukiwa duni kupita maelezo.
 
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
Wewe ni kiazi mbatata, yaani miaka 60+ ya Uhuru unakuja na ngonjera za vyuo vikuu vingapi, hivyo vikuu au uchafuu wa vyuo vikuu? Hao graduantees wapo mtaani kwakukosa ajira sababu ya uhovyo na elimu ya kipumbavu inayotolewa na serikali ya CCM. Miaka 60+ ya Uhuru unauliza barabara? Why usiulize ni resources kiasi gani zimepotea kuibiwa na viongozi kupitia hiyo miradi?, Walimu na hao wahandisi wameajiriwa au serikali ya CCM imewatelwkeza mitaani wakologa zege?. Punguza uchawa shoqer wewe.
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Aibu nchi kuwa na viongozi wa aina hii. Wapo kuanzia ikulu mpaka mitaani. Hii ni laana kubwa sana. CHAWA
 
Wewe ni kiazi mbatata, yaani miaka 60+ ya Uhuru unakuja na ngonjera za vyuo vikuu vingapi, hivyo vikuu au uchafuu wa vyuo vikuu? Hao graduantees wapo mtaani kwakukosa ajira sababu ya uhovyo na elimu ya kipumbavu inayotolewa na serikali ya CCM. Miaka 60+ ya Uhuru unauliza barabara? Why usiulize ni resources kiasi gani zimepotea kuibiwa na viongozi kupitia hiyo miradi?, Walimu na hao wahandisi wameajiriwa au serikali ya CCM imewatelwkeza mitaani wakologa zege?. Punguza uchawa shoqer wewe.
Nani kwakwambia kuwa kuna serikali yoyote hapa Duniani inayoweza kuajiri kila mhitimu wa chuo kikuu? Nani kwakwambia kuwa kila mwanafunzi anayemaliza chuo kikuu ni lazima apate ajira? Hujui kuwa kazi ya serikali ni kuweka mazingira wezeshi kwa kijana yeyote kutumia na kupata fursa ya kiuchumi itakayoinua maisha yake kama ifanyavyo serikali ya CCM? Hujui kazi ya serikali ni kutengeneza fursa za ajira kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo kama ifanyavyo serikali ya CCM? Hata hivyo serikali yetu imefanya kazi kubwa sana katika suala la ajira , ambapo imetoa maelfu ya ajira kwa vijana katika kada tofauti tofauti.
 
Wewe ni kinyesi.... CCM wameweka mazingira gani wezeshi kwa vijana wanakhitimu kujiajiri?, Kwa elimu gani hii ya makaratasi ya kusoma mpk chuo kikuu "colonial economy"kama sehem ya mada!. Duniani kote serikali zinazojitambua maendeleo yanaendana na ukuaji wa maendeleo ya binadam, unajivunia barabara amabzao haziendani na maendeleo ya raia?.
"Development should be people centered", watu wametoka kununua kilo ya sukar kwa 2500 leo inauzwa 5000, unakuja na ngonjera za SGR kwa mtu wa kagera inamsaidia nini?, Watu wanahitaji miradi itakayowagusa direct na sio upuuzi unaousema. Kama serikali ingekuwa inatengeneza mazingira ya ajira leo usingekuwq chawa unayeshinda na bahasha la kaki na mashati yako ya viraka vya ccm. Bata Waheed ...
 
Enzi za Jiwe, watu walimsifia mpaka wakapitiliza. Wengine wakasema atawale bila kikomo.
Chawa wa Jiwe wakasifia tena wakasema atake asitake, lazima aongezewe muda. Wengine wakasifia mpaka wakapitiliza mpaka ikawa kama kukufuru.
Yaani kama watu wakawa kama wanamuabudu jiwe.
Mungu ni fundi, Jiwe akafa.

Kwa Hizi sifa mnazo mpa bitozo,sitashangaa na yeye akikata moto ghafla.
Mnafanya makurufuru makubwa sana. Wananchi wanahangaika ninyi mko bize na kusifia. Umeme haupo, huduma ni mbovu ninyi mko bize mnasifia, vijana wanamaliza chuo wanateseka hawana ajira ninyi mnasifia. Huduma za afya ni mbovu mno, ninyi mnasifia.

Muda utazungumza.
 
KWa mpumbavu tu ndiyo anakuja na majibu na maswali ya jumla jumla. Na kwa vile nchi ya wajinga kazi yao kubwa ni kukenua na kushangilia hata ushuzi wa wakuu. Unavyokuja na majibu ya jumla kama shule ngapi zimejengwa uje na takwimu ya watu milioni sita wa kipindi hicho ni asilimia ngapi waliweza kufanya kazi, asilimia ngapi alikwenda chuo, na wangapi walikuwa jobless. Kisha uje na takwimu ya watu milioni 60 asilimia ngapi wamesoma na asilimia ngapi jobless. Ni sawa na kusema shamba la heka kumi lilimwa na watu kwa siku tano na shamba kama hilo lilimwa na watu mia kwa siku tano kisha mijitu iliyokosa maarifa ikashangilia tumelima shamba kwa muda mchache.. endeleeni kupiga miluzi ila wenye akili watawasubiri mpaka mtakapoanza kupiga vigelegele.
Kwa ufupi ni kuwa tupo vizuri sana katika kupiga hatua za kimaendeleo tangia tumepata uhuru.jiulize wakati tunapata uhuru tulikuwa na shule ngapi,vyuo vikuu vingapi, madaktari na walimu wangapi ,wahandisi wangapi, barabara za lami mkoa hadi mkoa ngapi.umeme ukifika kwenye mikoa mingapi na wilaya ngapi,tulikuwa na wasomi wa shahada wangapi.vipi kuhusu leo? Huoni tumefanikiwa katika kila Secta na Eneo? Kwanini unashindwa kutambua hatua kubwa ambazo zimepigwa na serikali ya CCM? Kwamba kwa akili yako hiyo hiyo iliyo nayo unashindwa kuona maendeleo tuliyo yapata? Unashindwa kufahamu kuwa suala la maendeleo ni la kimchakato?
 
Enzi za Jiwe, watu walimsifia mpaka wakapitiliza. Wengine wakasema atawale bila kikomo.
Chawa wa Jiwe wakasifia tena wakasema atake asitake, lazima aongezewe muda. Wengine wakasifia mpaka wakapitiliza mpaka ikawa kama kukufuru.
Yaani kama watu wakawa kama wanamuabudu jiwe.
Mungu ni fundi, Jiwe akafa.

Kwa Hizi sifa mnazo mpa bitozo,sitashangaa na yeye akikata moto ghafla.
Mnafanya makurufuru makubwa sana. Wananchi wanahangaika ninyi mko bize na kusifia. Umeme haupo, huduma ni mbovu ninyi mko bize mnasifia, vijana wanamaliza chuo wanateseka hawana ajira ninyi mnasifia. Huduma za afya ni mbovu mno, ninyi mnasifia.

Muda utazungumza.
Majangili yanamsifia huku yanaiba
 
Kuanzia wakuu wa vyombo vya usalama, idara, wasomi wabobevu plus thinktanks na manguli wa hoja mitandaoni na jamii wamejikita kwenye vision ya NANI ATAGOMBEA 2025, wengine akina Pascal Mayalla wameenda mbali zaidi kutabiri ama.kujadili nani anafaa kugombea 2030.

Kiashiria kikubwa cha nchi iliyokosa muelekeo ni kama yanayoendelea Tanzania. Wasomi wanajivua utu wao kwa kushabikia ama kufanyia uchawa wa wagombea na possibly contestants. Hebu angalia hii video hapa chini uone aibu kidogo

View attachment 2860647

Hatuna vipaumbele zaidi ya kurasa za ilani ambazo zimekaa kisiasa zaidi ya utaalam. Hatuna serza za taifa bali za vyama. Hatuna taasisi zinazosimama kama nchi bali zote ni matawi ya chama tawala.

Miradi kama SGR, MNHP na kadhalika imetawaliwa na mitaguso ya kisiasa ambapo badala ya kujikita kufanikisha tunaangalia inamjengaje mtu aweze kugombea tena.

Watu kama Lucas mwashambwa wanahesabiwa uzalendo wao kwa kuishi kama machawa waandamizi.

Nchi haina hata kiwanda cha kutengeneza sindano za kushonea, hatuna viwanda vya baiskeli na tumebaki tunaagiza mitumba na kuwauzia wananchi, nchi yenye madini ya quartz haina hata kiwanda cha kutengeneza kifaa chochote cha simu, hatuna viwanda vya pembejeo mtambuka za kilimo. Nchi inayoendeshwa kwa kushindanisha wanafunzi kupitia mitihani badala ya kupambanisha fikra bunifu kwa maendeleo mtambuka.
Nchi ambayo inatumia pesa nyingi kuagiza silaha huku ikiweka sheria kali dhidi ya raia anayeonekana anaweza kufanya ubunifu wa silaha......

Tuna wataalam wengi wa tiba mbadala na wapo treated kama walozi badala ya kuwa na programs za kuzalisha dawa zetu na wakayi huo huo soko la tiba limejazwa na dawa za asili kutoka nje ambazo zimekuwa packaged na endorsed na serikali zao.

Hii nch imepoteza mwelekeo kama Taifa, tunaishi kama kikundi cha watu wasiojitambua wanaoongozwa na wasiojitambua waandamizi. Yaani inafika mahala kila anayekosoa fikra za watawala anageuzwa kuwa muasi na adui wa taifa na tishio la usalama wa viongozi ambao kimsingi ni mzigo kwa Taifa. Angalia sheria lukuki kandamizi ikiwemo ya Makosa ya Mtandao na zinginezo zinazotoa haki kwa viongozi bila kuwawajobisha.

Hatuna la kujivunia zaidi ya Amani ambayo serikali imeshindwa kutumia amani hiyo kulileta Taifa pamoja na kuchechemiza maendeleo na uhuru kamili wa kifikra.

Teuzi zote anazofanya mkuu wa nchi zinaelemea kwenye KUSAIDIANA kuondoa hofu ya kupata mpinzani wa ndani.

Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo kisheria wanalazimika kuwa watii kwa chama na siyo kwa wenye nchi. Tuna jeshi la polisi ambalo linatumika kisiasa tofauti na kikatiba, limekuwa linaua ua raia watakavyo bila kuwajibishwa. Mataifa jirani (Rwamda) wanaingia nchini watakavyo na kuwanyakua wakimbizi waliokimbia kukandamizwa huko kwao, na haya yanafanyika mbele ya taasosi zetu za ulinzi na usalama. Hautakaa usikie Balozi wa Rwanda au yule wa Palestina ambaye anahamasisha chuki kupitia nyumba za ibada in their favor wakiitwa kujieleza ama hatua kuchukuliwa.

Rais anasimama kwa kujiamini kuwananga raia anaowaongoza ambao yeye ni sehemu yao kwamba HAWANA UFAHAMU KUHUSU KATIBA. Ujasiri huo unatokana na nchi kupoteza muelekeo maana kauli hiyo ilipaswa kuhojiwa na Bunge (oops halina guts hizo).

Mtanzania mwenzangu, ni mambo gani zaidi unayaona kama ashirio kuwa Tanzania inayumba kama nchi?

Ukitaka kuishi vizuri Tanzania hakikisha unakuwa chawa pro max wa mtawala mkuu na wasaidizi wake hakika mema ya nchi yatakuwa kwako
great nations think about the next GENERATION and not about the next election
 
Wewe ni kinyesi.... CCM wameweka mazingira gani wezeshi kwa vijana wanakhitimu kujiajiri?, Kwa elimu gani hii ya makaratasi ya kusoma mpk chuo kikuu "colonial economy"kama sehem ya mada!. Duniani kote serikali zinazojitambua maendeleo yanaendana na ukuaji wa maendeleo ya binadam, unajivunia barabara amabzao haziendani na maendeleo ya raia?.
"Development should be people centered", watu wametoka kununua kilo ya sukar kwa 2500 leo inauzwa 5000, unakuja na ngonjera za SGR kwa mtu wa kagera inamsaidia nini?, Watu wanahitaji miradi itakayowagusa direct na sio upuuzi unaousema. Kama serikali ingekuwa inatengeneza mazingira ya ajira leo usingekuwq chawa unayeshinda na bahasha la kaki na mashati yako ya viraka vya ccm. Bata Waheed ...
Acha porojo zako hapa wewe.kwa taarifa yako ni kuwa serikali ya Rais Samia ndio serikali ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi unaogusa maisha ya watu.ndio maana unaona imewekeza mabilioni ya kutosha katika kilimo pamoja na kutoa Ruzuku ya mbolea ili kumuwezesha mkulima kumudu bei.

Mfano kwa sasa bajeti ya kilimo ni billion mia tisa tisini kutoka Billion mia mbili.lakini pia serikali inatoa takribani billion mia mbili hamsini kila mwaka kama ruzuku.serikali yetu imefanya hivi kwakuwa inatambua ya kuwa kilimo ndio Secta iliyo ajiri mamilioni ya watanzania,hivyo ukigusa na kuwekeza katika kilimo unakuwa umegusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuyapa tabasamu na matumaini.ndio maana unaona kwa sasa Taifa lina furaha kwa kuwa wakulima wana amani mioyoni mwao ambao ndio wengi na ambao ndio wamelibeba Taifa katika mabega yao nakuwapatia chakula cha kutosha.

Rais Samia pia amejenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu.amejenga na kusogeza karibu kabisa zahanati, vituo vya afya,shule, miradi mikubwa ya maji.n.k. Rais samia Na serikali yake amefanya vingi sana vilivyogusa maisha ya watu.ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
 
Wakati chawa anafoka kwamba Samia anashinda, Nyanda amemchomekea "kwa vigezo gani" ??

Samia anashinda kwa lipi hasa ???

Hiyo medium range ballistic missile imetua Ikulu na itabidi ijibiwe kwa silaha za TCRA, Jeshi la Polisi, Waziri wa Habari, press za Makonda, TISS, na matusi ya makada.

Na bado hawataweza ku contain the damage, manake hakuna jibu.

Kwenye uhaguzi huru na haki Samia anachaguliwa kwa lipi ????
 
Acha porojo zako hapa wewe.kwa taarifa yako ni kuwa serikali ya Rais Samia ndio serikali ambayo imefanikiwa kwa kiasi kikubwa kujenga uchumi unaogusa maisha ya watu.ndio maana unaona imewekeza mabilioni ya kutosha katika kilimo pamoja na kutoa Ruzuku ya mbolea ili kumuwezesha mkulima kumudu bei.

Mfano kwa sasa bajeti ya kilimo ni billion mia tisa tisini kutoka Billion mia mbili.lakini pia serikali inatoa takribani billion mia mbili hamsini kila mwaka kama ruzuku.serikali yetu imefanya hivi kwakuwa inatambua ya kuwa kilimo ndio Secta iliyo ajiri mamilioni ya watanzania,hivyo ukigusa na kuwekeza katika kilimo unakuwa umegusa maisha ya mamilioni ya watanzania na kuyapa tabasamu na matumaini.ndio maana unaona kwa sasa Taifa lina furaha kwa kuwa wakulima wana amani mioyoni mwao ambao ndio wengi na ambao ndio wamelibeba Taifa katika mabega yao nakuwapatia chakula cha kutosha.

Rais Samia pia amejenga miradi mbalimbali inayogusa maisha ya watu.amejenga na kusogeza karibu kabisa zahanati, vituo vya afya,shule, miradi mikubwa ya maji.n.k. Rais samia Na serikali yake amefanya vingi sana vilivyogusa maisha ya watu.ndio maana Anaendelea kuungwa mkono na mamilioni ya watanzania.
Napokwambia wwe no shoqer uelewe, hebu Leta hiyo bajeti ya kilimo utelelezaji wake ni % ngapi? Afu leta pesa ambazo wizara imezitoa mpaka saizi?. Acha utahira na ushoqer hchoko wewe!
 
Back
Top Bottom